Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Hii ndiyo CV ya Idd Azzan

    Report Post
    Page 4 of 4 FirstFirst ... 234
    Results 61 to 76 of 76
    1. #1
      Kaa la Moto's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 24th April 2008
      Location : Bristol
      Posts : 6,987
      Rep Power : 1980
      Likes Received
      466
      Likes Given
      4506

      Default Hii ndiyo CV ya Idd Azzan

      Jamaa amejaribu kuweka CV ndefu kweli lakini hamna kitu!
      Ninaumia nikigundua kuwa mtu mwenyewe anatoka Dar kwa wajanja!
      Tumekwishaaaaaaa!!!!!!!!!!!@@@ @%%%%%%


      Member of Parliament CV

      GENERAL
      Salutation Honourable Member picture
      First Name: Idd
      Middle Name: Mohamed
      Last Name: Azzan
      Member Type: Constituency Member
      Constituent: Kinondoni
      Political Party: CCM
      Office Location: P.O. Box 22227, Dar es Salaam
      Office Phone: +255 713 222201/+255 754 000349
      Ext.:
      Office Fax: +255 22 2170082
      Office E-mail: [email protected]
      Member Status: Current Member
      Date of Birth 8 July 1965
      EDUCATION
      School Name/Location Course/Degree/Award Start Date End Date Level
      Magomeni Primary School Primary Education 1977 1979 PRIMARY
      University Computer Centre Certificate in Computer Course 2001 2001 CERTIFICATE
      Eastern & Southern African Management Institute (ESAMI) Certificate 2002 2004 CERTIFICATE
      Dar City College Diploma (Management) 2004 2005 DIPLOMA
      Institute of Adult Education - Dar es Salaam Secondary Education 2002 2003 SECONDARY
      Local Government Training Institute - Hombolo, Dodoma Certificate 2003 2004 CERTIFICATE
      Vuluni Primary School, Mombo Primary Education 1973 1976 PRIMARY
      EMPLOYMENT HISTORY
      Company Name Position From Date To Date
      The Parliament of Tanzania Member - Kinondoni Constituency 2005 2015
      Dar es Salaam - Football Association of Tanzania (FAT) Chairman 2004 To date
      Twiga Sports Club Director 2001 To date
      Football Association of Tanzania (FAT)- (Kinondoni) Chairman 2000 2004
      Kinondoni Municipal Council Councilor 2000 2005
      Simba Sports Club -Dar es Salaam Manager 1998 2001
      Private Company Managing Director 1990 To date
      Private Company Director 1985 2005
      POLITICAL EXPERIENCE
      Ministry/Political Party/Location Position From To
      Chama Cha Mapinduzi - CCM Chairman of Parents Team 2004 2007
      Chama Cha Mapinduzi - CCM Member of National Committee 2003 2008
      Chama Cha Mapinduzi - CCM Ward Councilor 2000 2005
      Chama Cha Mapinduzi - CCM Youth Commander (UVCCM-Magomeni Ward) 1996 2000
      Chama Cha Mapinduzi - CCM Youth Commander (UVCCM) 1992 1996


      Source:Parliament of Tanzania


      Akianani vile hii ndio ccm!
      Erickb52 likes this.
      wakati Cuf wanataka kuchukua nchi mwaka 2000 CCM walikuja na single ya kusema Cuf ni waislamu na kwa sasa wanadai sisi Chadema ni chama cha wakristo sasa CCM nacho ni cha watu gani? Watu wakajibu mashetaaaaaniiiiii.!---Wana Kigoma.

