Nasikia kuna issue ya mababa wa mataifa, lakini sijawahi kusikia ma-Mama wa mataifa, Mbona hakuna Gender Balance. Mama wa taifa hili ni nani?
Samahani kama nimewaudhi, akina mama
Nasikia kuna issue ya mababa wa mataifa, lakini sijawahi kusikia ma-Mama wa mataifa, Mbona hakuna Gender Balance. Mama wa taifa hili ni nani?
Samahani kama nimewaudhi, akina mama
We shall overcome, righteousness shall always prevail.
Bibititi Mohamed
Simple life is healthier than egoism.
Mwanaharakati Josephine.
no comments
SIYO WOTE WANAOTANGATANGA WAMEPOTEA
mama mwamvua
hiki siyo cheo/nafasi iliyotajwa kikatibali bali ni jinsi anavyokubalika katka jamii kwa ujumla.
Hivi kukiwa na baba wa taifa lazima kuwe na mama wa taifa? Sidhani! Baba wa taifa ni mwanzilishi wa taifa (founder of the nation). Ni wazi founder akiwa mwanaume ataitwa baba wa taifa; na iwapo ni mwanamke basi ndo atapewa heshima ya Mama wa taifa. Kumbe si busara kuichukulia hiyo expression "kindoa-ndoa" kwamba kwa kuwa kuna baba wa taifa lazima awepo pia mama wa taifa. Haya ni mawazo yangu tu mazee.
God writes straight with crooked lines.
Josephine Slaa
Hahahahaha JF ni kiboko
madame x,preta na kongosha hao ndio mama wa taifa
Kama Baba wa taifa ni Mwl nyerere mama wa Taifa ni Mama Maria Nyerere si ndio alikuwa mke wa baba wa Taifa.
Kaka wa taifa na Dada wa Taifa ni wakina nani? bado bibi na babu wa taifa.
Toto la taifa je?
Mwishoni utauliza mjomba wa taifa; shangazi wa taifa n.k. Iwapo hujui falsafa ya mtu kutambuliwa kitaifa na kupewa heshima si uliza kwanza? Kuitwa baba wa taifa sio Cheo hadi utake gender balance!!! Bado tuna safari ndefu!!
kweli tunaibiwa na kuonewa kwa sababu ya mengi!
Follow Us Here