Kwa mujibu wa redio ebony ya hapa iringa kuna jamaa alifumaniwa kwa kufanya mapenzi na nguruwe katika kijiji cha itunundu pawaga,iringa.alipokamatwa alikiri huwa ulikuwa mchezo wake wa muda mrefu.hii jamii yetu inakwenda wapi sasa?
Kwa mujibu wa redio ebony ya hapa iringa kuna jamaa alifumaniwa kwa kufanya mapenzi na nguruwe katika kijiji cha itunundu pawaga,iringa.alipokamatwa alikiri huwa ulikuwa mchezo wake wa muda mrefu.hii jamii yetu inakwenda wapi sasa?
makubwa
Ufyetele!!!!! hahaha nalikumbuka sana hili neno nililiskia toka kwenye redio hio hio kuuliza wenyeji wangu ndio nikaambiwa maana yake ni Umbea, so hii redio imekaa kiumbea umbea flani hivi
Ukame huo
TANZANIA ITAJENGWA NA WENYE MOYO NA KULIWA NA WENYE MENO KAMA AKINA EL, JK, EC na RA
Kukosa ubinadamu, wadada mbona wapo wengi siku hizi, tena wala huchukui gharama kuimbisha nyimbo. may be kaongopewa na kalumanzila.
Ni nyakati za mwisho....
looo!!.....nguruwe huyu huyu nnaemjua au....
lord have mercy! sio udesi kweli huu??? (udesi-uongo kihehe).
"the problem is not me! the problem is you understading me!"
Huyu lazima atakuwa mgalatia manake sisi hata kumgusa haramu
Nahisi kuna imani za kishirikina hapo!
'' Mtu ni Utu sio Kitu''
ayaaaaaaaa kamuharibu 'mdudu'
Wampe amle mwenyewe. maana amemtia najisi
anatuharibia ladha ya kitoweo
You may know me but you have no Idea who I am !
Mh! Mi najua mapenzi lazima kuwe na makubaliano. Mods badilisheni title muweke ambaka nguruwe!
Alikuwa anapata kitu moto.
If we permit feathers to be freely borrowed, who is to tell the peacock from the crow?
si mnasemaga huyo mdudu ni mtamu jamaa ameenda mbele zaidi kwenye utamu mwingine
Follow Us Here