      ....Pamoja na kansa ya uongozi wa CCM watu wataendelea kukichagua,au watu wanaweza wakachoka na kusema potelea mbali wakachagua chama KINGINE....Julius. Kambarage. NYERERE"


    2. #61
      Jodoki Kalimilo's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 12th February 2012
      Location : Ihayabuyaga
      Posts : 2,450
      Rep Power : 932
      Likes Received
      847
      Likes Given
      1603

      Default Re: Hii ndiyo CV ya Idd Azzan

      Quote By Mkomamanga View Post
      Mtu aliyezaliwa 1965 akisema fursa ya vyuo ilikuwa haipo ni kwa sababu alikuwa kilaza tena hakukuwa na ufisadi na kusoma ilikuwa bureee bwerere tena yeye akiwa palepale jikoni enzi za analogue alikuwa na advantage. Lakini sasa yaonekana alikuwa mtoto wa kijiweni kupata stori za Yanga na Simba hivyo book haikuwa saana. Lakini jihadharini watu wa namna hiyo huwa pia ni TISS maana kipindi wanapotea wanaenda mazoezi wakirudi wanaibukia kwenye makampuni binafsi na mipira kama Azan
      Sio 1966 tu hata waliosoma miaka 1990s pia fursa ilikuwepo wabunge wa design hii wanasoma kwa sababu hata ukiangalia CV yake utaona amemaliza primary school 1979 lakini ajabu secondari amekumbuka kujiendeleza miaka ya 2000, hii inainyesha moja kwa moja kuna kitu alikuwa anatafuta nacho si kingine ni uongozi. Kama mtu alikosa fursa ya kwenda sekondari kulikuwa na fursa nyingine ya kusoma masomo ya jioni.

    3. #62
      masabo's Avatar
      Member Array
      Join Date : 8th July 2012
      Posts : 59
      Rep Power : 361
      Likes Received
      11
      Likes Given
      5

      Default Re: Hii ndiyo CV ya Idd Azzan

      Mkuu tunaomba pia cv za wabunge wa chadema tulinganishe na hii.Ingekuwa ni vizuri mno

    4. #63
      Jodoki Kalimilo's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 12th February 2012
      Location : Ihayabuyaga
      Posts : 2,450
      Rep Power : 932
      Likes Received
      847
      Likes Given
      1603

      Default Re: Hii ndiyo CV ya Idd Azzan

      Hapo kwenye wakuu wa wilaya ndugu MchunguZI ndio inaniuma maana wanateuliwa watu ambao hata experience ya uongozi hawana, maana kazi ya mkuu wa wilaya ni kusimamia utekelezaji wa halmashauri alafu unamtoa mtu from nowhere tena msela with zero experience of local government kwenda kushika u-DC hapa unategemea nini hapa kama sio kufanya kampeni za chama tawala na vitu vingine vya kichama. Hizi poat zinatakiwa mtu ambae amekuwa katika utumishi wa umma kwa muda mrefu ili iwe rahisi kutekeleza shughuli na ndio maana unakuta DC anaingia vijijini na kuwafukuza kazi watendaji wa kata na vijiji/mitaa wakati hiyo si kazi yake (sema nchi hii ndio hivyo wananchi wake wengi ni kubali yaishe otherwise siku wananchi watakapojitambua nadhani watu wakigombea ubunge kipindi kimoja hawatachukua fomu kipindi kingine)

    5. #64
      Jodoki Kalimilo's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 12th February 2012
      Location : Ihayabuyaga
      Posts : 2,450
      Rep Power : 932
      Likes Received
      847
      Likes Given
      1603

      Default Re: Hii ndiyo CV ya Idd Azzan

      Quote By masabo View Post
      Mkuu tunaomba pia cv za wabunge wa chadema tulinganishe na hii.Ingekuwa ni vizuri mno
      Inaelekea CDM mnaigopa maana alietoa hii thread hajajitambulisha kama CDM, kwanini zikija thread zinazoonyesha mambo tata ya CCM huwa mnakimbilia CDM kufanya comparison, why not other party?

    6. #65
      Jodoki Kalimilo's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 12th February 2012
      Location : Ihayabuyaga
      Posts : 2,450
      Rep Power : 932
      Likes Received
      847
      Likes Given
      1603

      Default Re: Hii ndiyo CV ya Idd Azzan

      Quote By mama kubwa View Post
      hilo nalo neno ndo maana wanaishia kuomba rushwa.mie naomba kiingereza kipitishwe wawe wanaongea bungeni wengine kila siku watakuwa wagonjwa.
      Hata kisipopitishwa kiingereza bado tatizo lipo pale pale hata kama ni kwa kiswahili kama mtu hana nondo za kutosha kuhusu mada flani hata umpe fursa ya kuuzungumza kisukuma bado hawezi kwa kuwa maarifa ya agenda husika na madogo. Ni kama tulivyokuwa primary school tunafundishwa kwa kiswahili lakini bado vilaza walikuwepo, elimu ni ufunguo wa maisha hata kama amesoma kijapani, kichina etc


