JamiiSMS
  Show/Hide This

  Topic: Matokeo Kidato cha Sita 2009

  Report Post
  Page 3 of 3 FirstFirst 123
  Results 41 to 44 of 44
  1. epigenetics's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 25th May 2008
   Posts : 234
   Rep Power : 739
   Likes Received
   40
   Likes Given
   100

   Default Form VI 09 Exam Results

   http://www.necta.go.tz/acsee2009/acsee2009.html

   Kibaha, Mzumbe, Ilboru, Marian zaongoza kama kawaida.....


  2. Abdulhalim's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 20th July 2007
   Location : 67P
   Posts : 17,017
   Rep Power : 85903773
   Likes Received
   1771
   Likes Given
   801

   Default Re: Necta yatangaza Matokeo ya Form VI

   Quote By Mzalendohalisi View Post
   Wazee ahsante kwa ushauri,

   Ni hivi wazazi wake hawana uwezo asome nje ya Tz na pia ana wadogo zake nao wanasoma!

   Yeye anasema somo alililiopenda zaidi ni Economics na pia alipata A. Je vipi mnashaurije akisoma Pure Ecomomics course BA (Econ.) say Mlimani? Then akaja kuwa Economist!

   Au vipi akisoma BCOM ambapo pia ili awe na uwanja mpana zaidi ya Economics? Y

   Je asome Laws?

   Family background wazazi ni watu wa kipato kidogo: na anategemewa aje kuwasidia wadogo zake ili kuwapunguzia mzigo wazazi wake..na ndo maana alishauriwa achukue masomo ya Arts ili pengine apate kazi mapema ili aweze kuwasaidia wazazi na wadogo zake!

   Tunaomba mawazo!
   Mzalendo,

   Nadhani huyo mwanafunzi ni binti, na nadhani kwa binti kupata A tatu si mchezo (mimi pamoja na kukesha na kusoma shule ya boarding sikupata B hata moja!). Naona ana bright future na ni vyema akaangalia ustaarabu nje ya Tanzania. Atakuwa more stronger and learnt.

   Nakushauri ujaribu kuweza kumshauri ktk huu muelekeo.
   "...I pull 'em these hoes with my eyes closed..."

  3. Belo's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 11th June 2007
   Location : Nakahuga
   Posts : 7,439
   Rep Power : 157553644
   Likes Received
   2430
   Likes Given
   2164

   Default Re: Necta yatangaza Matokeo ya Form VI

   Asome kozi yeyote but akomae huko chuo naamini atakuja kuwa Lecturer
   Kitu ambacho mwanasiasa anasema ukweli ni jina lake tu

  4. Ikena's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 24th October 2007
   Posts : 336
   Rep Power : 790
   Likes Received
   37
   Likes Given
   76

   Default Re: Necta yatangaza Matokeo ya Form VI

   Quote By shalom View Post
   Du ukiyaangalia haya matokea kwa makini utaona ni matokeo ya shule zaid kuliko watoto binafsi. Utaona shule either imefaulisha wanafunzi au imefelisha. Nawaonea huruma watoto waliofelishwa na shule.

   Mkuu nakubaliana na wewe.
   Ukiwa kilaza Olevel halafu ukafanikiwa kupata pepa na kufanikiwa kuingia shule kali za Alevel mfano Elboru,kilakala, mzimbe nk lazima utapeta tu.
   Huwa nahisi wasahishaji wakishika pepa za shule hizo wanakua makini zaidi.

  5. pipo's Avatar
   Junior Member Array
   Join Date : 1st January 2008
   Posts : 7
   Rep Power : 715
   Likes Received
   0
   Likes Given
   0

   Default Re: Matokeo Kidato cha Sita 2009

   Hongera sana Kibaha sec!!


  Page 3 of 3 FirstFirst 123

  Similar Topics

  1. Matokeo kidato cha nne 2009
   By Tripo9 in forum Jukwaa la Elimu (Education Forum)
   Replies: 142
   Last Post: 11th February 2012, 11:21
  2. Haya Ndio Matokeo ya Kidato cha Sita
   By MashaJF in forum Jukwaa la Elimu (Education Forum)
   Replies: 21
   Last Post: 29th April 2011, 10:45
  3. Matokeo ya kidato cha sita yatangazwa.
   By MkimbizwaMbio in forum Habari na Hoja mchanganyiko
   Replies: 24
   Last Post: 29th April 2011, 01:18
  4. Ku-doctor Matokeo ya Mitihani ya Kidato cha Nne na Sita
   By Ruge Opinion in forum Jukwaa la Elimu (Education Forum)
   Replies: 0
   Last Post: 29th July 2010, 13:18
  5. Matokeo ya kidato cha sita 2010 hadharani
   By Albedo in forum Jukwaa la Elimu (Education Forum)
   Replies: 3
   Last Post: 2nd May 2010, 20:53

  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...