Mbona hawa Mabalozi wanatembelea wizara hii tu???...... Mpaka balozi wa Marekani alinasa ndani ya Lift...
Mbona hawatembelei wizara ya Utamaduni?
Au wizara ya Elimu???
Mbona hawa Mabalozi wanatembelea wizara hii tu???...... Mpaka balozi wa Marekani alinasa ndani ya Lift...
Mbona hawatembelei wizara ya Utamaduni?
Au wizara ya Elimu???
Last edited by Boflo; 9th June 2012 at 06:18.
There are some people who could hear you speak a thousand words and still not understand you. And there are others who will understand—without you even speaking a word.
Kamata hao wezi mbona hawataki kutembelea ya afya au elimu au tuunganishe ya madini na afya ili wakija tuwaambie tatizo letu ni afya na siyo madini Pambaf
Wanataka kujua uhakika wa umeme, wamechoka kelele za majenereta majumbani mwao.............
Wanataka kujua kama waziri mpya wa madini analinda maslahi yao kama ngereja ama vp
Kama kuoga ni usafi kwanini taulo linachafuka?
mabalozi ni majambazi wakubwa hao foolish
Anabahati kakuta lifti inafanya kazi
KAZI NDIO MSINGI WA MAENDELEO. NCHI MASIKINI HAIWEZI KUENDELEA KWA MSINGI WA FEDHA. NCHI MASIKINI HAIWEZI KUJITAWALA KAMA INATEGEMEA MSAADA KUTOKA NCHI ZA NJE- J. K. NYERERE
Uk ni nchi tajiri duniani na export ya product zao ni ndogo sana ukilinganisha na utajiri wao.
Utajiri wao ni madini,dhahabu.Wana dhahabu nyingi sana ambayo wana trade kila siku chini
ya bank of England.
Sasa jiulize dhahabu wana pata wapi?
Zamani walikuwa na dhahabu inayo inaitwa white gold ilikuwa inapatika wales.
Hii inajieleza hivi " zamani tulikuwa hatuna dini,wakaja wazungu wakatuambia tufunge macho tusali,tukafunga tulipo fungua macho tukaona wame ondoka na madini yetu na wametuachia dini"
Wanaendeleza permanent interest zao kwa kua lobby maofisa hasa hawa mawaziri wapya tujiulize hivi kazi za mabalozi ni zipi? inakuaje balozi afanye kazi ambazo angefanya RAIS, makamu au PM? kuna utafutaji wa mafuta ambao makampuni ua Uingereza ndo yanatafuta,kuuna migodi kadhaa ambayo wanaishikilia achilia dili zao za gas...Lazima TANZANIA ishtuke na hawa wezi ivi ni kwanini kila mara utawaona mabalozi wa Marekani na UK ndo wanatembelea ikulu kwani mabalozi ni hao tu apa TZ? Waziri mpya lazima achukue hatua na gas yetu inayobebwa kila siku na hawa wazungu wezi
Follow Us Here