    7. #66
      Erickb52's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 31st October 2010
      Location : Chit-Chat
      Posts : 16,740
      Rep Power : 50885
      Likes Received
      9611
      Likes Given
      14855

      Default Re: Hii ndiyo CV ya Idd Azzan

      Quote By flora msoffe View Post
      na ndo maana wanaua watu na kuwatwanga makonde badala
      ya kutumia akili kutafuta suluhu
      yanatumia nguvu sababu hayana akili
      Ni kweli kabisa flora msoffe haya majamaa majinga sana na yalaaniwe milele
      Kujipenda ni Pamoja na Kuutunza Mwili wako!
      Acha Ngono,UKIMWI unaua!

    8. #67
      flora msoffe's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 28th October 2010
      Location : under a coconut tree
      Posts : 4,162
      Rep Power : 1270
      Likes Received
      511
      Likes Given
      373

      Default Re: Hii ndiyo CV ya Idd Azzan

      what goes around comes around,lazima ilipwe tu hata kwa wajukuu zao
      time will tell
      Quote By Erickb52 View Post
      Ni kweli kabisa flora msoffe haya majamaa majinga sana na yalaaniwe milele
      Erickb52 likes this.

      Never hate people who are jealous of you,
      Instead love them because they're the ones,
      who think you are better than them…

    9. #68
      Lugeye's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 18th April 2011
      Posts : 305
      Rep Power : 475
      Likes Received
      40
      Likes Given
      43

      Default Re: Hii ndiyo CV ya Idd Azzan

      DAR ES SALAAM ndo tulitegemea ingekuwa kitovu cha mabadiliko ktk hii nyanja ya democrasia lkn matokeo yake hovyo kabsa watu mna chuo kikuu cha kwanza TZ lkn ni wavivu wa kufikiri wanabaki kuwasufia wabunge wa upinzani kutoka vijijini jaman badilikeni wana daresalaama

    10. #69
      Chimilemwiyega's Avatar
      Member Array
      Join Date : 31st January 2011
      Posts : 22
      Rep Power : 429
      Likes Received
      0
      Likes Given
      0

      Default Re: Hii ndiyo CV ya Idd Azzan

      Wapendwa huyo ndugu cv yake ni nzuri ukilinganisha na wabunge wengine wa ccm kama akina Lusinde wa mtera, au ngonyani wa korogwe na wengine kwa kweli ni shida kubwa. tatizo lingine linaloletelea haya yote ni kwamba mkwanja unatumika sana kwenye chaguzi zetu na kufanya wenye fedha kuingia kwa wingi kwenye chombo hiki nyeti cha maamuzi ya nchi yetu.

    11. #70
      saita's Avatar
      Member Array
      Join Date : 23rd June 2012
      Posts : 35
      Rep Power : 359
      Likes Received
      1
      Likes Given
      0

      Default Re: Hii ndiyo CV ya Idd Azzan

      Leo hii nimehitimu mafunzo yangu ya shahada ya kwanza hakika nina nafasi ya kuwa mkurugenzi ikiwa hawa watu wasiokuwa na sifa wataondolewa wote. taifa linaloamini katika giza linafanya vitu kigizagiza pia.

    12. #71
      Kimbunga's Avatar
      JF Platinum Member Array
      Join Date : 4th October 2007
      Location : Kisiwani Juma
      Posts : 7,543
      Rep Power : 6185
      Likes Received
      3103
      Likes Given
      1025

      Default Re: Hii ndiyo CV ya Idd Azzan

      Quote By Jodoki Kalimilo View Post
      Hizo Diploma zina utata sidhani kama TCU wanazitambua incase unataka kuingia university ila tusimlamu maana tatizo ni wananchi wenyewe ambao wengi wana link kipaji cha mtu / umaarufu na uwezo wa kuongoza pia tatizo lingine ni tume ya uchaguzi/katiba inahitaji sifa moja kuu ambayo ni kujua kusoma na kuandika (in most cases ukiwa STD 7) mengine ni sifa za ziada.

