Mambo ya freemason
Mambo ya freemason
Mbona jamaa hayuko consistent?
yaani hakuna jitu pumbafu duniani kama hili jamaa linaloongea humo njia panda....mautumbo matupu anaongea...
______________________________ _
Niko tayari kufa huku nimesimama kuliko kuishi huku nimepiga magoti....
Jamaa haijui mason. Alichukuliwa msukule huyo halafu anazngzia freemason
anazeeka vbaya
nyie kina Kigogo.... IGWE....na Nicas Mtei....kwanza computer zenu ni freemason.....
kweli Wabongo mmekosa cha kuzungumuzia kila siku suala la Wajenzi huru,hebu nieelezeni kuhusu hao wajenzi Huru katika Dunia ya Leo.
Wazungu wanakili sana wametafuta njia ya kutufanya watanzania tusijitume na kufanikiwa kweli wameweza,. Mi nakataa hamna cha freemason ni upuzi mtupu twendelee kua wavivu
Follow Us Here