Dar es salaam litakuwa katika wakati mgumu baada ya bomba kuu lenye ich 57 ambalo liliwekwa toka mwaka 1957 kupasuka kutokana na umri,hivyo wakazi mmeombwa kutumia maji kwa uangalifu
Dar es salaam litakuwa katika wakati mgumu baada ya bomba kuu lenye ich 57 ambalo liliwekwa toka mwaka 1957 kupasuka kutokana na umri,hivyo wakazi mmeombwa kutumia maji kwa uangalifu
Asante kwa taarifa tunashukuru nchi 57 ya mwaka 57 kweli bongo
Asante kwa taarifa,ila hii inawahusu zaidi watu wa Upanga,Mbezi Beach na Kimara.Sisi wa Ukonga halituhusu maana huku hakuna bomba la Dawasco huku kuna visima tuu.
mwaka 1957?? bila kukarabatiwa??
ila ukipitia makarabrasha utakuta fedha zilizotengwa kwa matengenezo zilishatumika
Mimi nakaa dar, tabata in particular since 1996........ Huwa nashangaa sana nikisikia kwenye vyombo vya habari kuwa dar itakosa maji kwa muda fulani coz i dont remember the last time nimeyaona maji ya dawasco hapa home......... So basically sisi tushazoea maji ya visima. Anywayz labda hili tangazo linawahusu zaidi watu wa upanga,osterbay,masaki kama alivyosema mchangiaji mmoja hapo juu.
Follow Us Here