Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: mtoto wa Kipalestina kapigwa bomu na wanajeshi wa Israel

    Report Post
    Page 2 of 3 FirstFirst 123 LastLast
    Results 21 to 40 of 41
    1. #1
      Mahmood's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 9th February 2008
      Posts : 4,413
      Rep Power : 1466
      Likes Received
      280
      Likes Given
      625

      Default mtoto wa Kipalestina kapigwa bomu na wanajeshi wa Israel

      mtoto wa kipalestina anasaidiwa na wapita njia baada ya kupigwa bomu katika mguu wake na wanajeshi wa Israel.

      Attachment 55299
      Sema ukweli hata kama ni chungu.

    2. Miaka 50

    3. #21
      majorbuyoya's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 1st April 2012
      Posts : 663
      Rep Power : 2612
      Likes Received
      183
      Likes Given
      238

      Default Re: mtoto wa Kipalestina kapigwa bomu na wanajeshi wa Israel

      Quote By ritz
      Matola atakuambia udini picha sio ya kweli...hawa jamaa ni wanyama hawana ubinadamu hata kidogo.
      Hawa jamaa ni wanyama sana kama wale wanyama wa Zanzibar waliochoma Makanisa. Mungu awalaani hawa wanyama waliochoma makanisa Zenji ambao wapo karibu na nchi yangu, lazima kwanza nianze kutoa boliti ndani ya jicho langu halafu ndio niangaike na kibanzi kilicho katika jicho la mwenzangu.
      Last edited by majorbuyoya; 4th June 2012 at 10:51.
      Matola likes this.

    4. #22
      Achahasira's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 9th March 2011
      Location : Dar es salaam
      Posts : 1,191
      Rep Power : 651
      Likes Received
      198
      Likes Given
      16

      Default

      Quote By ALEYN
      kabla hawajaondoka kwa mara ya kwanza kabisa, waisrael walikuwa wanaishi wapi? Na Jerusalem ilikuwa chini ya nani?
      mshamba wewe,unajua mayahudi asili yao nani? Au kwasbbu walishi palestina basi ni haki yao,ukweli ni kuwa uyahudi dini na sio kabila kwa miaka takriban 2000 kabla ya hapo mayahudi walikuwa wachache na kabila,asili yao ni iraq kaskazini,unaposema israel ilitawala uanjua watu wangapi wametawala pale???????

      Unajua Kabla ya mayahudi watawala walikuwa nani? Au wewe unataka kusema mayahudi walitawal palestina tangu mwanzo wa dunia?

      unajua kuna waarabu wayahudi? Unajua kuwa watu wadini mbalimbali wameishi pamoja na mayahudi hapo jerusalem? Au unachotaka kusema mayahudi walikuwa na taifa likawa linatawala?

      Kama kuishi hapo kwa muda tu ni kudai haki mbona marekani(rafiki na mtetezi mkubwa wa israel) hawarudishi ardhi kwa wahindi wekundu ambao ni ardhi yao ya asili???

      Mheshimiwa shida ya watu humu ndani huwa wanadhani mayahudi ni ardhi yao peke yao kwasbb kwasbb ya kitabu chao cha dini,na kusahau kuwa kuna imani nyingi sana sio ukristu tu.
      Mahmood likes this.

    5. #23
      Ally Kombo's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 11th November 2010
      Location : Dar es salaam
      Posts : 5,600
      Rep Power : 1353
      Likes Received
      785
      Likes Given
      169

      Default Re: mtoto wa Kipalestina kapigwa bomu na wanajeshi wa Israel

      Hivi wakristo kwa nini hawafuati dini ya Wayahudi kama wana wa-admire hivyo !?

    6. #24
      Ally Kombo's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 11th November 2010
      Location : Dar es salaam
      Posts : 5,600
      Rep Power : 1353
      Likes Received
      785
      Likes Given
      169

      Default

      Quote By Ozzie
      Huruma ianze ndani ya mipaka yetu kwanza, kabla hatujafikiria kuhusu Palestina na Israel. Kuna watu wamekufa Arusha, Mbeya, Songea, Zanzibar n.k. walipokuwa wakidai haki yao.
      Ya huko si yalishapita ? Au hutaki tuzungumzie na haya ?

