Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Madaktari: hatumtaki Pinda ni mwongo tunamtaka Kikwete na msimamo wetu wa kutoa kauli ni Olimboka

    Report Post
    Results 1 to 17 of 17
    1. #1
      dosama's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 25th December 2010
      Posts : 736
      Rep Power : 574
      Likes Received
      296
      Likes Given
      1

      Default Madaktari: hatumtaki Pinda ni mwongo tunamtaka Kikwete na msimamo wetu wa kutoa kauli ni Olimboka

      Madaktari hawana imani tena na Waziri mkuu Pinda kwa sababu ni kigeugeu na mwongo na mazungumzo ya mara ya mwisho walivyokubaliana sio kama anavyouekeza umma na amekuwa mnafiki wa kupeleka hoja za mlengo wa serikali pekee.

      Mara ya mwisho walimtaka makubaliano yawekwe kwenye maandishi akasema wamwamini atafanya lakini kawalika kimanga.

      Na msemaji wao wamemuumiza na wa kusema juu ya mgomo ni Olimboka atakapo pona ndio atatoa tamko kwa kuwa ndio msemaji wao.
      Lekanjobe Kubinika likes this.

    2. Miaka 50

    3. #2
      samora10's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 21st July 2010
      Location : Kwa-Gude
      Posts : 3,252
      Rep Power : 1103
      Likes Received
      729
      Likes Given
      1163

      Default Re: Madaktari: hatumtaki Pinda ni mwongo tunamtaka Kikwete na msimamo wetu wa kutoa kauli ni Olimbok

      Hueleweki.. hebu jipange vizuri na hii habari yako
      ''Mipango na Mikakati imekamilika na sasa tuko kwenye mchakato wa mazungumzo na wafadhili"- M Pinda

    4. #3
      akelu kungisi's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 2nd April 2012
      Posts : 111
      Rep Power : 382
      Likes Received
      19
      Likes Given
      3

      Default Re: Madaktari: hatumtaki Pinda ni mwongo tunamtaka Kikwete na msimamo wetu wa kutoa kauli ni Olimbok

      Ndo mana leo kaambiwa aachie ngazi na Tundu Lisu, bahati mbaya akachukia baada kuambiwa kauli hiyo! Amemtisha kwakumjibu "wrong approach"! Mana yake ni kwamba ati Tundu hakupashwa kuuliza hilo swali! Bi Mkora kama kawaida kajifanya anamtetea Pinda, lakini ukweli kausema! Big up Tundu! Mr Pinda yhe best way is you to resign as soon as possible!

    5. #4
      Lyimo's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 7th March 2006
      Posts : 1,801
      Rep Power : 1527
      Likes Received
      796
      Likes Given
      451

      Default Re: Madaktari: hatumtaki Pinda ni mwongo tunamtaka Kikwete na msimamo wetu wa kutoa kauli ni Olimbok

      Mbona aliyetoa Tangazo la Mgomo ni Dr.Mkopi?
      Mbona siku zote Dr.Ulimboka alipokuwa na afya njema hakuwahi kusema chochote kwa kigezo hicho?
      Kama ni kweli hilo, basi ni kiashiria kimojawapo kwa serikali kuhusika katika kutaka kumpoteza Dr.Ulimboka.
      "Wisdom is not a product of schooling, but of the lifelong attempt to acquire it"

    6. #5
      Rohombaya's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 4th July 2011
      Posts : 346
      Rep Power : 468
      Likes Received
      52
      Likes Given
      40

      Default Re: Madaktari: hatumtaki Pinda ni mwongo tunamtaka Kikwete na msimamo wetu wa kutoa kauli ni Olimbok

      Duh ngoja nikapumzike vimbwetani
      Lakum diinukum waliyadiin!!!!

    7. RukaaJuu Final

    8. #6
      only83's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 15th October 2010
      Location : Dodoma-Mjengoni
      Posts : 4,157
      Rep Power : 1847
      Likes Received
      1431
      Likes Given
      1539

      Default Re: Madaktari: hatumtaki Pinda ni mwongo tunamtaka Kikwete na msimamo wetu wa kutoa kauli ni Olimbok

      Quote By dosama
      Madaktari hawana imani tena na Waziri mkuu Pinda kwa sababu ni kigeugeu na mwongo na mazungumzo ya mara ya mwisho walivyokubaliana sio kama anavyouekeza umma na amekuwa mnafiki wa kupeleka hoja za mlengo wa serikali pekee.

      Mara ya mwisho walimtaka makubaliano yawekwe kwenye maandishi akasema wamwamini atafanya lakini kawalika kimanga.

