Wadau, kumekuwa na uanzishwaji wa bloggs ambazo kwa kweli nyengine sioni hata sababu kuu ya kuwepo wadhamini {tena wakubwa} kuzipa udhamini. Kwa mfano; utakuta blog inazaminiwa na kampuni kubwa tuu maarufu lakini katika blog hiyo kuna picha na majitambo ya mwenye blog kujisifu tu.
1. Je, unafikiri blog site gani ingestahili udhamini? Na unafikiri blog site gani unapoitembelea unapata positive information?
2. Blog site gani haikuridhishi?

Reply With Quote


Follow Us Here