    7. #25
      salito's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 29th December 2011
      Location : Dar es salaam
      Posts : 971
      Rep Power : 567
      Likes Received
      215
      Likes Given
      138

      Default Re: mtoto wa Kipalestina kapigwa bomu na wanajeshi wa Israel

      mhh dunia inaenda mwisho..

    8. Study Abroad

    9. #26
      Mboko's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 8th October 2010
      Location : Kwemunyu Muheza Tanga
      Posts : 582
      Rep Power : 553
      Likes Received
      104
      Likes Given
      1310

      Default Re: mtoto wa Kipalestina kapigwa bomu na wanajeshi wa Israel

      Swali kwa mleta mada mpaka huyu mtoto anapigwa bomu na majeshi ya Israel alikuwa anatokea wapi au alinifanya nini mpaka yakamkuta???Huenda alitaka kuwaua kwa kuwa walikuwa wanaamini ni mtoto kumbe ni Kagaidi ngoja apate kichapo na hapo katia akili mwenyewe kudadadeki kama asemavyo yule mbunge **** wa Magamba,lusinde Gamba Livingstone
      majorbuyoya likes this.

    10. #27
      Mahmood's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 9th February 2008
      Posts : 4,413
      Rep Power : 1466
      Likes Received
      280
      Likes Given
      625

      Default Re: mtoto wa Kipalestina kapigwa bomu na wanajeshi wa Israel

      Quote By Nyenyere
      Propaganda. Vita havina macho. Au majeshi ya Israel walim-single out huyo mtoto?
      Rafiki, naona hauna huruma kwa binadamu wenzako.
      Sema ukweli hata kama ni chungu.

    11. #28
      Mahmood's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 9th February 2008
      Posts : 4,413
      Rep Power : 1466
      Likes Received
      280
      Likes Given
      625

      Default Re: mtoto wa Kipalestina kapigwa bomu na wanajeshi wa Israel

      Quote By Nyenyere
      Mara nyingi kumekuwa na attempts za waarabu kuonyesha picha za watoto wa kipalestina waliojeruhiwa na majeshi ya Israeli kwa lengo la ku-win moral support. Hizi ni propaganda zinazowameza watu wasio wachunguzi wa mambo. Hapa siongelei dini wala imani. Mie si myahudi. Lakini ukijiuliza ja ni kweli huyu mtoto aliuwawa kwa maksudi? Vita baina ya wapalestina na waisraeli havina demarcation, kama ulikuwa hujui. Wenzako hao wapigana tokea majumbani mwao, mahospitalini, mashuleni etc. Sasa unapoona picha kama hizo isikimbilie kuamua mkosaji nani. Katika vita kuna kitu kinaitwa legitimate target. Tafiti hiyo kitu halafu urudi tena.
      Kila mtu anajua kuwa Israel imeitawala Palestine kwa mabavu na inaua wapalestina kila siku (Wapalestina hawana silaha wanatumia mawe tu).
      Sema ukweli hata kama ni chungu.

    12. #29
      Mahmood's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 9th February 2008
      Posts : 4,413
      Rep Power : 1466
      Likes Received
      280
      Likes Given
      625

      Default Re: mtoto wa Kipalestina kapigwa bomu na wanajeshi wa Israel

      Quote By SAMRICH1
      watakuwa wamempiga kwa bahati mbaya
      Waisrael kila mara wanaua watoto wa kipalestina tena kwa makusudi (nia yao ni kuwamaliza wapalestina).

    13. #30
      Mahmood's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 9th February 2008
      Posts : 4,413
      Rep Power : 1466
      Likes Received
      280
      Likes Given
      625

      Default Re: mtoto wa Kipalestina kapigwa bomu na wanajeshi wa Israel

      Quote By ALEYN
      kabla hawajaondoka kwa mara ya kwanza kabisa, waisrael walikuwa wanaishi wapi? Na Jerusalem ilikuwa chini ya nani?

