BREAKING NEWS!!! Serikali yatangaza rasmi mapambano na madaktari
Waziri wa Afya Hussen Mwinyi amesema meza ya mazungumzo na madaktari imefikia ukomo, mengi ya madai yao yamekwisha tatuliwa(eg.kujiuzuru kwa watendaji wa wizara,call allowance,postmortum allowance nk), mengine yatatatuliwa(eg.Green card,Immunization) na mengine hayawezi kutatuliwa(eg. mshahara wa 3.5M,mikopo magari,risk and house allowance nk).
Kwa kuwa jumuiya za madaktari zimeshaanza kutoa matamko kutokubaliana na serikali kwa hiyo hatua inayofuata ni kupimana ubavu kisheria,kisiasa na kiharakati.
SOURCE: TBC1News
Re: Serikali yatangaza rasmi mapambano na madaktari
Problems cannot be solved by the same level of thinking that created them. WaBonge mwezi ujao wanaanza kulipwa 10 M per month bila kodi. Kazi tunayo!!!
The future of this country is being jeopardized by the intellectual slavery of our top leaders
Problems cannot be solved by the same level of thinking that created them. WaBonge mwezi ujao wanaanza kulipwa 10 M per month bila kodi. Kazi tunayo!!!
Re: Serikali yatangaza rasmi mapambano na madaktari
ama kweli hii ndyo Tanzania bana,na ukizingatia jamaa ni dhaifu hata hajui aanzie wapi, najua anajuta kwa nini yeye ni Rais
"Mungu wangu wewe wajua kipato nikipatacho nakuomba uniepushe na maradhi yoyote mpaka vita ya hawa mafahari wawili watakapo maliza mpambano wao amen"
Re: Serikali yatangaza rasmi mapambano na madaktari
hao hao mawaziri wakiumwa ghafla wanakimbizwa india au wanapewa huduma hospitali za nyumbani?
wanacheza na mtu anaeamua akumalizie maisha au akutibu.
wao wanalamba milioni kumi wanasahau wanaowatibu
wakimalizana na mdaktari warudi kwa walimu, mahakimu nao wamesahaulika sana
watawafunga hata mawaziri pia na ndugu zao,
afu wizara ya afya sio ya muungano inakuwaje anapewa mzanzibari aje atuongozee afya?
Re: Serikali yatangaza rasmi mapambano na madaktari
hii nchi kama ufisadi mpaka hawa madoctor ni mafisadi wa kupindukia,kabla ya miaka tisa nyuma nilikuwa nashuhudia watoaji huduma kwa wagonjwa wakiacha kazi serikalini wakihamia kwenye hospitali za binafsi kisa maslahi,baada ya kuingia jk mjengoni sekta ya afya kaiboresha kiasi alichoweza,nikashuhudia makundi ya hawa hawa waliozihama hospitali za serikali wakirudi wakidai sasa maslahi ni bomba,binadamu walivyo wepesi wa kusahau wapi walikuwa!!!
jk ipo siku mjengoni atatoka tu,tunasubiri anaekuja aone mziki ulivyo mnene!!!
Problems cannot be
solved by the same level of thinking that created them. WaBonge mwezi
ujao wanaanza kulipwa 10 M per month bila kodi. Kazi tunayo!!!
hawa jamaa hawako serious na maisha ya wabongo...milioni kumi kwa mwezi then hawana pesa za kuwaongezea madaktari mshahara??? serakali dhaifu, jk ni dhaifu..
Re: Serikali yatangaza rasmi mapambano na madaktari
By Lokissa
hao hao mawaziri wakiumwa ghafla wanakimbizwa india au wanapewa huduma hospitali za nyumbani?
wanacheza na mtu anaeamua akumalizie maisha au akutibu.
wao wanalamba milioni kumi wanasahau wanaowatibu
wakimalizana na mdaktari warudi kwa walimu, mahakimu nao wamesahaulika sana
watawafunga hata mawaziri pia na ndugu zao,
afu wizara ya afya sio ya muungano inakuwaje anapewa mzanzibari aje atuongozee afya?
ndipo hapo kwanini hamuidai Tanganyika yenu mambo yakaisha wizara zote zikashikwa na watanganyika wenyewe???
Re: Serikali yatangaza rasmi mapambano na madaktari
Jamani ingawa mimi nimekuwa nikiwaunga mkono, mgomo wa mara ya mwisho kidogo nimpoteze wife...mimi ningeshauri wanainchi tuandamane tusisubiri maafa kama ya last time...
Re: Serikali yatangaza rasmi mapambano na madaktari
nchi kama hii ilikuwa inataka kiongozi kama saddam huseni kila mpinzani wake alikuwa kashamtaarishia kaburi la kumzika,mtu kama mh:jk yupo powa powa kwa wote,lazma mumuone dhaifu!!!hata kama anawajali!!
[email protected] Tunapotaka kubadilisha watawala si kwa sababu tunataka kubadilisha sura; bali kubadilisha utawala! Yaani, tunataka kubadilisha jinsi tunavyotawaliwa siyo tu sura za wanao tutawala M. M. Mwanakijiji
Re: Serikali yatangaza rasmi mapambano na madaktari
Hamna mwenye ubavu wa kujenga bifu na madoctor. hata rais anatembea na doctor. mtu yoyote mambo ya afya yakizingua mtu wa kwanza kumuendea ni doctor. Halafu leo mnataka kuwaletea ubabe!?. mi nawaheshimu. mia
Re: Serikali yatangaza rasmi mapambano na madaktari
Udhaifu mwingine ndo huu wa kutangaza mechi inayogharimu uhai wa watanzania waliotumia vibaya sanduku la kura na kuwapa uongozi ccm ili waangamie. Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa, sasa majuto ni mjukuu. next time pigeni kura ya kuikataa ccm na udhaifu wake wote, Majanga haya:-1. MUUNGANO, 2. UAMSHO, 3.BAJETI,4, MADOKTA, 5.WALIMU, 6.TCU, 7.MFUMKO WA BEI, 8.MAISHA MAGUMU, 9.RUSHWA, 10.UCHOMAJI MAKANISA, 11.DENI KUBWA, 12.WAKANDARASI KUSIMAMA KWA KUTOLIPWA. 13.SERIKALI HAINA FEDHA,14. KUTOROSHA RASLIMALI. 15.MISAMAHA YA KODI, 16.AJIRA HAKUNA, 17.AHADI HAZITEKELEZEKI, 18. JK DHAIFU.NECTA, 19. MAKUNDI NDANI YA CCM, 20.OMBAOMBA, 21,MADAWA HOSPITALI HAKUNA. 22.UDINI, 23. EPA 24,MEREMETA. 25. KODI INAKUSANYWA 106% ZINAKWENDA WAPI, namengine mengi MADHAIFU,,,,,,,,,,,Duh! Tanzania iko JEHANAMU!!!!!!!!!!!
Follow Us Here