Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: najua unajua lakini jua zaidi

    Report Post
    Page 1 of 2 12 LastLast
    Results 1 to 20 of 25
    1. #1
      figganigga's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 17th October 2010
      Location : dar es salaam
      Posts : 8,178
      Rep Power : 12008
      Likes Received
      2650
      Likes Given
      1583

      Default najua unajua lakini jua zaidi

      kariakoo ndo sehemu maalufu sana dar es salaam na tanzania kwa ujumla. k/koo ndo kuna soki kuu dar es salaam na tanzania kwa ujumla. K/koo ndo centre ya biashara kwa Tanzania. Na umarufu wote wa k/koo lakini mtaa wa k/koo unao anzia kwenye makao makuu ya ccm Tanzania karibu kabisa na sehemu ilipo zaliwa Tanu pale Rumumba na kutokezea barabara ya msimbazi. Huu mtaa wa k/koo hauna rami wala kokoto, ni barabara ya vumbi iliyo jaa mashimo na uchafu wa kila aina. je walijua hilo?. Mia
      Asprin, WiseLady, samora10 and 3 others like this.
      If you obey all the rules, you miss all the fun.

    2. FemaTV & Radio

    3. #2
      mayenga's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 6th September 2009
      Posts : 1,567
      Rep Power : 807
      Likes Received
      308
      Likes Given
      438

      Default Re: najua unajua lakini jua zaidi

      Naliskia leo sijawahi kushtukia
      figganigga likes this.

    4. #3
      figganigga's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 17th October 2010
      Location : dar es salaam
      Posts : 8,178
      Rep Power : 12008
      Likes Received
      2650
      Likes Given
      1583

      Default Re: najua unajua lakini jua zaidi

      Quote By mayenga
      Naliskia leo sijawahi kushtukia
      habari ndo hiyo
      If you obey all the rules, you miss all the fun.

    5. #4
      Erickb52's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 31st October 2010
      Location : Chit-Chat
      Posts : 16,392
      Rep Power : 50811
      Likes Received
      9316
      Likes Given
      14588

      Default Re: najua unajua lakini jua zaidi

      Duh sikujua figganigga
      Ni noma
      figganigga likes this.
      Kujipenda ni Pamoja na Kuutunza Mwili wako!
      Acha Ngono,UKIMWI unaua!

    6. #5
      Nivea's Avatar
      Banned Array
      Join Date : 21st May 2012
      Posts : 5,680
      Rep Power : 0
      Likes Received
      3141
      Likes Given
      4053

      Default Re: najua unajua lakini jua zaidi

      mkuu mvua ikinyesha hakuna tofauti na bonde la msimbazi hahahah
      figganigga likes this.

    7. Miaka 50

    8. #6
      Asprin's Avatar
      JF Gold Member Array
      Join Date : 8th March 2008
      Location : Psychiatric Ward
      Posts : 25,441
      Rep Power : 32076
      Likes Received
      14544
      Likes Given
      22033

      Default Re: najua unajua lakini jua zaidi

      Quote By figganigga
      kariakoo ndo sehemu maalufu sana dar es salaam na tanzania kwa ujumla. k/koo ndo kuna soki kuu dar es salaam na tanzania kwa ujumla. K/koo ndo centre ya biashara kwa Tanzania. Na umarufu wote wa k/koo lakini mtaa wa k/koo unao anzia kwenye makao makuu ya ccm Tanzania karibu kabisa na sehemu ilipo zaliwa Tanu pale Rumumba na kutokezea barabara ya msimbazi. Huu mtaa wa k/koo hauna rami wala kokoto, ni barabara ya vumbi iliyo jaa mashimo na uchafu wa kila aina. je walijua hilo?. Mia
      Mia. Mia. Mia!

      Hiyo ndo barabara ya CCM.
      figganigga likes this.
      ....Shimo La Panya Halifunikwi Kwa Mkate.....

    9. #7
      Tripo9's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 9th September 2009
      Posts : 1,618
      Rep Power : 817
      Likes Received
      254
      Likes Given
      459

      Default Re: najua unajua lakini jua zaidi

      Quote By figganigga
      kariakoo ndo sehemu maalufu sana dar es salaam na tanzania kwa ujumla. k/koo ndo kuna soki kuu dar es salaam na tanzania kwa ujumla. K/koo ndo centre ya biashara kwa Tanzania. Na umarufu wote wa k/koo lakini mtaa wa k/koo unao anzia kwenye makao makuu ya ccm Tanzania karibu kabisa na sehemu ilipo zaliwa Tanu pale Rumumba na kutokezea barabara ya msimbazi. Huu mtaa wa k/koo hauna rami wala kokoto, ni barabara ya vumbi iliyo jaa mashimo na uchafu wa kila aina. je walijua hilo?. Mia
      Ok! OK!
      figganigga and calculator like this.
      "Smile though your heart is aching"...Me says

    10. #8
      Chuck j's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 17th June 2011
      Location : DAR ES SALAM/KINONDONI
      Posts : 444
      Rep Power : 489
      Likes Received
      53
      Likes Given
      5

      Default Re: najua unajua lakini jua zaidi

      Soki=soko
      rami=lami
      Rumumba=lumumba
      figganigga likes this.

