Kwa walioajiriwa chini ya ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na serikali za Mitaa waliokuwa wametuma maombi ya uhamisho majibu yametoka leo.Tumia tovuti hii: www.pmoralg.go.tz Kama ka kimeo kako hakafungui pdf ni pm nikuchekie ukiambatanisha jina lako na Mkoa ulioomba kuhamishiwa.