Mbunge wa Bahi bw Omari Badwel (43)ambaye pia ni mjumbe wa kamati ya fedha za serikali za mitaa(LAAC) jana ameburuzwa mahakama ya kisutu,Dsm. kujibu tuhuma za kushawishi na kupokea rushwa ya tsh 1,000,000/= duh hii ni kashfa kubwa kwa Bunge.