Kwa mujibu wa redio ebony ya hapa iringa kuna jamaa alifumaniwa kwa kufanya mapenzi na nguruwe katika kijiji cha itunundu pawaga,iringa.alipokamatwa alikiri huwa ulikuwa mchezo wake wa muda mrefu.hii jamii yetu inakwenda wapi sasa?
Kwa mujibu wa redio ebony ya hapa iringa kuna jamaa alifumaniwa kwa kufanya mapenzi na nguruwe katika kijiji cha itunundu pawaga,iringa.alipokamatwa alikiri huwa ulikuwa mchezo wake wa muda mrefu.hii jamii yetu inakwenda wapi sasa?
Huyo jamaa akizuiliwa hako kamchezo atajinyonga, maana wahehe kwa kujinyonga balaa
Use what you get to get what you want
mhhh kichefuchefu ........
Na huko Kilimanjaro kwa mujibu wa vyombo vya habari leo kuna jamaa amekamatwa akitenda tendo kama hilo na MBUZI. Jamani imeandikwa alaaniwe yule afanyae ngono na wanayama.
"If you talk to a man in a language he understands, that goes to his head. If you talk to him in his language, that goes to his heart." Nelson Mandela
Kwisha habari yangu!!!!!!
MUNGU okoa kizazi hiki.
Usitake nicheke mie! JKT Mafinga ukipewa post ya kuchunga mbuzi wale maafande walikuwa wanasema "hakikisha hawa mbuzi vigoli wanarudi na bikira zao, usifanye mchezo mbaya huko".
Kuna jamaa nilisoma nae wa kutoka kanda ya ziwa yeye alikuwa anasema kabisa bila kuficha, kwamba wakiwa wadogo kwenye kuchunga mbuzi walikuwa wakiwananihii ile mbaya, basi tunaishia kucheka sana tu!
Kumbe ndio maaaana!....
[QUOTE=kingfish;4039137]Kwa mujibu wa redio ebony ya hapa iringa kuna jamaa alifumaniwa kwa kufanya mapenzi na nguruwe katika kijiji cha itunundu pawaga,iringa.alipokamatwa alikiri huwa ulikuwa mchezo wake wa muda mrefu.hii jamii yetu inakwenda wapi sasa?[/QUOT
Huo ni ushirikina tu, haiwezekana nyumba ndogo iwe nguruwe au mnyama wa aina yoyote. Tunakoelekea Mungu wetu atende miujiza.
Follow Us Here