Ni Doctor Reginald Mengi yule mmiliki wa makampuni ya Ipp media ameamua kuwajali wafanyakazi wake wote kwa kujali maslahi yao. Ni kwamba sisi wafanyakazi wa kawaida ametupandishia mshahara. Kima cha chini ni Tsh 450,000/=, TUNAMSHUKURU SANA, kwa upendo wake kwa wafanyakazi wake. Tunamuombea baraka tele,
Serikali iige iache kukandamiza wafanyakazi kwa kuwapa kima cha chini 120,000/=.

Reply With Quote



Follow Us Here