Sababu ni mtu kugongwa ni maeneo ya jirani na jeshi hapa karibu na njiapanda ya airport watu wameweka magogo. Raia wanalazimika kutembea ama kusubiri magari yaachiwe. Hakuna usafiri wa kurud toka banana wala kutoka tazara unaotembea wenye magari yao wamesimama tu.
source: nipo jirani na eneo la tukio.

Reply With Quote



MTAANI"
"Life comes once only: No retake/replay/rewind/once-more. One should enjoy it, be happy & keep happy others too."
Follow Us Here