      Na msemaji wao wamemuumiza na wa kusema juu ya mgomo ni Olimboka atakapo pona ndio atatoa tamko kwa kuwa ndio msemaji wao.

      Mkuu nadhani kajipange ulete hoja kama great thinker...mimi sijakupata na nahisi haya ni mawazo yako na sio ya madaktari.
      "Problems can not be solved by the same level of thinking that created them"
      "Matatizo hayawezi kutatuliwa na uwezo ule ule mdogo wa watawala wa CCM walioyasababisha"

    9. #7
      Nduka's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 3rd December 2008
      Posts : 5,593
      Rep Power : 1636
      Likes Received
      383
      Likes Given
      553

      Default Re: Madaktari: hatumtaki Pinda ni mwongo tunamtaka Kikwete na msimamo wetu wa kutoa kauli ni Olimbok

      Kwanini rais Slaa asiende. Kwi kwi kwi

    10. #8
      zubedayo_mchuzi's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 2nd September 2011
      Posts : 3,361
      Rep Power : 1063
      Likes Received
      590
      Likes Given
      43

      Default

      Quote By dosama
      Madaktari hawana imani tena na Waziri mkuu Pinda kwa sababu ni kigeugeu na mwongo na mazungumzo ya mara ya mwisho walivyokubaliana sio kama anavyouekeza umma na amekuwa mnafiki wa kupeleka hoja za mlengo wa serikali pekee.

      Mara ya mwisho walimtaka makubaliano yawekwe kwenye maandishi akasema wamwamini atafanya lakini kawalika kimanga.

      Na msemaji wao wamemuumiza na wa kusema juu ya mgomo ni Olimboka atakapo pona ndio atatoa tamko kwa kuwa ndio msemaji wao.
      Source plz

    11. #9
      Manyi's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 6th December 2011
      Posts : 1,747
      Rep Power : 726
      Likes Received
      292
      Likes Given
      267

      Default Re: Madaktari: hatumtaki Pinda ni mwongo tunamtaka Kikwete na msimamo wetu wa kutoa kauli ni Olimbok

      Unatujazia server yetu tu wewe. Kwani kila mtua aanzishe thread ya kumhusu Dr. Ulimboka na Madaktari? Kuna Thread nying za kuchangia humu ziemeisha anzishwa, wewe changia. Kama una kitu kipya kweli ndo ulete! Mods angalieni hii makitu!

    12. #10
      Lekanjobe Kubinika's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 6th December 2006
      Location : Tanzania
      Posts : 2,399
      Rep Power : 1656
      Likes Received
      313
      Likes Given
      578

      Default Re: Madaktari: hatumtaki Pinda ni mwongo tunamtaka Kikwete na msimamo wetu wa kutoa kauli ni Olimbok

      Bahati mbaya Bongo hakuna utamaduni wa aina hiyo. Kujiuzuru??? Subutu yakooooo. Ndio kwanza atazawadiwa na kuu wake kwa kazi nzuri ingawa haijafanikiwa sana kiviiiiile. Na mkuu ati anaenda kumtemebelea Ulimboka, subiri usanii atakaoenda naye pale. Mitanzania ndivyo tulivyo.
      "Uwe na Bidii kama vile utaishi milele, uwe mwaminifu kama vile utakufa kesho" (Indira Gandhi)

    13. #11
      Ruttashobolwa's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 22nd February 2012
      Posts : 13,520
      Rep Power : 19793
      Likes Received
      4317
      Likes Given
      1306

      Default Re: Madaktari: hatumtaki Pinda ni mwongo tunamtaka Kikwete na msimamo wetu wa kutoa kauli ni Olimbok

      Jk mwenyewe dhaifu unategemesa ni sasa

    14. #12
      Sangarara's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 29th September 2011
      Posts : 3,370
      Rep Power : 1212
      Likes Received
      1214
      Likes Given
      1591

      Default Re: Madaktari: hatumtaki Pinda ni mwongo tunamtaka Kikwete na msimamo wetu wa kutoa kauli ni Olimbok

      Quote By sweke34
      Avatar yako inaonyesha una uhaba mkubwa sana wa utaarabu. MODs angalieni hii kitu...
      Ngoja niitoe sikujua kama ina implicate status ya ustaarabu wangu.

