Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Nimepoteza mama yangu kipenzi usiku wa leo

    Report Post
    Page 2 of 12 FirstFirst 1234 ... LastLast
    Results 21 to 40 of 232
    1. #1
      Pdidy's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 22nd November 2007
      Posts : 12,283
      Rep Power : 3442
      Likes Received
      1322
      Likes Given
      855

      Default Nimepoteza mama yangu kipenzi usiku wa leo

      Dear wapendwa
      nimempoteza mama yangu kipenzi usiku huu
      naomba maombi yenu
      more inf to mex
      Baba Mtu and Dark City like this.

    2. FemaTV & Radio

    3. #21
      Nguruvi3's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 21st June 2010
      Location : Kidabashi-Dongobeshi
      Posts : 3,403
      Rep Power : 2879
      Likes Received
      4750
      Likes Given
      2817

      Default Re: Nimepoteza mama yangu kipenzi usiku wa leo

      Pole sana mkuu, yote ni majaaliwa ya mwenyezi mungu. Sote tunamuomba ampunzishe mama kwa amani, awape moyo wa ustahamilivu katika wakati huu. Tupo pamoja kataika maombolezo

    4. #22
      Makupa's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 11th April 2011
      Posts : 2,175
      Rep Power : 809
      Likes Received
      249
      Likes Given
      0

      Default

      Quote By Pdidy
      Dear wapendwa
      nimempoteza mama yangu kipenzi usiku huu
      naomba maombi yenu
      more inf to mex
      Pole sana mkuu ,mungu akupe nguvu kipindi hiki kigumu

    5. #23
      TIMING's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 12th April 2008
      Location : Roaming...
      Posts : 20,059
      Rep Power : 12245
      Likes Received
      6010
      Likes Given
      6835

      Default Re: Nimepoteza mama yangu kipenzi usiku wa leo

      Pole sana pdidy.... your charm in JF makes me believe that your mom loved you alot and you probably inherited a few daily brightening qualities from her

      may her good soul RIP
      .....Ana sifa zote, nzuri na mbaya!!!

    6. #24
      MBUTAIYO's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 15th November 2010
      Posts : 292
      Rep Power : 489
      Likes Received
      49
      Likes Given
      325

      Default Re: Nimepoteza mama yangu kipenzi usiku wa leo

      Ooh pole sana,
      Hiyo ni kazi ya Mungu, haina makosa,
      Akupe nguvu na ujasiri kipindi hiki kigumu,
      RIP Mama!

    7. #25
      Nyati's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 6th March 2009
      Posts : 633
      Rep Power : 646
      Likes Received
      141
      Likes Given
      48

      Default Re: Nimepoteza mama yangu kipenzi usiku wa leo

      Quote By Pdidy
      Dear wapendwa
      nimempoteza mama yangu kipenzi usiku huu
      naomba maombi yenu
      more inf to mex
      Pole sana MKUU MUNGU wa REHEMA awatie nguvu wakati wa kipindi hiki kigumu
      I am not the same person today as I was 10, 20, or 30 years ago, for I have welcomed life's changes on my heart, face, and mind.

    8. Study Abroad

    9. #26
      Jackbauer's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 28th October 2010
      Location : CTU
      Posts : 4,873
      Rep Power : 1690
      Likes Received
      1348
      Likes Given
      277

      Default Re: Nimepoteza mama yangu kipenzi usiku wa leo

      pole sana mkuu

    10. #27
      BAGAH's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 17th January 2012
      Posts : 4,363
      Rep Power : 8785
      Likes Received
      954
      Likes Given
      1418

      Default Re: Nimepoteza mama yangu kipenzi usiku wa leo

      inauma sana...lakini binadamu pumzi hii sio yetu!
      RIP dear mama!
      kiongozi jipe moyo na MUNGU akusaidie.

    11. #28
      Mayombo's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 25th July 2011
      Posts : 330
      Rep Power : 461
      Likes Received
      88
      Likes Given
      59

      Default Re: Nimepoteza mama yangu kipenzi usiku wa leo

      pole sana mkuu, mungu akupe wepesi.

    12. #29
      KakaKiiza's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 16th February 2010
      Location : Here Where you see me!!
      Posts : 6,017
      Rep Power : 16322
      Likes Received
      2204
      Likes Given
      1248

      Default Re: Nimepoteza mama yangu kipenzi usiku wa leo

      Quote By Pdidy
      Dear wapendwa
      nimempoteza mama yangu kipenzi usiku huu
      naomba maombi yenu
      more inf to mex
      Pole sana mungu akupe nguvu hasa katika hiki kipindi kigumu na mungu ampumzishe mahali pema peponi....
      Its only crazy who will be against to CDM!,only a fool who will fly CCM flag while is hungry!!

