Dear wapendwa
nimempoteza mama yangu kipenzi usiku huu
naomba maombi yenu
more inf to mex
Dear wapendwa
nimempoteza mama yangu kipenzi usiku huu
naomba maombi yenu
more inf to mex
Pole Pdid Mungu atakuangazia. Roho za marehamu wapate uzima kwa mungu na wapimzike kwa amani!! RIP mama yetu
If you are planning for one year, plant rice. If your planning for ten years, plant trees. If you are doing it for a lifetime, educate a person.
Aiseeh!!! Pole sana mkuu
Hakika kila mja atamrudia Mora wake
Mama ametangulia, Mungu wa rehema na upendo awafunike kwa mbawa zake kipindi chote hiki kigumu kwenu
Neema ya Bwana ipitayo fahamu zote iwafunike.
R.I.P Mama
Mkuu pole sana. Hakuna kitu kama mama jamani.
R.I.P mama
Inaumiza sana kaka lakini huwa hatuna jinsi.pole sana wewe pamoja na familia na mungu awatie nguvu katika kipindi hiki kigumu.Mungu ailaze roho ya marehemu mahari pema Amina.
Pole Kiongozi, Mungu ailaze mahala pema peponi roho ya mama yetu mpendwa
pole sana, R.I.P mama!
hakika ni uchungu sana lakini yatapita, mtegemee Mungu!
pole sana mkuu..mungu ailaze roho yake mahala pema peponi. Ameen
Pdidy Pole sana mkuu! Mungu akupe moyo wa subira na uvumilivu. Tumuombee makao mema huko alikotutangulia.
" TANZANIA BILA CCM INAWEZEKANA"
R.I.P mama Pddy
.....Chuma cha reli hakishiki kutu...
R.I.P mama Pdidy
Pole sana mkuu, Mwenyezi Mungu awape faraja.
Kibanga kampiga mkoloni!!
Mbele yeye, sisi tunafuatia!
Mkuu Pdidy,
Pole sana na mungu akupe nguvu wewe pamoja na familia yako katika kipindi hiki kigumu.
R.I.P - MAMA
Always The Silence of Our Friends Hurts more than the Noise of Our Enemy.
Pole sanaaa....Mwenyezi Mungu akutie nguvu wewe na familia yako.
God can heal a broken heart but you have to give him all the pieces.
pole mkuu pdidy na familia yako.
Mkuu @pddidy, pole sana kwa pigo hili kubwa katika maisha. Haliepukiki ingawa linaumiza sana roho. Uvumilivu wako ndio urtakuwezesha kushinda huzuni iliyokupoata
I assume full responsibility for my actions, except the ones that are someone else's fault.
Follow Us Here