Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Ratiba ya maziko ya mama yetumpendwa..mama pdidy kesho saa nane

    Report Post
    Page 1 of 3 123 LastLast
    Results 1 to 20 of 54
    1. #1
      Pdidy's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 22nd November 2007
      Posts : 12,283
      Rep Power : 3442
      Likes Received
      1322
      Likes Given
      855

      Default Ratiba ya maziko ya mama yetumpendwa..mama pdidy kesho saa nane

      Ndugu zanguni
      atuna budi kuishi kama wasio na matumaini na kuamini mungu ndie alimleta na ndie alieamua kumchukua ni vigumu kuamini na sikuwahi kuhisi hili ila furaha ilioje ni kwamba mama yangu mpenda amekufa katika bwana saa tano usiku, saa mbili akaomba wachungaji akiwa na nguvu za kuongea..walipokuja akaomba mchungaji awabariki manesi wanaomtibu then akaongoza sala ya toba alipomaliza nikiwa nyuma yake akasema yesu unipokee akaomba nimpumzishe alale..nikiwa nimeendelea kumshika sikujua kumbe ameshakufa nikiwa namweka sawa niende nyumban nikagundua utukufu wa mungu umeshatimizwa

      ahsanten kwa maombi yenu kibinadamu ni ngumu lakini mungu ndie mweza yote

      msiba uko kimara bucha ukifika upande wa kulia ..tunaaaga kesho saa nane mchana tunaenda kuzika makaburi ya mbweni...for more info 0713 45 87 22

      bwana akubariki wewe ulietumia muda wako kutuombea familia ni vigumu kushukuru lakini mungu akujalie pale palipopungua
      Asprin, Kinyungu, Ngongo and 14 others like this.

    2. Miaka 50

    3. #2
      Likwanda's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 16th June 2011
      Location : Dar Es Salaam
      Posts : 2,497
      Rep Power : 900
      Likes Received
      506
      Likes Given
      74

      Default Re: Ratiba ya maziko ya mama yetumpendwa..mama pdidy kesho saa nane

      R.I.P Mama, na Mungu akujaze nguvu na uvumilivu zaidi katika kipindi hichi kigumu cha msiba.
      Mamndenyi likes this.

    4. #3
      mizambwa's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 8th October 2008
      Posts : 1,438
      Rep Power : 974
      Likes Received
      367
      Likes Given
      1807

      Default Re: Ratiba ya maziko ya mama yetumpendwa..mama pdidy kesho saa nane

      Pole Sana. Tupo [pamoja katika kumuombea mama yetu mpendwa.

      RIP mama.



      MIZAMBWA
      INANIUMA SANA!!!
      Mamndenyi likes this.
      SASA NIMEAMINI KUWA TANZANIA BILA CCM INAWEZEKANA!!!!, TUANDAE KABURI LA KUIZIKA MWAKA 2015

    5. #4
      EBENEZA MT's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 4th July 2011
      Posts : 236
      Rep Power : 446
      Likes Received
      34
      Likes Given
      5

      Default Re: Ratiba ya maziko ya mama yetumpendwa..mama pdidy kesho saa nane

      Pole sana mkuu BWANA ALITOA BWANA AMETWAA JINA LA BWANA LIBARIWE.
      Mamndenyi likes this.

    6. #5
      Makupa's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 11th April 2011
      Posts : 2,175
      Rep Power : 810
      Likes Received
      249
      Likes Given
      0

      Default Re: Ratiba ya maziko ya mama yetumpendwa..mama pdidy kesho saa nane

      mkuu tupo wote kipindi hiki kigumu
      Mamndenyi likes this.

    7. FemaTV & Radio

    8. #6
      Mmwaminifu's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 15th October 2010
      Posts : 885
      Rep Power : 720
      Likes Received
      134
      Likes Given
      19

      Default Re: Ratiba ya maziko ya mama yetumpendwa..mama pdidy kesho saa nane

      Pole sana mkuu. Tuko pamoja kwa maombi R. I. P. Our Mama
      Mamndenyi likes this.

    9. #7
      Ndinani's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 29th August 2010
      Posts : 2,947
      Rep Power : 1531
      Likes Received
      745
      Likes Given
      237

      Default Re: Ratiba ya maziko ya mama yetumpendwa..mama pdidy kesho saa nane

      Pole sana Kamanda, Kazi ya Mungu haina makosa. Mama ametangulia nasi tutamfuata. Jina la bwana lihimidiwe.
      Mamndenyi likes this.

    10. #8
      maishapopote's Avatar
      JF Platinum Member Array
      Join Date : 28th May 2009
      Location : njoro
      Posts : 813
      Rep Power : 2314
      Likes Received
      159
      Likes Given
      1504

      Default Re: Ratiba ya maziko ya mama yetumpendwa..mama pdidy kesho saa nane

      pole P didy
      Mamndenyi likes this.
      "JF ni zaidi ya Google"-Mentor Jamiiforums

    11. #9
      Narubongo's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 3rd November 2010
      Posts : 1,886
      Rep Power : 810
      Likes Received
      842
      Likes Given
      680

      Default Re: Ratiba ya maziko ya mama yetumpendwa..mama pdidy kesho saa nane

      Tumshukuru mungu kwakuwa ni mwema. May our lovely mom rest in eternal peace. Amen.
      Last edited by Narubongo; 14th June 2012 at 14:36.
      Mamndenyi likes this.
      "Chadema kinatumia alama ya vidole viwili kama manati, manati kamwe haiwezi kuua tembo" Livingstone Lusinde (2012)

