Mimi nilikua nafuatilia kwa makini sana, nikajawa na mawazo ya kijinga mengi sana likiwemo la kuombea bajeti ya nchi yangu iingie kwenye maajabu ya dunia huenda ikasaidia kuinua uchumi!
Maajabu mengine ni pamoja na Twiga wanaopanda Ndege!!!!
So tujivunie jamani!!!!

Reply With Quote

Follow Us Here