sasa hivi ocean road hamna vifaa vya kupimia salatani. wagonjwa wanaelekezwa waende kupatiwa huduma kwenye hospital binafsi mali ya mfanya kazi wa ocean road.
Ndo maana hospital zetu hazina vifaa kwa sababu makusudi ili vifaa vikikosa serikalini madoctor wapate wateja kwenye hospitali zao binafsi.
Hii hali sio nzuri na haina tija kwa watanzania.

Reply With Quote


Follow Us Here