Ni kama wanaelekea katikati ya jiji! tujuzane wakuu
Ni kama wanaelekea katikati ya jiji! tujuzane wakuu
Wanaenda Muhimbili National Hospital, wametumwa na waziri mkuu wakatibu wagonjwa.
* LOVE COMES NATURALLY; HATE IS TAUGHT.....by nngu007 wa JF
Wanaenda kutibu wagonjwa Muhmbili
wanaenda kumuokoa mwenzao kapewa kichapo muhimbili na kapoteza radio call ndo wameenda kutuliza gasia hakuna serikal nchi hii
Madaktari chondechonde Kwani pesa zinatafutwa lakini uhai ni inshuuu
Wanaelekea Muhimbili, Mwenzao mmoja kapigwa na amepoteza Radio call ndio hiyo wanaiitafuta.
Ndo wanaenda kutafuta radio call yao?
wanaelekea muhimbili kutoa dozi ya washawasha
safi sana wanafikiri wale ni wanafunzi wa vyuo!!!!!!!!
Mwenzao keshaokolewa, kikubwa hapo ni kuhakikisha usalama wa eneo husika kwa jazba na uzuni ilowajaa wauguzi,baadhi ya wananchi na Madaktari kwa kupigwa na kujeruhiwa vibaya kwa kiongozi wa Madaktari Dr.Ulimboka; lkn la muhimu pia ni Radio Call ambayo imepotea na hiyo ni lazma ipatikane kiusalama wa Taifa zima"
Liwalo na liwe! Wanaeda kutibu wagonjwa mhimbili
Ukikuta kuna njia inapitika jua kuna aliyeianzisha
wanaanza muhimbili then mtaa kwa mtaa, mwisho wapangaji kwa wapangaji
"Look Deep into Nature and then you will Understand Everything Better" - ALBERT Einstein
Follow Us Here