Jamaa amejaribu kuweka CV ndefu kweli lakini hamna kitu!
Ninaumia nikigundua kuwa mtu mwenyewe anatoka Dar kwa wajanja!
Tumekwishaaaaaaa!!!!!!!!!!!@@@ @%%%%%%
wakati Cuf wanataka kuchukua nchi mwaka 2000 CCM walikuja na single ya kusema Cuf ni waislamu na kwa sasa wanadai sisi Chadema ni chama cha wakristo sasa CCM nacho ni cha watu gani? Watu wakajibu mashetaaaaaniiiiii.!---Wana Kigoma.
....Pamoja na kansa ya uongozi wa CCM watu wataendelea kukichagua,au watu wanaweza wakachoka na kusema potelea mbali wakachagua chama KINGINE....Julius. Kambarage. NYERERE"
Jiulize tangu 1979 hadi 2001 alikuwa anafanya nini?
Inaonekana 1985 alikuwa director wa kampuni ya kimachinga (Hajaitaja)
Alafu baada ya miaka 5 hata hajaongeza kisomo ni MD wa kampuni isiyojulikana! lazima itakuwa ni ya briefcase
1998 Meneja wa Simba na hapo aligundua sasa huwezi kuwa meneja bila kisomo kaenda kusomea certificate ESAMI
Sasa tukijiuliza kwa nini hata vilabu vyetu havina mafanikio, au kwa nini soka letu ni bofu bofu miaka yote tunaona ni maswali magumu??? Vilabu vinaongozwa na uneducated!!!! Na fikiri tumewaingiza bungeni what next???
Moja ya sababu kubwa ya kusoma ni kupanua ubongo uweze kuchanganua mambo. Hapa utegemee kusikia "ndiooooooooooo nakubaliana kwa asilimia 100"
wakati Cuf wanataka kuchukua nchi mwaka 2000 CCM walikuja na single ya kusema Cuf ni waislamu na kwa sasa wanadai sisi Chadema ni chama cha wakristo sasa CCM nacho ni cha watu gani? Watu wakajibu mashetaaaaaniiiiii.!---Wana Kigoma.
....Pamoja na kansa ya uongozi wa CCM watu wataendelea kukichagua,au watu wanaweza wakachoka na kusema potelea mbali wakachagua chama KINGINE....Julius. Kambarage. NYERERE"
Kimbunga hii cv utagundua ni ya kuundaunda na imefanywa hivyo kuwababaisha wana ccm! Lakini yeye, Lusinde, Maji marefu na wengine unaoendelea kuwafuatilia hamna kitu.
Ngoja tuangalia na viti maalu huko ndio kabisa!
wakati Cuf wanataka kuchukua nchi mwaka 2000 CCM walikuja na single ya kusema Cuf ni waislamu na kwa sasa wanadai sisi Chadema ni chama cha wakristo sasa CCM nacho ni cha watu gani? Watu wakajibu mashetaaaaaniiiiii.!---Wana Kigoma.
....Pamoja na kansa ya uongozi wa CCM watu wataendelea kukichagua,au watu wanaweza wakachoka na kusema potelea mbali wakachagua chama KINGINE....Julius. Kambarage. NYERERE"
Kuna nchi hapa East Africa inayoweza kuwa na Mbunge kama huyu?
Hebu tusogee pale DRC, yupo?
Mtu kama huyu alistahili kuwa mbunge kwenye serikali itakayoundwa na Joseph Kony pale Uganda. Basi!
Kuna haya mambo ya uwakilishi wa kila kundi, labda huyu anawawakilisha wasiojua kusoma na Kuandika kinyume cha katiba. Kweli hata zezeta watapeleka mwakilishi.
Kwa mujibu wa kanuni za chaguzi za CCM, sifa ya elimu anayotakiwa kuwa nayo mbunge ni Elimu ya Darasa la Saba. Nadhani mjadala ukielekea huko utakuwa na tija zaidi ili kama kuna haja ya kufanya marekebisho basi hoja zijengwe in that context. Vinginevyo kwa mujibu wa kanuni za chaguzi za CCM, Mheshimiwa Azzan ni mbunge halali kwani Per kanuni za chama cha mapinduzi as of today, mgombea akiwa na kiwango cha elimu cha form four, form six, certificate, diploma, degree, n.k, hiyo inachukuliwa kama ni ziada tu na haipewi uzito na vikao vya kupitisha/kuchuja wagombea. Suala la elimu kwa sasa ni suala la wapiga kura mmoja kwa mmoja kuwa na uelewa tu kwamba je, itumike kama kigezo au lah.
Na mara nyingi ukiwa mgombea mwenye elimu kubwa, ni kawaida sana kujengewa fitina kwamba umechakachua au kampeni zako haziwatendei haki wagombea wasio na elimu, au kwamba peleka elimu yako kwingine ukajenge taifa, sio kwenye nafasi ya ubunge kwani mujibu wa kanuni ya CCM, darasa la saba linatosha, na wananchi hawana haja ya kuzingatia kiwango cha elimu kama ni kigezo cha kukuchagua kama mgombea/mbunge. Nadhani mjadala ungeelekezwa zaidi juu ya kanuni hii badala ya kumjadili Mh Azzan ambae katika mazingira haya, hana hatia na ni mwakilishi halali wa wananchi wa jimbo la Kinondoni.
Acheni Kejeli. Fursa za vyuo zilikiwa chache. Wewe umebahatika. Hata ndugu zako wengi hawakujaliwa kupata hiyo fursa. Kumbuka kodi ya baba yake Azzan zililipia gharama za Chuo ulipokuwa unatafuta degree zako. Acheni Dharau.

acha kuwa dhaifu kwa kutetea uzembe wewe.....angekua mtu wa kusoma angesoma tu mbona lyatonga kasoma hadi juzijuzi tuu!!??
kama ni mtu wako wa karibu mwambie aanze QT pale perfect vision
Follow Us Here