    11. #9
      Dena Amsi's Avatar
      JF Bronze Member Array
      Join Date : 17th August 2010
      Location : Saayo
      Posts : 11,858
      Rep Power : 8730
      Likes Received
      3150
      Likes Given
      1572

      Default Re: najua unajua lakini jua zaidi

      Ukitaja magamba mood ya kuchangia inakwisha SICHANGIIIIII
      figganigga likes this.
      A Little Impatience can spoil great plan!!!!!!!!!!!!!!! "Dont Loose your temper nobody need it"

    12. #10
      ghumpi's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 10th November 2009
      Posts : 188
      Rep Power : 522
      Likes Received
      8
      Likes Given
      33

      Default Re: najua unajua lakini jua zaidi

      Mkuu figaniga somo la kiswahili ulipata alama gani vile? Kuna tofauti kati ya L na R naomba ulifanie kazi hili
      figganigga likes this.
      If you are planning for one year, plant rice. If your planning for ten years, plant trees. If you are doing it for a lifetime, educate a person.

    13. #11
      sanjo's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 29th October 2010
      Posts : 861
      Rep Power : 606
      Likes Received
      219
      Likes Given
      33

      Default Re: najua unajua lakini jua zaidi

      Quote By Dena Amsi
      Ukitaja magamba mood ya kuchangia inakwisha SICHANGIIIIII
      Kama baada ya miaka 50 Magamba hawajaweza hata kuweka lami kwenye barabara ilipozaliwa TANU je kuna utata upi tukisema upeo wao umeshindwa kuleta maendeleo? Tafakari jinsi uchumi unavyodorora katikati ya rasilimali lukuki!!!
      figganigga likes this.
      Whatever exists is already becoming obsolete.

    14. #12
      Royals's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 19th November 2011
      Posts : 1,001
      Rep Power : 579
      Likes Received
      215
      Likes Given
      4

      Default

      Nakodi bodaboda sasa hivi ili nikausngalie vizuri.
      figganigga likes this.

    15. #13
      Katavi's Avatar
      JF Bronze Member Array
      Join Date : 31st August 2009
      Location : Lyamba Lya Mfipa
      Posts : 19,590
      Rep Power : 16767
      Likes Received
      2486
      Likes Given
      1850

      Default Re: najua unajua lakini jua zaidi

      Quote By ghumpi
      Mkuu figaniga somo la kiswahili ulipata alama gani vile? Kuna tofauti kati ya L na R naomba ulifanie kazi hili
      Huyu atakuwa ni Mkurya....
      figganigga likes this.

    16. #14
      EBENEZA MT's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 4th July 2011
      Posts : 236
      Rep Power : 446
      Likes Received
      34
      Likes Given
      5

      Default

      [QUOTE=figganigga;4117125]kariakoo ndo sehemu maarufu sana dar es salaam na tanzania kwa ujumla. k/koo ndo kuna soko kuu dar es salaam na tanzania kwa ujumla. K/koo ndo centre ya biashara kwa Tanzania. Na umarufu wote wa k/koo lakini mtaa wa k/koo unao anzia kwenye makao makuu ya ccm Tanzania karibu kabisa na sehemu ilipo zaliwa Tanu pale Lumumba na kutokezea barabara ya msimbazi. Huu mtaa wa k/koo hauna lami wala kokoto, ni barabara ya vumbi iliyo jaa mashimo na uchafu wa kila aina. je walijua hilo?. Mia
      figganigga likes this.

    17. #15
      Mr.Professional's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 4th October 2010
      Location : Dar
      Posts : 1,492
      Rep Power : 736
      Likes Received
      206
      Likes Given
      92

      Default Re: najua unajua lakini jua zaidi

      Nilikuwa najua ila nimejua zaida asante kwako mkuu figganigga
      figganigga likes this.
      for further assistance please press "CTRL + W"

    18. #16
      Ndibalema's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 26th April 2008
      Location : Mbagala
      Posts : 6,610
      Rep Power : 2003
      Likes Received
      1632
      Likes Given
      1613

      Default Re: najua unajua lakini jua zaidi

      Liwalo na liwe.
      figganigga likes this.
      "Makalio ya sufuria hayaogopi moto"

    19. #17
      figganigga's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 17th October 2010
      Location : dar es salaam
      Posts : 8,178
      Rep Power : 12008
      Likes Received
      2650
      Likes Given
      1583

      Default Re: najua unajua lakini jua zaidi

      Quote By Katavi
      Huyu atakuwa ni Mkurya....
      umepatia mkuu. mia
      If you obey all the rules, you miss all the fun.

    20. #18
      figganigga's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 17th October 2010
      Location : dar es salaam
      Posts : 8,178
      Rep Power : 12008
      Likes Received
      2650
      Likes Given
      1583

      Default Re: najua unajua lakini jua zaidi

      Quote By ghumpi
      Mkuu figaniga somo la kiswahili ulipata alama gani vile? Kuna tofauti kati ya L na R naomba ulifanie kazi hili
      mkuu mimi sikusoma kiswahili kabisa. mi nimekaa falklands sana. so najifunza kiswahili. je wapi nmekosea tena?. mia
      If you obey all the rules, you miss all the fun.

    21. #19
      figganigga's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 17th October 2010
      Location : dar es salaam
      Posts : 8,178
      Rep Power : 12008
      Likes Received
      2650
      Likes Given
      1583

      Default Re: najua unajua lakini jua zaidi

      Quote By Chuck j
      Soki=soko
      rami=lami
      Rumumba=lumumba
      asante sana mkuu. mimi R na L zinanipa tabu sana so naomba uwe unanisahihisha kila ninapo kosea. pamoja sana. mia
      If you obey all the rules, you miss all the fun.

    22. #20
      SALOK's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 20th September 2011
      Location : Some where!!
      Posts : 1,169
      Rep Power : 621
      Likes Received
      222
      Likes Given
      207

      Default

      Quote By chuck j
      soki=soko
      rami=lami
      rumumba=lumumba
      makosa ya kisarufi tu hayabadilishi mantiki! mia

    Page 1 of 2 12 LastLast

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...