Napenda kutoa angalizo kwa muhusika wizarani (katibu mkuu au yeyote yule), vyuo vilivyopo chini ya wizara hii vina madudu mengi haswa katika maswala ya mishahara. Chunguza!