Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Nauliza: Muhingo Rweyemamu na Salvatory Rweyemamu ni ndugu?

    Report Post
    Page 1 of 2 12 LastLast
    Results 1 to 20 of 30
    1. #1
      TUMBIRI's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 7th May 2011
      Posts : 1,856
      Rep Power : 3633
      Likes Received
      1114
      Likes Given
      284

      Default Nauliza: Muhingo Rweyemamu na Salvatory Rweyemamu ni ndugu?

      Wakuu heshima mbele,
      Naomba kuuliza swali moja kwa anaejua. Muhingo Rweyemamu ambaye ameteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Korogwe hivi karibu na Salvatory Rweyemamu a.k.a Salva ambaye ni Mkurugenzi wa Kurugenzi ya Mawasiliano Ikulu ni ndugu? Maana naona wote ni wanatumia Surname ile ile na wote ni wanahabari by Professional na wote wamewahi kupita Habari Cooperation kama sikosei. Najua watu kufanana Surname siyo lazima wawe ndugu so naomba msinipe hiyo changamoto maana naifahamu.

      TUMBIRI - (Hull University, UK),
      JF Daima,
      [email protected]
      Hadha Min Fadhil Rhabi - Hizi ni Rehema za Mwenyezi Mungu

    2. RukaaJuu Final

    3. #2
      rosemarie's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 29th April 2011
      Posts : 4,732
      Rep Power : 1367
      Likes Received
      280
      Likes Given
      142

      Default Re: Nauliza: Muhingo Rweyemamu na Salvatory Rweyemamu ni ndugu?

      mimi nachojua ni warundi waliojichomeka tanzania na wakapewa nafasi
      saddam likes this.

    4. #3
      DALLAI LAMA's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 8th March 2012
      Posts : 2,850
      Rep Power : 892
      Likes Received
      697
      Likes Given
      0

      Default Re: Nauliza: Muhingo Rweyemamu na Salvatory Rweyemamu ni ndugu?

      Ni ndugu na wote walikuwa habari coporation na wote ni walamba viatu vya Jk na kawatoa wote.,ila MKUU WA WILAYA YA KOROGWE NI MRISHO GAMBO,nadhani muhingo yupo Lushoto
      TUMBIRI likes this.

    5. #4
      Jodoki Kalimilo's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 12th February 2012
      Location : Ihayabuyaga
      Posts : 2,284
      Rep Power : 894
      Likes Received
      784
      Likes Given
      1484

      Default Re: Nauliza: Muhingo Rweyemamu na Salvatory Rweyemamu ni ndugu?

      Wenye data zao leteni maana kwa hali ilivyo tunapata utata kwa jinsi walivyopajikwa kwenye systems maana ukiangalia wote walikuwa Habari Corporation kipinde gazeti la Rai lilikuwa kweli nguvu ya hoja mara likanunuliwa RA uhondo uliokuwepo ukaondoka na baada ya uchaguzi mkuu Silva akawa kurugenzi ya habari wakati Mugingo akiwa anaendelea na Habari corporation. Uchaguzi wa 2010 Mugingo aliendelea kuwa mratibu wa vyombo vya habari kwa mgombea mmoja wa uraisi ambae alikuwa anayawekea ngumu baadhi ya magazeti ambayo yalikuwa yanaandika tofauti na mgombea wao, lakini mwisho wa siku na yeye amekumbukwa kwa kazi nzuri kipindi cha chaguzi ya 2005 na 2010 kwa kupewa ukuu wa wilaya. Ukiangalia link iliyopo kati ya mmilki, wao wenyewe na aliewachagua hapo unaona kama wanauhusiano wa karibu.

    6. #5
      Mungi's Avatar
      JF Gold Member Array
      Join Date : 23rd September 2010
      Location : Hapa!!!
      Posts : 10,186
      Rep Power : 24275
      Likes Received
      4681
      Likes Given
      2300

      Default Re: Nauliza: Muhingo Rweyemamu na Salvatory Rweyemamu ni ndugu?

      Ni ndugu kutoka bukobaaaaaaa!!!!! TUMBIRI
      "Peace is not simply about the absence of violence. It is defined by the presence of fundamental liberties and the prevalence of economic opportunities."

    7. Miaka 50

    8. #6
      TUMBIRI's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 7th May 2011
      Posts : 1,856
      Rep Power : 3633
      Likes Received
      1114
      Likes Given
      284

      Default Re: Nauliza: Muhingo Rweyemamu na Salvatory Rweyemamu ni ndugu?

      Quote By DALLAI LAMA
      Mkuu wa Wilaya ya Korogwe ni Mrisho Gambo. Nadhani Muhingo yupo Lushoto
      DALLAI LAMA,
      Nashukuru kwa sahihisho Mkuu.
      Hadha Min Fadhil Rhabi - Hizi ni Rehema za Mwenyezi Mungu

    9. #7
      TUMBIRI's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 7th May 2011
      Posts : 1,856
      Rep Power : 3633
      Likes Received
      1114
      Likes Given
      284

      Default Re: Nauliza: Muhingo Rweyemamu na Salvatory Rweyemamu ni ndugu?

