Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Star tv na itv kuzindundua kingamuzi na matangazo ya digital September 2012

    Report Post
    Results 1 to 11 of 11
    1. #1
      Kurunzi's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 31st July 2009
      Location : DAR ES SALAAM
      Posts : 1,947
      Rep Power : 888
      Likes Received
      382
      Likes Given
      144

      Default Star tv na itv kuzindundua kingamuzi na matangazo ya digital September 2012

      Serikali kupitia Tume ya Mawasiliano nchini imesema kuwa ifikapo Disemba 31 mwaka 2012 ndiyo itakuwa mwisho kwa vituo vyote vya televisheni kurusha mawasiliano yake katika mfumo wa analogy na kujiunga na mfumo wa digitali, hivyo basi kwa msingi huo kampuni ya Sahara Media Group na wadau shirika wako kwenye mchakato kuharakisha zoezi la kusimika minara na mitambo kwaajili ya kuingia kwenye masafa bora ya kisasa.

      Mkurugenzi wa Sahara Media Group bw. Anthony Dialo akiongea na waandishi wa (habari wataonekana katika picha nyingine) ambapo amesema kuwa kuanzia mwezi Septemba 2012 minara na mitambo ya king'amuzi kipya itawashwa rasmi kwaajili ya kuanza kufanya kazi. Star Tv pamoja na televisheni zote za IPP zitaingia katika mfumo wa digitali kupitia king'amuzi hicho.

      "Uzuri wa mfumo wa digitali kupitia kingamuzi unakupa fursa ya kupata chanel nyingi zaidi katika frequency moja, Inakupa afya ya macho kupata picha safi kwa matukio na taarifa mbalimbali" says Mr. Dialo.

      "Jumla ya leseni tatu zilitolewa na TCRA kwa ajili ya kurusha matangazo ndani ya mfumo wa digitali, TBC wakishirikiana na Star Media wanakingamuzi chao kiitwacho Startimes, Makanisa wakishirikiana na Agape wanaking'amuzi chao kiitwacho Ting, na leseni ya tatu ilitolewa kwa Sahara Media Group wakishirikiana na IPP, hivyo kaa tayari kujionea mapinduzi mapya ndani ya mfumo wa Digitali" Aliongeza Mkurugenzi huyo wakati wa mahojiano yaliyofanyika kwenye minara ya urushaji wa matangazo iliyopo katika vilima vya Nyanshana wilaya ya Ilemela jijini Mwanza..
      Attached Thumbnails    
      INSIGHT

    2. FemaTV & Radio

    3. #2
      BornTown's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 7th May 2008
      Location : ???
      Posts : 1,482
      Rep Power : 864
      Likes Received
      283
      Likes Given
      104

      Default re: Star tv na itv kuzindundua kingamuzi na matangazo ya digital September 2012

      Ningewashauri hao TCRA watoe kingamuzi 1 cha ziada ambacho mtumiaji anauwezo kutumia kadi 1 wa kuona chanel zote, mfano kuwe na kingamuzi chenye ITV na tv zake zote(EATV,CAPITAL),Star Tv,Mlimani,TBC,Chanel10 na tv zake zote(C2C na DTV) na nyinginezo za ziada kama walivyo Star times na Ting hii itasaidia kiasi fulani, hebu pata picha unaingia sebuleni kwa mtu unakuta deki za vingamuzi zaidi ya 3 havileti picha nzuri kwanza ni mzigo na manynya mengi sebuleni hayapendei hadhi ya sebule inageuka karakana maan manyaya kila kona...
      Ismaili Yakhya likes this.
      "DONT BE A WOMAN THAT NEEDS A MAN BE A WOMAN A MAN NEEDS!!!!"

