Heshima kwenu wakuu.
Najiuliza maswali mengi nakoswa majibu nalileta kwenu labda mwaweza nisaidia kupata majibu.
Hivi serikali itaendelea kuwatwisha wananchi mizigo hii mizito hadi lini inayosababishwa na watendaji wabovu wa serikali wasiowajibika kikamilifu ktk nafasi zao walizoteuliwa?
Mbona kwa mambo mengi serikali inashindwa kuwajibika kwa wananchi wake huku ikiwa inajivunia askari wa kutuliza ghasia,basi kama muundo wa uongozi ndio huu serikali iwaajiri askari wa kutuliza ghasia kwenye kila ofisi za umma hasa ofisi za aridhi nyumba na makazi maana huko ndiko ubabe unalipotawala na hadi kufikia kuununua uwezo na uhuru wa mahakama.

Reply With Quote
Follow Us Here