      Quote By Mungi
      Ni ndugu kutoka bukobaaaaaaa!!!!! TUMBIRI
      Mungi,
      Nashukuru. Ni mtu na Kaka yake au?

      Hadha Min Fadhil Rhabi - Hizi ni Rehema za Mwenyezi Mungu

    10. #8
      Lambardi's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 7th February 2008
      Location : KITAANI ZAIDI
      Posts : 4,525
      Rep Power : 1798
      Likes Received
      655
      Likes Given
      0

      Default Re: Nauliza: Muhingo Rweyemamu na Salvatory Rweyemamu ni ndugu?

      Wanabebana.......na wamelipwa fadhila!!!kwa kazi fitna waliofanya!!waangalie isije ikawa miaka yao 3 tu ya mwisho ya JK!!

    11. #9
      Mungi's Avatar
      JF Gold Member Array
      Join Date : 23rd September 2010
      Location : Hapa!!!
      Posts : 10,186
      Rep Power : 24275
      Likes Received
      4681
      Likes Given
      2300

      Default Re: Nauliza: Muhingo Rweyemamu na Salvatory Rweyemamu ni ndugu?

      Quote By TUMBIRI
      Mungi,
      Nashukuru. Ni mtu na Kaka yake au?

      Yap! tumbo moja
      "Peace is not simply about the absence of violence. It is defined by the presence of fundamental liberties and the prevalence of economic opportunities."

    12. #10
      MJIMPYA's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 27th March 2011
      Posts : 331
      Rep Power : 479
      Likes Received
      128
      Likes Given
      63

      Default Re: Nauliza: Muhingo Rweyemamu na Salvatory Rweyemamu ni ndugu?

      Quote By Mungi
      Yap! tumbo moja
      Sasa umepata jibu ndo imekusaidia nini?


    13. #11
      Kite Munganga's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 19th November 2006
      Posts : 836
      Rep Power : 807
      Likes Received
      69
      Likes Given
      83

      Default Re: Nauliza: Muhingo Rweyemamu na Salvatory Rweyemamu ni ndugu?

      Quote By MJIMPYA
      Sasa umepata jibu ndo imekusaidia nini?
      Hakuna mahali alipotaka jibu ili limsaidie chochote bali alitaka kujua tu
      kayumba and TUMBIRI like this.
      Tanzania ni Nchi ya amani iliyozeeka!

    14. #12
      Precise pangolin's Avatar
      JF Gold Member Array
      Join Date : 4th January 2012
      Posts : 5,698
      Rep Power : 1915
      Likes Received
      1595
      Likes Given
      677

      Default Re: Nauliza: Muhingo Rweyemamu na Salvatory Rweyemamu ni ndugu?

      Quote By MJIMPYA
      Sasa umepata jibu ndo imekusaidia nini?
      Sio kazi yako kujua litamsaidia nini
      TUMBIRI likes this.

    15. #13
      mandieta's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 20th February 2012
      Posts : 2,841
      Rep Power : 911
      Likes Received
      293
      Likes Given
      0

      Default

      Quote By MJIMPYA
      Sasa umepata jibu ndo imekusaidia nini?
      Kwani wewe akikujibu ilivyomsaidia na wewe itakua imekusaidia nn?

    16. #14
      chaArusha's Avatar
      Member Array
      Join Date : 24th March 2011
      Posts : 38
      Rep Power : 421
      Likes Received
      4
      Likes Given
      0

      Default Re: Nauliza: Muhingo Rweyemamu na Salvatory Rweyemamu ni ndugu?

      Wakuu, hawa jamaa hawana undugu wowote wa damu. Ingawa ni kweli wote ni wahaya wa Bukoba, lakini hawana uhusiano. Muhingo ni mwenyeji wa Misenyi na Salva anatokea Muleba. Wote wamewahi kufanya Habari Coop, mmoja akiwa mmiliki (Salva) mwingine akiwa mwandishi ila wote ni watu wa kaka mkubwa!
      kayumba likes this.

    17. #15
      Mzee wa Usafi's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 16th April 2008
      Posts : 238
      Rep Power : 614
      Likes Received
      51
      Likes Given
      0

      Default Re: Nauliza: Muhingo Rweyemamu na Salvatory Rweyemamu ni ndugu?

      Ni mtu na mdogo wake mkuu...na Muhingo nahisi ni TISS vile vile alitupashida sana wakati sheria ya bodi ya mikopo inapitishwa kwani kila mgomo ulipokuwa ukipangwa yeye anawataarifu watawala wa magamba...hii inaonyesha jinsi tanzania inavyoendeshwa kwa NEPOTISM

    18. #16
      andrews's Avatar
      Banned Array
      Join Date : 28th March 2012
      Posts : 1,683
      Rep Power : 0
      Likes Received
      142
      Likes Given
      76

      Default Re: Nauliza: Muhingo Rweyemamu na Salvatory Rweyemamu ni ndugu?