      Unaweza kuja Kimbunga na CV yako nzuri tena ukiwa na practical experience nzuri ila kwa kuwa jina lako sio kubwa itakuwia ngumu kupata kura kwa siasa zetu za Tanzania na ndio maana unakuta watu wanaanza kwenye vyama vidogo vidogo na wakati mwingine wanaanzisha mashindano ya mpira na kuyaita kombe la Kimbunga ili mradi jina lake liwemo midomoni mwa watu.

      Ifike mahala vyama viangalie uwezo binafsi wa uongozi bila kujali anakubalika vipi kwa jamii ndio maana miaka ya nyuma mtu alikuwa anashinda katika ngazi ya mkoa jina likienda taifa wanaliengua na wakiweka mtu mwingine wanaweka mtu makini.

      STD & si hoja ila anatakiwa awe jembe hasa kwa lugha ya sasa maana kuna wengine wanajua issues na mbinu za ku-network na wasomi mbalimbali. (CONCLUSION: Tunatakiwa tubadilishe kipengele cha sifa za mgombea ubunge ili tuwafanye watu wanaokimbilia kwenye siasa wa-activate vichwa vyao kwa kwenda shule vinginevyo mijadala mikubwa ya kisheria na mingine ambayo inatumia general knowledge kama mtu huna shule ya kueleweka itakuwa tabu.
      Mkuu nilikuwa na mpango wa kuanzisha kombe la Mbuzi naona sasa nianzishe tu kombe la Kimbunga kutangaza jina ili 2015 nami nijikumbushe siasa.

      Mkuu juzi juzi Kenya walijaribu kubadili sifa hasa za kielimu ili wabunge wawe wenye degree lakini kulikuwa na upinzani sijui uliishaje. Unapokuwa na watunga sheria wengi ambao wana sifa za chini usitegemee mabadiliko ya kuwaengua yapate njia nyepesi.
      Jodoki Kalimilo likes this.
      CCM na CDM vyote ni vyama vya siasa vinavyoongozwa na wanasiasa; tofauti yao kubwa ni moja kwamba kimoja kina dola kingine kinataka kushika dola.

    13. #72
      Jodoki Kalimilo's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 12th February 2012
      Location : Ihayabuyaga
      Posts : 2,450
      Rep Power : 932
      Likes Received
      847
      Likes Given
      1603

      Default Re: Hii ndiyo CV ya Idd Azzan

      Quote By Kimbunga View Post
      Mkuu nilikuwa na mpango wa kuanzisha kombe la Mbuzi naona sasa nianzishe tu kombe la Kimbunga kutangaza jina ili 2015 nami nijikumbushe siasa.

      Mkuu juzi juzi Kenya walijaribu kubadili sifa hasa za kielimu ili wabunge wawe wenye degree lakini kulikuwa na upinzani sijui uliishaje. Unapokuwa na watunga sheria wengi ambao wana sifa za chini usitegemee mabadiliko ya kuwaengua yapate njia nyepesi.
      Ni kweli Kimbunga maana kuna mijadala kiukweli hata ukiwa umeenda shule bado inahitaji uwe mahiri katika maeneo flani sembuse mtu ambae shuleless. Kuna siku mbunge wa Mbozi (Godfrey Zambi) alikuwa anachangia akasema tatizo mambo mengi yanaandikwa kwa kiingereza lakini tunayajadili kwa kiswahili sijui lini yataandikwa kwa kiswahili, akatoa hoja yake kulikuwa kuna maneno hayaeleweki vizuri, waziri katika kujibu si akawa na kigugumizi kujibu na kusema pamekosewa,ndipo nilipogundua wakti wengine wabunge wanapitisha hoja bila kupingwa bila kuangalia kiundani

    14. #73
      LOVI MEMBE's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 16th March 2012
      Posts : 544
      Rep Power : 474
      Likes Received
      81
      Likes Given
      5