    4. #3
      KIBURUDISHO's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 28th March 2011
      Posts : 684
      Rep Power : 549
      Likes Received
      101
      Likes Given
      8

      Default

      Quote By Kurunzi
      Jumla ya leseni tatu zilitolewa na TCRA kwa ajili ya kurusha matangazo ndani ya mfumo wa digitali, TBC wakishirikiana na Star Media wanakingamuzi chao kiitwacho Startimes, Makanisa wakishirikiana na Agape wanaking'amuzi chao kiitwacho Ting, na leseni ya tatu ilitolewa kwa Sahara Media Group wakishirikiana na IPP, hivyo kaa tayari kujionea mapinduzi mapya ndani ya mfumo wa Digitali" Aliongeza Mkurugenzi huyo wakati wa mahojiano yaliyofanyika kwenye minara ya urushaji wa matangazo iliyopo katika vilima vya Nyanshana wilaya ya Ilemela jijini Mwanza..
      Kampuni ya tatu si Sahara ni ZUKU labda kama tcra wameongeza na sahara imekuwa ya nne.

    5. #4
      gango2's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 31st August 2011
      Location : From Moshi
      Posts : 682
      Rep Power : 527
      Likes Received
      197
      Likes Given
      166

      Default re: Star tv na itv kuzindundua kingamuzi na matangazo ya digital September 2012

      According to TCRA ambayo imetoa leseni kwa makampuni matatu (Startimes, Ting na hao Basic transmision) mara mfumo wa digitali utakapoanza rasmi basi ili kuondoa usumbufu wa kuwa na ving'amuzi vyote vitatu, hawa service provider itawalazimu kuingiza local chanel zote katika ving'amuzi vyao na hizi local chanels zitakuwa ni free to air channels.

      kwa hiyo watanzania wasiwa na wasiwasi, local chanel zote zitapatikana katika ving'amuzi vyote vitatu na zitakuwa free to air]

      Ismaili Yakhya likes this.
      "Kama tunalipa wabunge sitting allowances, basi tulipe walimu standing allowance!"- Dr.Slaa

    6. #5
      twatwatwa's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 19th September 2011
      Posts : 839
      Rep Power : 555
      Likes Received
      95
      Likes Given
      3

      Default

      Quote By KIBURUDISHO
      Kampuni ya tatu si Sahara ni ZUKU labda kama tcra wameongeza na sahara imekuwa ya nne.
      zuku ni kampuni ya kenya inatumia dvb-s. Sahara group ilepewa leseni ya dvb-t toka mwaka juzu

    7. Miaka 50

    8. #6
      dav22's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 22nd February 2012
      Posts : 656
      Rep Power : 497
      Likes Received
      46
      Likes Given
      40

      Default Re: Star tv na itv kuzindundua kingamuzi na matangazo ya digital September 2012

      he he he he he hii ishu ya ving'amuzi nayo du noma kwahiyo sasa na TV zitakuwa kama simu maana kbla ya mchina kuja na double line lazima mtu utembee na simu kadhaa sasa na TV naona kama tunaelekea huko he he he he he

    9. #7
      Masulupwete's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 15th February 2012
      Posts : 138
      Rep Power : 394
      Likes Received
      24
      Likes Given
      12

      Default Re: Star tv na itv kuzindundua kingamuzi na matangazo ya digital September 2012

      Nahisi kuchanganyikiwa.

      Sisi wenye Dstv inakuwaje? Tutapata hizo local channels au ni lazima kuongeza ving'amuzi?

    10. #8
      Mkirua's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 9th September 2010
      Posts : 3,421
      Rep Power : 1035
      Likes Received
      1173
      Likes Given
      599

      Default Re: Star tv na itv kuzindundua kingamuzi na matangazo ya digital September 2012

      Quote By gango2
      According to TCRA ambayo imetoa leseni kwa makampuni matatu (Startimes, Ting na hao Basic transmision) mara mfumo wa digitali utakapoanza rasmi basi ili kuondoa usumbufu wa kuwa na ving'amuzi vyote vitatu, hawa service provider itawalazimu kuingiza local chanel zote katika ving'amuzi vyao na hizi local chanels zitakuwa ni free to air channels.

      kwa hiyo watanzania wasiwa na wasiwasi, local chanel zote zitapatikana katika ving'amuzi vyote vitatu na zitakuwa free to air]

      Mkuu kama hivi ndivyo for the first time Tanzania tutakuwa tumefanya maamuzi yenye akili maana kila unaposoma na kuangalia maamuzi ya serekali yetu kwenye Multilateral contracts unabaki kujiuliza tuna laana au?? yaani tunajikana as if hao wanaosaini hiyo mikataba watahamia kwenye sayari nyingine wao na ndg zao right after hyo mikataba kuanza kutumika.
      The world suffers a lot. Not because of the violence of bad people, but because of the silence of good people!

