Akiwa anahojiwa na Ebony FM asubuh hii uko akiwa safarini, kwanza kaonyesha uungwana kukubali kusimamisha gari na kufanya interview, ametoa msimamo wake wa kuikataa budget na alipokuja kuulizwa juu ya swala la Komba kuwaambia wabunge wa chadema wakapimwe akili, alijibu kwa ufupi kuwa Komba kuna habari naye kuhusishwa kuwa na uhusiano na LULU.
kuna siku niliishasema hapa jamvini kuwa "Ukiwa mwanachama wa CCM ama mfuasi kwa aina yoyote ile akili yako itakuwa sawa na wagonjwa wa MIREMBE ama BUGANDO ward number 1" argument skills sifuri kabisa kwa wabunge wooooooooote wa ccm
Nasema : CCM tunadhani adui yetu ni Chadema hapana ni Watendaji wetu katika Serikali ya CCM tukawabane hao - Livingstone Kibajaji Lusinde 2013 25 April at 11:54am.
Akiwa anahojiwa na ebony fm asubuh hii uko akiwa safarin, kwanza kaonyesha uungwana kukubali kusimamisha gari na kufanya interview, ametoa mcmamo wake wa kuikataa budget na alipokuja kuulizwa juu ya swala la komba kuwaambia wabunge wa chadema wakapimwe akili, alijibu short n clear kuwa komba kuna habari nae kuhucshwa kutoka na LULU. Sasa hapo nan anastahili kwenda kupimwa akili?
hahahhahaaa,,,siasa bhana,,,UNAPASWA KUCHUNGA SANA BAKULI(MDOMO),,,,UTAVULIWA NGUO ZOTE THEN UKAMATWE MIKONO
Akiwa anahojiwa na ebony fm asubuh hii uko akiwa safarin, kwanza kaonyesha uungwana kukubali kusimamisha gari na kufanya interview, ametoa mcmamo wake wa kuikataa budget na alipokuja kuulizwa juu ya swala la komba kuwaambia wabunge wa chadema wakapimwe akili, alijibu short n clear kuwa komba kuna habari nae kuhucshwa kutoka na LULU. Sasa hapo nan anastahili kwenda kupimwa akili?
nimeipenda hii...inabidi komba aisaidie mahakama maana kama alikua na uhusiano na mtoto wa miaka 17 that's statutory rape
Nimelipenda jibu hilo. Kama mtu mzima over 50 anaweza kufanya mapenzi na vibinti under 18 huyo ndio wa kupimwa akili.Wanarusha mawe wakiwa nyumba ya vioo
Nyie nao mnamjadili hata Komba! Jana aliunga mkono bajeti 100% (akimaanisha haina dosari hata nukta), wakati kwenye mchango wake alikosoa mambo mengi ikiwa ni pamoja na bajeti yenyewe kushindwa kuwasaidia watu wake kwenye kilimo na uvuvi. Sasa hiyo 100% inatoka wapi, unafikiri anajua hesabu huyu? Watu wengine ni wa kuhurumiwa tu.
Presha inapanda, presha inashuka.
Uone alivo kilaza. Baada ya kutoa dalili za ICU alizonazo akaanza kusema kwakweli jimbo langu ndilo masikini kupita yote. Inamaana wenzake wakiisema bajeti hii kuwa ni danganya toto haiihusu jimbo lake?
Akiwa anahojiwa na ebony fm asubuh hii uko akiwa safarin, kwanza kaonyesha uungwana kukubali kusimamisha gari na kufanya interview, ametoa mcmamo wake wa kuikataa budget na alipokuja kuulizwa juu ya swala la komba kuwaambia wabunge wa chadema wakapimwe akili, alijibu short n clear kuwa komba kuna habari nae kuhucshwa kutoka na LULU. Sasa hapo nan anastahili kwenda kupimwa akili?
Kwanza Komba mwenyewe kama sio kutoa kafara hata ubunge angeusikia bombani,mshirikina mkubwa
Mnataka kunambia LULU ni chakula ya bwana kitambi?
Ndugu yangu, upo nchi gani hulijui hili! "Kitambi" ndiye aliyemnunulia Lulu gari. Kama hiyo haitoshi inasemekana kuwa "Kitambi" anapenda sana "kupita mlango wa nyuma" na inasemekana mmoja wa watu anaowala ni Mkibosho mmoja mwenye bar pale Mwenge.
Huku Magamba wakiendelea kusambaratishwa; Chadema Rahaaa!!!!! Si Rahaa!!!! WOTE: RAHAAAA!!!!!!!!!!
Nyie nao mnamjadili hata Komba! Jana aliunga mkono bajeti 100% (akimaanisha haina dosari hata nukta), wakati kwenye mchango wake alikosoa mambo mengi ikiwa ni pamoja na bajeti yenyewe kushindwa kuwasaidia watu wake kwenye kilimo na uvuvi. Sasa hiyo 100% inatoka wapi, unafikiri anajua hesabu huyu? Watu wengine ni wa kuhurumiwa tu.
Muoneeni huruma huyu bwana. Sidhani kama anajua yupo bungeni kwa kazi gani........... yeye anachojua ni kwaya, mashairi na ngonjera za propaganda........... Hivi hamshangai kwa nini huwa analala lala ovyo mjengoni?? Huwa anashindwa kufatilia mambo at higher level. Usije shangaa hata alipoongea alikuwa amekurupuka toka usingizini akimsikia Mwigulu akitapika sasa naye akajua hiyo ndiyo hoja yenyewe akairukia!!!
"The Only Necessary for the Triumph of Evil is for Good Men to do Nothing" Edmund Burke (1729 - 97)
Follow Us Here