      CCM HAWAACHI KUOTA MCHANA KWEUPE,KATIKA KAMPENI ZAO ZA KUWAPUUZA WATANZANIA WAMEANDAA ULAGHAI MWINGINE ILI WAPATE KURA ZA WAPUMBAVU.
      1.KUANZISHWA BENKI YA WAKULIMA
      2.KUANZISHA BENKI YA VIJANA
      KATIKA UANZISHWAJI BENKI HIZO SERIKALI INA MPANGO WA KUWAHADAA WATZ KWA KUWAAMBIA WATAWAKOPESHA MIKOPO YENYE RIBA NAFUU,KUANZIA MILLION 1MPAKA 15.LAKINI KATIKA UOMBAJI HUO UNAHUSISHA WAJUMBE WA NYUMBA KUMI KAMA MAWAKALA WAO ILI UPATE MKOPO,CHA KUCHEKESHA ZAIDI INAAMINIKA CCM IMEJIPANGA KUTUMIA KITAMBULISHO CHA URAIA NA HASA CHA KUPIGIA KURA KAMA MTAJI WA KUWAPATA HAO WALENGWA.NA KUHAKIKISHA WANAOCHUKUA MIKOPO WOTE WATAIPIGIA CCM UCHAGUZI KUANZIA UDIWANI WA 2014 NA UCHAGUZI MKUU 2015.LAKINI WAJUMBE WENGI WANA WASIWASI KUWA VIJANA WALIO WENGI WAMEELEVUKA SANA NA WATAKULA PESA ZAO NA KUWAPIGIA WAPINZANI.CCM ILITUMIA MKUTANO WA JANGWANI KAMA KIPIMA JOTO SASA WAMEANZA KUINGIWA NA WASIWASI MAANA MKUSANYIKO ULE HAUKUKAMILIKA BILA YA PESA SASA WANAJIULIZA BILA VIKINDI VYA SANAA KWELI WATAKUBALIKA,MJUMBE ALIYE KARIBU NA NAPE KASEMA CHADEMA INAWANYIMA USINGIZI KULIKO HATA MAGONJWA YA WAZAZI WAO AU WANANDOA WAO.
      BINTI MREMBO LUMUMBA CCM

    19. #17
      kayumba's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 28th October 2010
      Posts : 632
      Rep Power : 565
      Likes Received
      63
      Likes Given
      418

      Default Re: Nauliza: Muhingo Rweyemamu na Salvatory Rweyemamu ni ndugu?

      Wakuu sijui Tumbiri achukue lipi? Wengine wanasema ni ndugu na wengine wanasema sio!
      You can't change the past, but you can influence the future

    20. #18
      Osaka's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 21st June 2011
      Location : Morogoro
      Posts : 1,098
      Rep Power : 620
      Likes Received
      269
      Likes Given
      162

      Default

      Quote By MJIMPYA
      Sasa umepata jibu ndo imekusaidia nini?
      Change the way you think!

    21. #19
      mhalisi's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 9th September 2011
      Posts : 565
      Rep Power : 601
      Likes Received
      140
      Likes Given
      121

      Default Re: Nauliza: Muhingo Rweyemamu na Salvatory Rweyemamu ni ndugu?

      Muhingo ni dc wa Handeni. ila hapa naona bado Tumbiri hajapata jibu la uhakika!

    22. #20
      Zogwale's Avatar
      JF Gold Member Array
      Join Date : 10th July 2008
      Posts : 6,004
      Rep Power : 6482
      Likes Received
      1206
      Likes Given
      509

      Default Re: Nauliza: Muhingo Rweyemamu na Salvatory Rweyemamu ni ndugu?

      Quote By TUMBIRI
      Wakuu heshima mbele,
      Naomba kuuliza swali moja kwa anaejua. Muhingo Rweyemamu ambaye ameteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Korogwe hivi karibu na Salvatory Rweyemamu a.k.a Salva ambaye ni Mkurugenzi wa Kurugenzi ya Mawasiliano Ikulu ni ndugu? Maana naona wote ni wanatumia Surname ile ile na wote ni wanahabari by Professional na wote wamewahi kupita Habari Cooperation kama sikosei. Najua watu kufanana Surname siyo lazima wawe ndugu so naomba msinipe hiyo changamoto maana naifahamu.

      TUMBIRI - (Hull University, UK),
      JF Daima,
      [email protected]
      Ni Warundi waliojipenyeza Tanzania na ni vibaraka wakuu wa Rostam Aziz na kundi lake!!!
      "Kama unaingia Ikulu kwa njia ya rushwa, je ni biashara gani iko huko ya kuwezesha kulipa fadhila ya rushwa hiyo???"

    Page 1 of 2 12 LastLast

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...