akiongea kwa kiswanglish cha ki-teenager, (si unajua namna huwa wanatamka L zao) violet mzindakaya ameweka wazi vitu wanakavyoviongea kesho Jangwani amesema watanzania kwa muda mrefu wamekua wakidanganywa kwamba wao ndio wana maisha magumu wakati dunia nzima hali ya uchumi ni ngumu, sasa wanataka kutumia nafasi ya mkutano wa kesho kuwaambia watanzania ukweli, wanataka watanzania watambue hali ya maisha ni ngumu si tu tanzania ila hata sehemu nyingine duniani tofauti na wanavyodanganywa na wapinzani hasa CHADEMA.
Mithali 17:20
Hata mpumbavu akinyamaza, huhesabiwa hekima;
Akifumba midomo yake, huhesabiwa ufahamu.

Reply With Quote




Follow Us Here