    11. #9
      Katavi's Avatar
      JF Bronze Member Array
      Join Date : 31st August 2009
      Location : Lyamba Lya Mfipa
      Posts : 19,607
      Rep Power : 16770
      Likes Received
      2491
      Likes Given
      1855

      Default Re: Star tv na itv kuzindundua kingamuzi na matangazo ya digital September 2012

      Quote By twatwatwa
      zuku ni kampuni ya kenya inatumia dvb-s. Sahara group ilepewa leseni ya dvb-t toka mwaka juzu
      Hapo kwenye bluu naomba ufafanuzi mkuu twatwatwa, maana mimi sielewi nazidi kuchanganyikiwa tu.

    12. #10
      gango2's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 31st August 2011
      Location : From Moshi
      Posts : 682
      Rep Power : 527
      Likes Received
      197
      Likes Given
      166

      Default Re: Star tv na itv kuzindundua kingamuzi na matangazo ya digital September 2012

      Quote By Katavi
      Hapo kwenye bluu naomba ufafanuzi mkuu twatwatwa, maana mimi sielewi nazidi kuchanganyikiwa tu.
      kwa uelewa wangu mdogo ni hivi DVB S wao wanatumia mainly SATELITE katika transmission zao na hizi DVB T wao mainly wanatumia tower (sijui nisemeja hapa) but kwa hizi DVB S ambazo wanatumia satelite moja kwa moja karusha kwa wateja wao haiwalazimu kufunga mitambo tena kwani whenever you are ukifunga satelite dish utapata access na ndo maaana DSTV hata ukiwa very interior unaweza kuiaccess.

      tofauti na hawa wanaotumia DVB T ambao wao inawalazimu kufunga towers (transmitters) pale wanapotaka kutoa accessbility ya huduma zao na ndo maana STARTIMES wao wanatumia mitambo ambayo kwa sasa wamefunga DAR, ARUSHA, MWANZA, DODOMA, TANGA NA MOSHI na ukiwa nje ya mikoa hiyo huwezi pata huduma zao

      na ndo maana tunasema ZUKU sio competitor kwa startimes na zuku, kwani system zao ni tofauti wao ZUKU na DSTV naweza sema ni competitors though Kind of service zinazotolewa na makampuni yote haya zinafanana.
      Katavi likes this.
      "Kama tunalipa wabunge sitting allowances, basi tulipe walimu standing allowance!"- Dr.Slaa

    13. #11
      Katavi's Avatar
      JF Bronze Member Array
      Join Date : 31st August 2009
      Location : Lyamba Lya Mfipa
      Posts : 19,607
      Rep Power : 16770
      Likes Received
      2491
      Likes Given
      1855

      Default Re: Star tv na itv kuzindundua kingamuzi na matangazo ya digital September 2012

      Quote By gango2
      kwa uelewa wangu mdogo ni hivi DVB S wao wanatumia mainly SATELITE katika transmission zao na hizi DVB T wao mainly wanatumia tower (sijui nisemeja hapa) but kwa hizi DVB S ambazo wanatumia satelite moja kwa moja karusha kwa wateja wao haiwalazimu kufunga mitambo tena kwani whenever you are ukifunga satelite dish utapata access na ndo maaana DSTV hata ukiwa very interior unaweza kuiaccess.

      tofauti na hawa wanaotumia DVB T ambao wao inawalazimu kufunga towers (transmitters) pale wanapotaka kutoa accessbility ya huduma zao na ndo maana STARTIMES wao wanatumia mitambo ambayo kwa sasa wamefunga DAR, ARUSHA, MWANZA, DODOMA, TANGA NA MOSHI na ukiwa nje ya mikoa hiyo huwezi pata huduma zao

      na ndo maana tunasema ZUKU sio competitor kwa startimes na zuku, kwani system zao ni tofauti wao ZUKU na DSTV naweza sema ni competitors though Kind of service zinazotolewa na makampuni yote haya zinafanana.
      Asante nimekupata......

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...