      Default Re: Hii ndiyo CV ya Idd Azzan

      Nch
      Quote By mchambuzi View Post
      kwa mujibu wa kanuni za chaguzi za ccm, sifa ya elimu anayotakiwa kuwa nayo mbunge ni elimu ya darasa la saba. Nadhani mjadala ukielekea huko utakuwa na tija zaidi ili kama kuna haja ya kufanya marekebisho basi hoja zijengwe in that context. Vinginevyo kwa mujibu wa kanuni za chaguzi za ccm, mheshimiwa azzan ni mbunge halali kwani per kanuni za chama cha mapinduzi as of today, mgombea akiwa na kiwango cha elimu cha form four, form six, certificate, diploma, degree, n.k, hiyo inachukuliwa kama ni ziada tu na haipewi uzito na vikao vya kupitisha/kuchuja wagombea. Suala la elimu kwa sasa ni suala la wapiga kura mmoja kwa mmoja kuwa na uelewa tu kwamba je, itumike kama kigezo au lah.

      Na mara nyingi ukiwa mgombea mwenye elimu kubwa, ni kawaida sana kujengewa fitina kwamba umechakachua au kampeni zako haziwatendei haki wagombea wasio na elimu, au kwamba peleka elimu yako kwingine ukajenge taifa, sio kwenye nafasi ya ubunge kwani mujibu wa kanuni ya ccm, darasa la saba linatosha, na wananchi hawana haja ya kuzingatia kiwango cha elimu kama ni kigezo cha kukuchagua kama mgombea/mbunge. Nadhani mjadala ungeelekezwa zaidi juu ya kanuni hii badala ya kumjadili mh azzan ambae katika mazingira haya, hana hatia na ni mwakilishi halali wa wananchi wa jimbo la kinondoni.
      nchi hii haitapata kuendelea kama vilaza wanakaa mbele na wenye akili na ujuzi wanawekwa nyuma yao. Uzoefu wa miaka 50 hamsini umeonesha ni namna gani usawa wa binadamu hauwezi kuendekezwa katika kuendeleza nchi hii. Ni lazima tutoe nafasi wataalamu washike hatamu na watu wenye upeo wa kutosha kufanya maamuzi. Sasa nimeelewa ni kwanini ccm inafanya vituko. Tafsiri mbovu sana ya usawa wa binadamu. Livingstone, jah people, azzan na wengine hawana ubavu wa kupeleka mbele gurudumu la maendeleo ya nchi hii. Kuongoza sio kupiga kelele kuliko wengine au kuhimili kadamnasi . Ccm think twice, we are loosing at the expense of your bogus politics

    15. #74
      samora10's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 21st July 2010
      Location : Kwa-Gude
      Posts : 3,271
      Rep Power : 1111
      Likes Received
      732
      Likes Given
      1170

      Default Re: Hii ndiyo CV ya Idd Azzan

      Aisee.. Yani bora ya zungu, naona anamzidi hadi yule fundi mchundo Manyanya
      ''Mipango na Mikakati imekamilika na sasa tuko kwenye mchakato wa mazungumzo na wafadhili"- M Pinda

    16. #75
      LOVI MEMBE's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 16th March 2012
      Posts : 544
      Rep Power : 474
      Likes Received
      81
      Likes Given
      5

      Default Re: Hii ndiyo CV ya Idd Azzan

      Kilaza mwingine yuko mrogoro mjini. Vyuo vikuu viwili sua na muslim. Lakini abood kamtoa baruti prof wa sua. Sera mbovu za ccm hizi. Hawa umande wamaukimbia lakini wananga'ang'ania nafasi kubwa sijui tuwaeleweje?

    17. #76
      mama D's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 22nd November 2010
      Posts : 1,524
      Rep Power : 743
      Likes Received
      400
      Likes Given
      1326

      Default Re: Hii ndiyo CV ya Idd Azzan

      Quote By chinekee View Post
      Tatizo hata mwanamke wake ambae ni mbunge wa chadema grace kiwelu hajaenda shule pia unategemea kuna kushauriana kuhusu kuongeza elimu kweli hapo????

      naomba cv
      Daily News halisomwi tandale kwa mtogole - MPOKI

    Page 4 of 4 FirstFirst ... 234

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...