    12. tz1
      #10
      tz1's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 19th March 2011
      Posts : 2,048
      Rep Power : 827
      Likes Received
      406
      Likes Given
      319

      Default Re: Ratiba ya maziko ya mama yetumpendwa..mama pdidy kesho saa nane

      tupo pamoja
      Mamndenyi likes this.
      [email protected]

    13. #11
      Money stunna's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 9th August 2011
      Location : BeechGrove City,Indianapolis
      Posts : 2,802
      Rep Power : 954
      Likes Received
      812
      Likes Given
      520

      Default Re: Ratiba ya maziko ya mama yetumpendwa..mama pdidy kesho saa nane

      tuko pamoja,kipindi hiki kigumu,tumuombe mungu
      Mamndenyi likes this.

    14. #12
      Mchwechwele's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 8th January 2011
      Posts : 1,138
      Rep Power : 651
      Likes Received
      321
      Likes Given
      82

      Default Re: Ratiba ya maziko ya mama yetumpendwa..mama pdidy kesho saa nane

      Pole sana mkuu katika hiki kipindi kigumu
      Mamndenyi likes this.
      Maskini hana Mpambe

    15. #13
      faizah's Avatar
      Member Array
      Join Date : 22nd June 2011
      Posts : 62
      Rep Power : 412
      Likes Received
      9
      Likes Given
      18

      Default

      Pole sana mpendwa mungu akupe nguvu na subira ktk kipindi hiki kigumu, mauti ni glass sote tutainywea
      Mamndenyi likes this.

    16. #14
      Nivea's Avatar
      Banned Array
      Join Date : 21st May 2012
      Posts : 5,680
      Rep Power : 0
      Likes Received
      3141
      Likes Given
      4053

      Default Re: Ratiba ya maziko ya mama yetumpendwa..mama pdidy kesho saa nane

      pole san a mkuu
      Mamndenyi likes this.

    17. #15
      VUTA-NKUVUTE's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 17th November 2011
      Posts : 1,703
      Rep Power : 723
      Likes Received
      892
      Likes Given
      125

      Default Re: Ratiba ya maziko ya mama yetumpendwa..mama pdidy kesho saa nane

      Pole sana Mkuu. Mama apumzike pema peponi.Amina.
      Mamndenyi likes this.
      Uongo huonekana na kuaminiwa haraka.Ukweli ndio mwisho wa yote!

    18. #16
      andishile's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 1st April 2012
      Posts : 603
      Rep Power : 480
      Likes Received
      147
      Likes Given
      293

      Default Re: Ratiba ya maziko ya mama yetumpendwa..mama pdidy kesho saa nane

      pole sana mwanajamvi mwenzetu,pamoja tupo nawe ktk msiba huu.
      Mamndenyi likes this.

    19. #17
      Asprin's Avatar
      JF Gold Member Array
      Join Date : 8th March 2008
      Location : Psychiatric Ward
      Posts : 25,440
      Rep Power : 32076
      Likes Received
      14542
      Likes Given
      22033

      Default Re: Ratiba ya maziko ya mama yetumpendwa..mama pdidy kesho saa nane

      Mungu amlaze mahali pema mama yetu mpendwa.

      Na Mungu huyohuyo aendelee kukupa moyo wa subira na uvumilivu katika kipindi hiki kigumu sana kwako.

      Pole sana mkuu Pdidy kwa msiba huu mkubwa uliokupata.

      Bwana alitoa, Bwana ametwaa..... JIna lake lihimidiwe.
      Mamndenyi likes this.
      ....Shimo La Panya Halifunikwi Kwa Mkate.....

    20. #18
      kibaa's Avatar
      Member Array
      Join Date : 29th August 2011
      Posts : 65
      Rep Power : 404
      Likes Received
      6
      Likes Given
      3

      Default Re: Ratiba ya maziko ya mama yetumpendwa..mama pdidy kesho saa nane

      pole sana mkuu yote tumuachie Muumba yeye ndo mwenye mamlaka kazi yake haina makosa.
      Mamndenyi likes this.

    21. #19
      Thomas Odera's Avatar
      JF Bronze Member Array
      Join Date : 1st November 2010
      Location : Karachuonyo - Kisumu
      Posts : 510
      Rep Power : 536
      Likes Received
      60
      Likes Given
      70

      Default Re: Ratiba ya maziko ya mama yetumpendwa..mama pdidy kesho saa nane

      Mama apate pumziko la milele na wafiwa poleni sana
      Mamndenyi likes this.
      Waovu wakitawala maovu huongezeka, lakini waadilifu watashuhudia kuanguka kwao. ( Meth 29: 16 )

    22. #20
      Emanuel Makofia's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 5th January 2010
      Location : B.O.T
      Posts : 3,431
      Rep Power : 1163
      Likes Received
      487
      Likes Given
      286

      Default Re: Ratiba ya maziko ya mama yetumpendwa..mama pdidy kesho saa nane

      mkuu pole sana BWANA awatie nguvu
      kipindi hiki hakika huwa hakivumiliki ila ni kwa mapenzi ya MOLA
      RIP mapdy
      Mamndenyi likes this.
      .....Chuma cha reli hakishiki kutu...

    Page 1 of 3 123 LastLast

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...