Siikiliza Bunge la nane la Bajeti katika Computer yako:
tembelea www.arushamambo.com click "Sikiliza Arusha Mambo FM..." redio ikifunguka kwenye Page ya Tune IN tafadhali click LIKE au toa maoni yako kupitia [email protected]
Arusha Mambo itarusha vipindi vyote vya Bunge vya Asubuhi na Jioni ikiwa ni pamoja na vipindi vya Bajeti vya Bunge la Kenya na Uganda LEO tarehe 14.06.2012 ikiwa ni jitihada za kuwawezesha wasikilizaji wetu kuielewa Afrika ya Mashariki.
Source: Arusha Mambo.

Reply With Quote


Follow Us Here