      Wayahudi tabia yao ni kuhamahama hawana inchi maalumu zamani walikuwa wanaishi Misri (walikuwa Minority) kisha wakahama wakenda Jordan................

      Waisraeli walioitawala Palestine asili yao ni ulaya sio mashariki ya kati (wengi wao wametoka Urusi na mashariki ya Ulaya).
      Last edited by Mahmood; 4th June 2012 at 05:08.
      Sema ukweli hata kama ni chungu.

    14. #31
      Mahmood's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 9th February 2008
      Posts : 4,413
      Rep Power : 1466
      Likes Received
      280
      Likes Given
      625

      Default Re: mtoto wa Kipalestina kapigwa bomu na wanajeshi wa Israel


      Sema ukweli hata kama ni chungu.

    15. #32
      Mahmood's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 9th February 2008
      Posts : 4,413
      Rep Power : 1466
      Likes Received
      280
      Likes Given
      625

      Default Re: mtoto wa Kipalestina kapigwa bomu na wanajeshi wa Israel

      Quote By Mboko
      Swali kwa mleta mada mpaka huyu mtoto anapigwa bomu na majeshi ya Israel alikuwa anatokea wapi au alinifanya nini mpaka yakamkuta???Huenda alitaka kuwaua kwa kuwa walikuwa wanaamini ni mtoto kumbe ni Kagaidi ngoja apate kichapo na hapo katia akili mwenyewe kudadadeki kama asemavyo yule mbunge **** wa Magamba,lusinde Gamba Livingstone
      Kwani haoni kuwa huyo ni mtoto pia hana silaha yeyote ?

    16. #33
      Matola's Avatar
      Banned Array
      Join Date : 18th October 2010
      Posts : 12,465
      Rep Power : 0
      Likes Received
      5425
      Likes Given
      3612

      Default Re: mtoto wa Kipalestina kapigwa bomu na wanajeshi wa Israel

      Quote By ritz
      Matola atakuambia udini picha sio ya kweli...hawa jamaa ni wanyama hawana ubinadamu hata kidogo.
      ritz hebu nisaidie Waisrael ni dini gani vile!?.....maana binafsi sijui Waisrael ni dini gani!!

    17. #34
      Matola's Avatar
      Banned Array
      Join Date : 18th October 2010
      Posts : 12,465
      Rep Power : 0
      Likes Received
      5425
      Likes Given
      3612

      Default Re: mtoto wa Kipalestina kapigwa bomu na wanajeshi wa Israel

      Quote By Mahmood
      Kwani haoni kuwa huyo ni mtoto pia hana silaha yeyote ?
      Mahmood tunaomba picha za Syria ili uwaoneshe Members hapa JF ndio tujuwe wewe kweli unatetea haki na si unafki.
      Nyenyere likes this.

    18. #35
      Nyenyere's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 9th September 2010
      Posts : 1,864
      Rep Power : 0
      Likes Received
      485
      Likes Given
      689

      Default Re: mtoto wa Kipalestina kapigwa bomu na wanajeshi wa Israel

      Quote By Achahasira
      baba wa taifa unachotaka kutuambia kuwa wa palestina wanamakosa na israel hawan? Maana gaza walipiga kura na kushinda hamas kwasbb ya wao kukosa mahusiano na marekani na israel wamefungiwa kupitisha kwa maji masafi fuel na umeme,sasa kama wapalestina wamewachagua na marekani inajulikana kwa democracy kivipi wawakatalie uhuru wao? Na kutaka kuweka serikali kibarua? Alafu watu wakidai haki wanpigwa? Ushahidi upo wakutosha hata kwa upande wa un kuwa israel anajenga makazi katika ardhi ya palestina na unachosikia ni kuwa un inasikitishwa basi hakuna vitendo wala nini? Lkn angefanya palestina au nchi za kiarabu za jirani ungeona un inavo fanya juu chini jeshi liandaliwe liingie kupiga na wewe bado unatetea? Au ni wale wale wa kuwa israel ni taifa la mungu?
      UDINI UMEWAFANYA WATANZANIA KUWA VERY ILLOGICAL KULIKO KIPINDI CHOCHOTE KILE. Lakini haya ni matokeo ya malezi mliyopewa vijana wa kisasa. Yaani usichangie mada mapaka kwanza tujue wewe ni dini gani ili tuone kama tukuunge mkono ama la. Taifa liko katika sekunde za mwiiisho.

