According to Clouds FM,
Dr Harrison Mwakyembe amefanya supprise visit na kusafiri kwa treni kutoka Dar kuelekea Dodoma kuhudhuria kikao cha bunge. Mud si mrefu tutafahamu alichokusudia kufanya hiyo suprise.
According to Clouds FM,
Dr Harrison Mwakyembe amefanya supprise visit na kusafiri kwa treni kutoka Dar kuelekea Dodoma kuhudhuria kikao cha bunge. Mud si mrefu tutafahamu alichokusudia kufanya hiyo suprise.
I am a free thinker! It's only my free thinking that leads me, to what am commenting. Thus, I've no doubt that today I can be your fellow but tomorrow your enemy, and the agent between us being my comments!! So, If today we agree with cheers, tomorrow we'd not disagree with jeers!
Katika kufanya surprise kwa wafanyakazi wa reli na wananchi kwa ujumla waziri wa Uchukuzi Dr. Harison Mwakyembe kaamua kupanda treni ya njia ya kati kuelekea mjengoni Dodoma leo hii.
Anasubiriwa atoe dodoso la safari na malengo ya safari yake
daraja la ngapi mkuu??
ccm inakufa,asante mungu umesikia kilio chetu!!!!!!!
urais unatafutwa kwa nguvu zote!
good move!!
Hiyo treni kurudi dar tena hadi bunge liishe
Lakum diinukum waliyadiin!!!!
sioni ajabu
Dr Mwakyembe ameamua kweli kweli, naona anafufua matumaini ya kundi lake kuelekea urais
kwa hiyo shangingi linabaki dar au?
Mkataba wa TRL anausemaje? Waliofuja mali za shirika je? Nilitegemea alichofanya ATCL ataendeleza huku na sio kupanda train kwa ajili ya kupiga picha na kuuza sura kwenye magazeti.
Hii sumu aliyolishwa Mwakyembe inaelekea ni nzuri sana...inabidi na mawaziri wote wapewe dozi ili uzalendo urudi...!
“Problems cannot be solved by the same level of thinking that created them.”“Insanity: doing the same thing over and over again and expecting different results.”" by Albert Einstein"
Follow Us Here