    15. #13
      Rubi's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 5th October 2009
      Posts : 1,261
      Rep Power : 742
      Likes Received
      158
      Likes Given
      134

      Default Re: Madaktari: hatumtaki Pinda ni mwongo tunamtaka Kikwete na msimamo wetu wa kutoa kauli ni Olimbok

      Quote By akelu kungisi
      Ndo mana leo kaambiwa aachie ngazi na Tundu Lisu, bahati mbaya akachukia baada kuambiwa kauli hiyo! Amemtisha kwakumjibu "wrong approach"! Mana yake ni kwamba ati Tundu hakupashwa kuuliza hilo swali! Bi Mkora kama kawaida kajifanya anamtetea Pinda, lakini ukweli kausema! Big up Tundu! Mr Pinda yhe best way is you to resign as soon as possible!
      Noana kila sikuu watu wataambiawa wa-resign, wata-resign watawekwa wapya nao wataonekana hawafai nao watashurutishwa, na matatizo yataendelea kuwepo palepale, madini yatendelea kuporwa na wawekezaji, umeme utaendelea kuwa wa shida na bei juu kila kukicha, maji ndo usiseme, foleni Dar hatusemi, Miundo mbinu ndo hiyo. So nionavyo tatizo Sio kujiudhuru ni mfumo tuliuridhi ambao pengine hauna memo ya kmwajibisha kiongozi na kiongozi akawaajibisha walio chini yake. so mtu anakuwa na uwezo wa kujisemea atanifanya nini? wote tunalindwa na katiba.

      Zanzibar nao wanazitolea macho chenji ya rada hahaha? Bora Yesu arudi kabla hatujatamani milima iifunike dunia.

      Maana Utu hakuna tena, Uzalendo umetoweka, Unyama ndio waunyemelea Utu.
      Mlee mtoto katika njia impasayo naye hataiacha hata atakapokuwa mzee.

    16. #14
      OSOKONI's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 20th October 2011
      Posts : 3,639
      Rep Power : 1111
      Likes Received
      1001
      Likes Given
      758

      Default Re: Madaktari: hatumtaki Pinda ni mwongo tunamtaka Kikwete na msimamo wetu wa kutoa kauli ni Olimbok

      Quote By dosama
      Madaktari hawana imani tena na Waziri mkuu Pinda kwa sababu ni kigeugeu na mwongo na mazungumzo ya mara ya mwisho walivyokubaliana sio kama anavyouekeza umma na amekuwa mnafiki wa kupeleka hoja za mlengo wa serikali pekee.

      Mara ya mwisho walimtaka makubaliano yawekwe kwenye maandishi akasema wamwamini atafanya lakini kawalika kimanga.

      Na msemaji wao wamemuumiza na wa kusema juu ya mgomo ni Olimboka atakapo pona ndio atatoa tamko kwa kuwa ndio msemaji wao.
      kuna kikao cha wataalam hawa afya wamekaa wakatoa tamko hili au ni wewe tu unawasemea? lete mada inayoeleweka na kujadilika!
      Narrow minded people discuss people,common minded people discuss events great minded people discuss ideas!!!

    17. #15
      Watu's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 12th May 2008
      Location : Dar es Salaam
      Posts : 1,045
      Rep Power : 772
      Likes Received
      232
      Likes Given
      134

      Default Re: Madaktari: hatumtaki Pinda ni mwongo tunamtaka Kikwete na msimamo wetu wa kutoa kauli ni Olimbok

      Quote By dosama
      Na msemaji wao wamemuumiza na wa kusema juu ya mgomo ni Olimboka atakapo pona ndio atatoa tamko kwa kuwa ndio msemaji wao.
      Msemaji wao hakua na makamu msemaji?

    18. #16
      Ubungo's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 7th April 2012
      Posts : 1,151
      Rep Power : 590
      Likes Received
      204
      Likes Given
      185

      Default Re: Madaktari: hatumtaki Pinda ni mwongo tunamtaka Kikwete na msimamo wetu wa kutoa kauli ni Olimbok

      Ilikuwa Blandina Nyoni na Deo Mtasiwa hawatakiwi, akafuatiwa Dr Mponda na Nkya hawataliwi sasa zamu ya Pinda naye hatakiwi. Busara itumike ili mgogoro huu uishe tuwaepushe wagonjwa na mateso na vifo ambavyo vingeweza kuepukika.

    19. #17
      Pastor Achachanda's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 4th May 2012
      Posts : 280
      Rep Power : 412
      Likes Received
      9
      Likes Given
      3

      Default Re: Madaktari: hatumtaki Pinda ni mwongo tunamtaka Kikwete na msimamo wetu wa kutoa kauli ni Olimbok

      Mkuu ungetupatia sosi yake tungefurahi.Lakini ukweli ni kuwa Tanzania kuna mazoea ya watu kujifaidisha badala ya kusaidi

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...