      Back to the point. Kwanza kabisa narudia tena, katafiti maneno "collateral damage" na "legitimate target." Kisha utumie mtazamo huru kuona uhalali wa mbinu wanazotumia jamaa zako kudai huo uhuru. Ndio sasa urudi kuchangia thred hii ukiwa umefunguka mawazo. Sitaki udini hapa, twende kwa facts tu. Hawa wapalestina licha ya haki zao zoote wanazodai ni wajanja sana. Mbinu wanazotumia (powerful graphics) zinaonekana kufanikiwa kwa kiasi fulani kwa vile tu watu ni wavivu wa kutafiti mambo. Hebu tazama mama huyu kitendo anachomfanyia mwanae wa kumzaa:



      Halafu toa maoni yako juu ya picha hizi pia:


      mabinti waliofuzu kujitoa mhanga huko Palestina.



      Hebu na tujadili sasa nafasi ya watoto hawa katika uwanja wa mapambano.
      The glory of Christianity is to conquer by forgiveness - William Blake

    19. #36
      Katavi's Avatar
      JF Bronze Member Array
      Join Date : 31st August 2009
      Location : Lyamba Lya Mfipa
      Posts : 19,551
      Rep Power : 16758
      Likes Received
      2474
      Likes Given
      1841

      Default Re: mtoto wa Kipalestina kapigwa bomu na wanajeshi wa Israel

      Hapo mashariki ya kati mbona panaiumiza sana dunia kichwa???
      Nyenyere likes this.

    20. #37
      Achahasira's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 9th March 2011
      Location : Dar es salaam
      Posts : 1,191
      Rep Power : 651
      Likes Received
      198
      Likes Given
      16

      Default Re: mtoto wa Kipalestina kapigwa bomu na wanajeshi wa Israel

      eti ulishawahi kuwa na mama? kama umewahi( naamini umezaliwa kawaida) basi wewe utaona haki zote za mama kufanyia mwanae hivo,usaliti kwenye kugombania uhuru sio kitu cha kawaida na mama kufanya kitendo kama hicho ujue kuwa imemuuma saaaaana.mara ngapi plo wanabembeleza ata kurudishwa kwa mipaka ya 1967 lkn israel anapotezea.mimi ni jibu hili swali kwanini israel na marekani hawakubali kumtambua hamas atakama amepita KIHALALI? alafu wana wafungia boda,hamas akijitetea basi utasikia magaidi.

      naoana mbishi sana,kukubali eti kurusha mabobu kama vile mtu anashamba lake anamwagia dawa mimea ni sawa? kwa syria fasta watu wanadai kwa palestina vp hapo
      na kama FACTS NI PICHA haya google tushindane Attachment 55440 wapo bizi kuchora makombora unadhani watakuwa na huruma hawa,funguka na wewe au kufunguka kwako ni pande moja?
      Attached Thumbnails  
      Attached Images
      Mahmood likes this.
      GOD IS GREAT

    21. #38
      Nyenyere's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 9th September 2010
      Posts : 1,864
      Rep Power : 0
      Likes Received
      485
      Likes Given
      689

