Mwenyekiti wa mtaa wa kwa mkunduge huko tandale amekataliwa na wananchi kwa sababu anatumikia vyama viwili yaani CUF na ADC,mwenyekiti huyu imebainika kuwa anagawa kadi na bendera za ADC ili-hali alichaguliwa kuwa mwenyekiti kwa tiketi ya CUF,pia anatuhumiwa kwa matumizi mabaya ya SERIKALI,ameuza baadhi ya vitu kisha hajaweka wazi matumizi ya pesa,alipoulizwa alisema kuwa ana wake wawili,,,,,mmoja mbagara mmoja tandale,kwahiyo pesa nyingine zipo kwa mke mdogo mbagara.
Sosi:habari clouds tv

Reply With Quote

Follow Us Here