    13. #30
      Tripo9's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 9th September 2009
      Posts : 1,616
      Rep Power : 816
      Likes Received
      254
      Likes Given
      458

      Default Re: Nimepoteza mama yangu kipenzi usiku wa leo

      Pole sana kijana. I lost mine a year and a half ago. And I know inafeel'aje. Be strong man. Prayers kwa sana
      "Smile though your heart is aching"...Me says

    14. #31
      mayenga's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 6th September 2009
      Posts : 1,564
      Rep Power : 805
      Likes Received
      305
      Likes Given
      437

      Default Re: Nimepoteza mama yangu kipenzi usiku wa leo

      Pole sana Mdau.RIP Mum
      A man's character may be learned from the adjectives which he habitually uses in conversation.

    15. #32
      tarizle's Avatar
      Member Array
      Join Date : 15th November 2011
      Posts : 54
      Rep Power : 389
      Likes Received
      5
      Likes Given
      5

      Default Re: Nimepoteza mama yangu kipenzi usiku wa leo

      Pole sana mkuu...

    16. #33
      Mohamedi Mtoi's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 11th December 2010
      Location : Lushoto - Kwemakame.
      Posts : 2,039
      Rep Power : 24545
      Likes Received
      3115
      Likes Given
      352

      Default Re: Nimepoteza mama yangu kipenzi usiku wa leo

      Pole sana Pdidy. Mungu amlaze mama mahali alipo mpangia kwa huruma na matendo yake.
      Japo hujasema msiba uko wapi, umetokea wapi na mazishi yanafanyikia wapi? Ungeweka wazi mkuu tushiriki pamoja katika kipindi hiki kigumu, huenda kuna wanajf walioko karibu na wewe.
      Naomba namba yako mkuu nikutumie ubani wangu.

    17. #34
      Mamzalendo's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 29th December 2010
      Location : KASKAZINI
      Posts : 1,444
      Rep Power : 720
      Likes Received
      437
      Likes Given
      166

      Default Re: Nimepoteza mama yangu kipenzi usiku wa leo

      Pole sana,Mungu ampumzishe kwa amani na awafariji wote kwa upendo wake,

    18. #35
      KALYOVATIPI's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 11th August 2011
      Posts : 1,184
      Rep Power : 590
      Likes Received
      136
      Likes Given
      0

      Default Re: Nimepoteza mama yangu kipenzi usiku wa leo

      pole kaka mama ananafasi kwa Mungu

    19. #36
      Mtambuzi's Avatar
      JF Gold Member Array
      Join Date : 29th October 2008
      Location : Dar Es Salaam
      Posts : 6,088
      Rep Power : 27012
      Likes Received
      8191
      Likes Given
      17305

      Default Re: Nimepoteza mama yangu kipenzi usiku wa leo

      Quote By Pdidy
      Dear wapendwa
      nimempoteza mama yangu kipenzi usiku huu
      naomba maombi yenu
      more inf to mex
      Pdidy Pole sana na msiba, Mungu awape nguvu katika kipindi hiki kigumu cha msiba wa mama yako kipenzi............

    20. #37
      Shine's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 5th February 2011
      Posts : 9,098
      Rep Power : 2410
      Likes Received
      933
      Likes Given
      377

      Default Re: Nimepoteza mama yangu kipenzi usiku wa leo

      Bwana alitoa bwana ametwaa jina la bwana lihimidiwe amen, apate pumziko la milele na poleni sana!

    21. #38
      paty's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 19th October 2010
      Location : never never land
      Posts : 1,024
      Rep Power : 973
      Likes Received
      270
      Likes Given
      62

      Default Re: Nimepoteza mama yangu kipenzi usiku wa leo

      pole sana mkuu
      CHADEMA mwendo mdundo - T 2015 CDM

    22. #39
      by default's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 11th July 2011
      Location : on my way
      Posts : 816
      Rep Power : 560
      Likes Received
      197
      Likes Given
      17

      Default Re: Nimepoteza mama yangu kipenzi usiku wa leo

      Rip mama,shuguli inafanyikia wapi toa location jf ipo tz kote kamanda kama si mimi kunamwingne anaweza attend

    23. #40
      King Kong III's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 15th October 2010
      Location : Enaboishu-Umenyeni
      Posts : 11,871
      Rep Power : 5052
      Likes Received
      3192
      Likes Given
      2619

      Default Re: Nimepoteza mama yangu kipenzi usiku wa leo

      Pole Diddy! Tupo pa1

    24. Miaka 50
    Page 2 of 12 FirstFirst 1234 ... LastLast

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...