Re: "Watesaji walimhoji kama CHADEMA inahusika"
Nashindwa kuelewa ni kwa nini waunde tume wakati wangeweza kuifuatilia namba ya simu ya mwisho kuongea na Dr uli. Siungi mkono mgomo wa madaktari kwa namna yeyote ile, ila wasiwasi wangu Dr anaweza kuja kulipa kisasa pindi atakapo pona kama watumishi wa mungu wasipomuombea mapema kwani kwa jinsi walivyompiga hata kama ningekuwa mimi lazima ningelipa kisasi na hapo ndio wasiwasi wangu hili taifa linaelekea wapi! mungu ibariki Tanzania ila usiwabariki viongozi wake kwani ndio wanaiharibu nchi hii
"Gravitation is not responsible for people falling in love."
Follow Us Here