Re: Mchango wa HIARI kwa Dr. Ulimboka

By
paulss
I wish siku moja polisi wagome wiki moja tu na dhani tutaheshimana kuwa kila mtu ni muhimu kwenye kazi yake. Ugua pole mkuu lakini pia ujue huduma unayopata hapo hata wale uliowagomea wanaihitaji kama wewe unavyoihitaji bila kujali kama gvt imetekeleza mapendekezo yenu,
Wagome??!!!, rushwa na dili za wizi, magendo na ujambazi wamwachie nani?... ushasikia hata wanakwenda likizo?, eti kugoma??? unataka wafe njaa na vitambi vyao vya togwa na kitimoto!!
Wanagoma wanaojitambua, wasio na magumashi... wazushi hawawezi kugoma kamwe.. wewe cheti cha kufoji ugome unataka nini?
Form is temporary, Class is permanent...
Follow Us Here