      Default Re: mtoto wa Kipalestina kapigwa bomu na wanajeshi wa Israel

      Quote By Achahasira
      eti ulishawahi kuwa na mama? kama umewahi( naamini umezaliwa kawaida) basi wewe utaona haki zote za mama kufanyia mwanae hivo,usaliti kwenye kugombania uhuru sio kitu cha kawaida na mama kufanya kitendo kama hicho ujue kuwa imemuuma saaaaana.mara ngapi plo wanabembeleza ata kurudishwa kwa mipaka ya 1967 lkn israel anapotezea.mimi ni jibu hili swali kwanini israel na marekani hawakubali kumtambua hamas atakama amepita KIHALALI? alafu wana wafungia boda,hamas akijitetea basi utasikia magaidi.

      naoana mbishi sana,kukubali eti kurusha mabobu kama vile mtu anashamba lake anamwagia dawa mimea ni sawa? kwa syria fasta watu wanadai kwa palestina vp hapo
      na kama FACTS NI PICHA haya google tushindane Attachment 55440 wapo bizi kuchora makombora unadhani watakuwa na huruma hawa,funguka na wewe au kufunguka kwako ni pande moja?

      Mkuu kama huelewi picha zinaongea zaidi ya majungu yanayopigwa midomoni. Na ndio maana mwanzisha thread ali-google hiyo picha ili kuwahadaa watu kama wewe. Au unafikiri aliipiga Gaza hiyo picha? Vita vya wapalestina na waisraeli na zaidi ya unavyodhani wewe. Hao unaowatetea wanatumia watoto wao kama human shield. Halafu wewe unapoteza nguvu zako kuandamana huku.

      Hivi na wewe wawezasema kuwa una mama? Kweli kabisa mama yako badala ya kukaa akiomboleza kwa uchungu mtoto wake kuuawa, anaanza kuipiga mateke maiti ya mwanae aliyembeba miezi 9 tumboni! halafu eti unajidai kupigania uhuru ni jambo gumu sana, kwa staili hiyo kweli? Hii ni roho gani? Kwa hiyo mpalestina akiuawa na mwisraeli it's a media issue, akiuawa na HAMAS ni safi tu. You're kidding me! Acheni propaganda za images, face the facts.
      The glory of Christianity is to conquer by forgiveness - William Blake

    22. #39
      Anko Sam's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 30th June 2010
      Posts : 1,947
      Rep Power : 840
      Likes Received
      304
      Likes Given
      12

      Default Re: mtoto wa Kipalestina kapigwa bomu na wanajeshi wa Israel

      Quote By ritz
      Matola atakuambia udini picha sio ya kweli...hawa jamaa ni wanyama hawana ubinadamu hata kidogo.
      Bomu halichagui, huyo kijana ndo wale wanawaponda mawe wanajeshi wa Israel kwa kufiri ni yule shetani wa hijja. Hata wanajeshi wa bongo ukiwarushia mawe watakufanya kama alivyofanywa huyo dogo. Wajifunze nidhamu siyo kukaririshwa kama kasuku!
      IF NOT US, WHO? IF NOT NOW, WHEN?

    23. #40
      Shakazulu's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 23rd February 2007
      Posts : 908
      Rep Power : 807
      Likes Received
      197
      Likes Given
      529

      Default Re: mtoto wa Kipalestina kapigwa bomu na wanajeshi wa Israel

      WaTanzania tu watu wa ajabu sana. Mleta mada kaweka picha bila ya kusema kaitoa wapi ila amekuwa hodari kudai kuwa huyo mtoto ni mPalestina na kapigwa bomu na waisraeli na wote mnaamini na mnatoka povu mdomoni kuwaalani waIsraeli. Kama ni kweli basi atupe source ya hiyo picha unless yeye mwenyewe alikuwepo kwenye tukio.

      Google image search inaonesha kuwa huyo mtoto ni wa Iraq na hilo bomu ni muendelezo tu wa harakati za watu wa Iraq kuuana wenyewe kwa wenyewe.

      Kwa habari zaidi tembelea hapa Latif Yahia Blog.: Inside the Iraq War.
      Nyenyere likes this.

    24. FemaTV & Radio
    Page 2 of 3 FirstFirst 123 LastLast

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...