JamiiSMS
  Show/Hide This

  Topic: Yuko wapi huyo Dr.Deo aliyekuwa na Dr. Limbuka wakati anatekwa

  Report Post
  Page 2 of 2 FirstFirst 12
  Results 21 to 26 of 26
  1. Byendangwero's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 24th October 2010
   Posts : 873
   Rep Power : 740
   Likes Received
   46
   Likes Given
   4

   Default Yuko wapi huyo Dr.Deo aliyekuwa na Dr. Limbuka wakati anatekwa

   Nimekuwa nafatilia sakata la kutekwa kwa Dr. Limboka, lakini jambo moja linalonishangaza ni kutozungumzia lolote kuhusu alipo Dr. Deo aliyetajwa kuwa pamoja na Dr. Limboka wakati anatekwa. Wasiwasi wangu ni kwamba kwakuwa huyo daktari alishuhudia sakata hilo uenda maisha yake pia yako hatarini; kwahiyo ni vema akajulikana alipo hivi sasa.


  2. chau chau's Avatar
   Member Array
   Join Date : 26th January 2012
   Posts : 10
   Rep Power : 503
   Likes Received
   0
   Likes Given
   0

   Default Re: Yuko wapi huyo Dr.Deo aliyekuwa na Dr. Limbuka wakati anatekwa

   Jamani mie naona pia tufikirie sana kiundani; inawezekana pia kuna uwezekano wa Dr. Deo kuhusika na vitendo vya unyama alivyofanyiwa Dr. Ulimboka. tafadhali hebu tulitafakari hili kwa undani! mimi nafikiri baada ya watekaji kugundua kuwa Dr. Uli hajafa ndipo ikabidi kuwaficha wale ambao walishuhudiwa kutekwa (Dr. Deo na mwenzake).
   Naomba mawazo juu ya hili!

  3. KINYEKINYE's Avatar
   Member Array
   Join Date : 30th June 2012
   Posts : 10
   Rep Power : 480
   Likes Received
   0
   Likes Given
   0

   Default Re: Yuko wapi huyo Dr.Deo aliyekuwa na Dr. Limbuka wakati anatekwa

   Quote By chau chau View Post
   Jamani mie naona pia tufikirie sana kiundani; inawezekana pia kuna uwezekano wa Dr. Deo kuhusika na vitendo vya unyama alivyofanyiwa Dr. Ulimboka. tafadhali hebu tulitafakari hili kwa undani! mimi nafikiri baada ya watekaji kugundua kuwa Dr. Uli hajafa ndipo ikabidi kuwaficha wale ambao walishuhudiwa kutekwa (Dr. Deo na mwenzake).
   Naomba mawazo juu ya hili!
   mawazo juu ya? ili?

  4. Money Stunna's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 9th August 2011
   Location : BeechGrove City
   Posts : 13,118
   Rep Power : 16967207
   Likes Received
   5585
   Likes Given
   1741

   Default Re: Yuko wapi huyo Dr.Deo aliyekuwa na Dr. Limbuka wakati anatekwa

   unataka ujue alipo ili ukamlimboka?

  5. afrique's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 28th June 2012
   Location : mwanza
   Posts : 467
   Rep Power : 572
   Likes Received
   97
   Likes Given
   8

   Default Re: Yuko wapi huyo Dr.Deo aliyekuwa na Dr. Limbuka wakati anatekwa

   habari wana jf,naomba ukaribisho wenu tafadhali

  6. afrique's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 28th June 2012
   Location : mwanza
   Posts : 467
   Rep Power : 572
   Likes Received
   97
   Likes Given
   8

   Default Re: Yuko wapi huyo Dr.Deo aliyekuwa na Dr. Limbuka wakati anatekwa

   huyo ndie atakayetoa mwanga kwa wapelelezi huru kama kweli yuko kwenye mikono salama


  7. betty marandu's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 4th April 2011
   Posts : 208
   Rep Power : 584
   Likes Received
   41
   Likes Given
   12

   Default

   Quote By pgasper View Post
   Watekaji walikuja wakiwa wamevaa kikazi,
   wana uniform,
   kila mmoja na pistol, drawn and ready to fire
   wakasema wanamhitaji huyo hapo (pointing towards ulimboka)
   Wakaulizwa nyie nani,
   replied: polisi,
   Then Deo na Abedi(kutoka ofisi ya rais-aliyesema katumwa na katibu mkuu kiongozi) wakabaki
   Wakaondoka na Ulimboka.
   Abedi akafanya sanaa akamwachia Deo namba ya simu akatoweka, simu yake ndo ilikuwa mwisho wa kuwa hewani dakika hiyo.
   Huyo Abed kama kweli hahusiki hebu aseme alichujua hatua gani baada ya Dr.kutekwa maana Deo alihangaika sana hilo wote tunalijua.Mbaya zaidi huyu Abed ndo alikuwa anawachelewesha akina Dr baada ya mazungumzo kuisha huku akiendelea kupiga simu.yaan hapa haihitaj inteligensia ya kova kumjua mhusika.Ila huyo abed nae ni binadam labda atubu maana maisha yake hatakaa apate amani.Na uzur hata yeye ipo siku atakufa ss atakufaje tunajua anayeua kwa upanga atauwawa kwa upanga.ss tumwombe Mungu maana kisasi ni juu ya Mungu


  Page 2 of 2 FirstFirst 12

  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...