Habari zenu wadau wa jamiiforums,
Leo bila ya woga naomba niseme yaliyonikuta: bila ya kujali wepesi au uzito wa suala hili.
Kuna SMS imeingia kwenye simu yangu ya mkononi nayo ipo hivi;
Sender:CCM
'CCM ipo imara. Watanzania tusikubali kuweka rehani umoja na amani ya nchi yetu'
Hii message imetumwa kwa malengo gani? TCRA inaruhusu masuala kama haya? Naomba nieleweshwe kwa wanaoelewa haya maswala vizuri.
hiyo msg hata mimi niliipata....tena sio moja....zilikuwa zinaingia kama mvua.....nimeghadhibika sana....ikabidi nipige huduma kwa wateja wakanieleza jinsi ya kublock.....ni upuuzi mkubwa sana.....

kuna vitoto wanavitumia na kuvipa mamia ya mamilioni kufanya hivyo
kumbuka JANUARY yuko wizara inayosimamia TCRA, na anahusika na VODA ile skendo ya dada mtu kugawa kivuzi kwa ajili ya kaka, na wanahusika na zile sms wakati wa 2010 campaigns na wanahusika kinamna na kale katimu kalikokua kanaushirikiano mkubwa na mtoto wa Janga na wanahusiana sana na kijana mmoja aliitwa shamte kwenye ile skendo
na wanahusiana na wengi mno kwani kampuni ya voda ina board members ambao ni activ leaders wa CCM
hiyo msg hata mimi niliipata....tena sio moja....zilikuwa zinaingia kama mvua.....nimeghadhibika sana....ikabidi nipige huduma kwa wateja wakanieleza jinsi ya kublock.....ni upuuzi mkubwa sana.....
Habari zenu wadau wa jamiiforums,
Leo bila ya woga naomba niseme yaliyonikuta: bila ya kujali wepesi au uzito wa suala hili.
Kuna SMS imeingia kwenye simu yangu ya mkononi nayo ipo hivi;
Sender:CCM
'CCM ipo imara. Watanzania tusikubali kuweka rehani umoja na amani ya nchi yetu'
Hii message imetumwa kwa malengo gani? TCRA inaruhusu masuala kama haya? Naomba nieleweshwe kwa wanaoelewa haya maswala vizuri.
TCRA na CCM ni kama vile chupi na makalio kwani havitengamani, kumbuka wakati wa uchaguzi kulikuwa na message nyingi sana za namna hiyo na watu wakalalamika saaana lakini hakuna ufafanuzi wowote toka TCRA mpaka leo hii, Sijui tuwatukanie nini ili wajue watu hatupendi huo mchezo wao
CCM=g=9.8m/s.......i mean freefall of gravity force...Hizi ni nyakati a mwisho kwa Magamba tutegemee uvunjifu mkubwa wa amani na sheria za nchi hasa ktk hizi nyakati zao za mwisho...RIP magamba
hiyo msg hata mimi niliipata....tena sio moja....zilikuwa zinaingia kama mvua.....nimeghadhibika sana....ikabidi nipige huduma kwa wateja wakanieleza jinsi ya kublock.....ni upuuzi mkubwa sana.....
Lengo la serekali halikuwa kudhibiti matumizi mabaya ya simu bali kutumia mianya hii kutisha wananchi. Ni nani karuhusu simu ya mtu kupokea ujumbe fulani bila kuwa na makubaliano! Mfano mimi nikitaka kumtumia Preta sms ni lazima tuwe tushakubalian kupeana namba! Sasa ccm wamepewa na nani namba zetu? Ni uvunjwaji wa sheria!
Secondly, kama wewe ni imara una sababu ya kujitangaza wewe ni imara! Walioimara huonekana na sio blahblah hapa.
USHAURI
vyama vingine navyo vifanye hivyo,viende VODA ma TIGO ama mtandao wowote ule na viingie mkataba waandae slogan nzuri na waingize ktk mtandao ili watu waweze kutumiwa ktk simu zao
na kama TCRA itakuja juu basi hapo ndipo tunaweza kuhoji kwanini?
"The person who says it cannot be done should not interrupt the person doing it."
USHAURI
vyama vingine navyo vifanye hivyo,viende VODA ma TIGO ama mtandao wowote ule na viingie mkataba waandae slogan nzuri na waingize ktk mtandao ili watu waweze kutumiwa ktk simu zao
na kama TCRA itakuja juu basi hapo ndipo tunaweza kuhoji kwanini?
Suala ni kwa nini wanitumie madudu nisiyotaka kuyaskia? voda nao was...n..

mkubwa!yaani mimi itakuwa kama vile nimepokea msg ya msiba nadhani naweza pasua sim yangu,sitaki kuona,kusikia,kuhisi wala kuonja upuuzi wowote ule kwa namna yoyote ile ya kuhusu CCM
Follow Us Here