Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Naibu amiri wa jumuiya ya uamsho awasili Zanzibar akitokea Oman

    Report Post
    Page 3 of 4 FirstFirst 1234 LastLast
    Results 41 to 60 of 63
    1. #1
      Kijana Msomali's Avatar
      Member Array
      Join Date : 10th May 2012
      Posts : 92
      Rep Power : 1361
      Likes Received
      68
      Likes Given
      42

      Default Naibu amiri wa jumuiya ya uamsho awasili Zanzibar akitokea Oman

      Naibu Amiri wa Jumuiya ya Uamsho na Mihadhara ya Kiislamu Zanzibar (JUMIKI) Azzan Khalid Hamdan amewasili leo katika uwanja wa ndege wa Zanzibar akitokea Oman. Sheikh Azzan ni miongoni mwa viongozi wanaotafutwa na Jeshi la Polisi.

      Baada ya kufika uwanja wa ndege tu amekwenda nyumbani kwake na kufika nyumbani kwake huko mfenesini amekuta nyumba yake imeathirika kutokana na mabomu yaliopigwa wakati yeye akitafutwa na jeshi la polisi

      Sheikh Azzan amekwenda kutoa taarifa kwa jeshi la polisi kuhusiana na kadhia aliyoikuta nyumbani kwake na pia kuulizia iwapo yeye ni miongoni mwa wanaotafutwa na jeshi la polisi.

      Baadhi ya maoni ya wakaazi wa Zanzibar kuhusu ujio wa naibu amiri wa JUMIKI na taarifa za kutafutwa kwake na Jeshi la Polisi.

      • Nurdin Moh'd Hao polisi bora wamuache patakuja kuwa hapatoshi bure.

      • Juma Awadhi hawana lolote hao vibaraka tu

      • Salim Seif
        maandamo akapokewe?

      • Juma Awadhi
        hawana lolote hao vibaraka tu na insha-allah tutaomba dadaetu utujaze huko badae hali ilivokua lkn hao wanaokamata mashekh watapambana na ALLAH mwnyw!

      • Masoud Khamis
        Karibu nyumbn Sheikh wetu jidai unawatu wakufanaweye

        Mohamed Jabir
        Allah kwa hakika hatokuwa pamoja na wao na mwenyeezimung awalinde viongozi wetu wote wa harakati mpaka kieleweke. Lengo lao tayari tumekwisha lielewa na m/mungu atupe nguvu za pamoja inshaallah. Mungu atawahukumu hapa hapa duniani kabla ya yaumulkiyama. Mwenyezi mungu tupe umoja zaidi katika kudai HAKI YETU.

      My take

      Katiba ya Jamhuri inatoa haki ya kila mwananchi kuzungumzia fikra zake na kutoa maoni yake katika kila jambo, liwe linahusiana na siasa, afya, elimu, miundo mbinu na hata muungano ILA haki hiyo haimpi mwananchi kutenda jambo ambalo linaweza kuhatarisha usalama wake mwenyewe, usalama wa jamii inayomzunguka na taifa kwa ujumla.

    2. RukaaJuu Final

    3. #41
      Suzie's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 7th May 2010
      Posts : 1,086
      Rep Power : 0
      Likes Received
      339
      Likes Given
      309

      Default

      Quote By njiwa

      wakristo walipotoa taarifa yao rasmi kupitia skofu mokiwa alidai.. ati moja ya faida ya muungano ni kutangaza injili.. na kujenga makanisa ... hehe! mokiwa ni kiazi sijapata kuona.. utasambazaje injili kwenye kundi la waislam ambao hawataki hata kusikia ukristo nini..? na mnawajengea makanisa .. ni upumbavu...
      Wewe ndio hautaki kusikia sababu kwanini kitu ukitaki usikidharau na kukiacha? Wengi mmejaa roho mbaya na chuki wakristu wanaouwezo wa kujenga nyumba za ibada si mziache kama hazikuhusu? Mnachoringia dini yenu imewafunza maadili, mna maadili gani ambayo mpaka leo Zanzibar kumejaa mateja na mashoga kibao. AchenI biashara ya kubishania dini haiwafikishi popote zaidi ya chuki na uhasama. Uzumbukuku dot ushamba

    4. #42
      Mwanaweja's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 8th February 2011
      Posts : 3,483
      Rep Power : 1116
      Likes Received
      469
      Likes Given
      962

      Default Re: Mfadhili wa UAMSHO Zanzibar mbaroni!

      kam huyu shehe ndiye muazilishi na ndiye mfadhili basi sheria ichukue mkondo wake na asiachiwe maana huu ni upuuzi mbingu gani na kitabu gani cha dini kinachosema uue wenzaio ilifike ahela nao ni upungufu wa maadili na utii mbele za mwenyezi Mungu.

    5. #43
      majorbuyoya's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 1st April 2012
      Posts : 663
      Rep Power : 2613
      Likes Received
      183
      Likes Given
      238

      Default Re: Mfadhili wa UAMSHO Zanzibar mbaroni!

      Quote By Bull
      Kumekuwa na mipango ya makusudi liliyoandaliwa na Makanisa wakishirikana na Viongozi mafisadi kujaza Makanisa Zanzibar na kuhodhi ardhi ya Wazanzibari, Makanisa hayo yamejazana kama uyoga yakfuatiwa na Migahawa ya nyama ya Kiti moto, baa na umalay uliokithiri mitaani Zaidi ya 98% ya WaZanzibari ni Waislam, ukuwaji wa makanisa hauwiani kabisa na idadi ya wakiristo wahamiaji waliopandikizwa kwa ajili ya kuaribu mila na dasturi za Wazanzibar Kama Wazanzibari hamtokuwa makini, basi mtakuwa kama Wapalestina walivyo porwa ardhi yao na Waizraili
      Duuuh! humu JF nilidhani watu wote ambao wapo humu ni 'Great Thinkers' tu, kumbe kuna vilaza pia wenye mawazo mgando kama haya.

    6. #44
      baraka moze's Avatar
      Member Array
      Join Date : 21st April 2012
      Posts : 84
      Rep Power : 373
      Likes Received
      3
      Likes Given
      12

      Default Re: Mfadhili wa UAMSHO Zanzibar mbaroni!

      acha haki itendeke

    7. #45
      Unstoppable's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 7th January 2011
      Posts : 940
      Rep Power : 613
      Likes Received
      330
      Likes Given
      2041

      Default Re: Mfadhili wa UAMSHO Zanzibar mbaroni!

      Quote By MKUU WA KAYA
      Non sense acha kuingilia imani za watu .makanisa hayawezi kujengwa bila kuwepo waumini You have to face challenges this is a new world.Watu wanaishi kulingana na mahitaji
      Thank you very much! Its a matter of demand and supply. Lazima kuna demand ndio maana wameamua kujenga. Afterall watu hawalazimishwi kuyatumia, wawaache wanaotaka kuyatumia na sio kuyachoma.

    8. Miaka 50

    9. #46
      njiwa's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 16th April 2009
      Location : ax^2+bx+c=0
      Posts : 4,968
      Rep Power : 2371
      Likes Received
      962
      Likes Given
      172

      Default Re: Mfadhili wa UAMSHO Zanzibar mbaroni!

      Quote By Suzie
      Wewe ndio hautaki kusikia sababu kwanini kitu ukitaki usikidharau na kukiacha? Wengi mmejaa roho mbaya na chuki wakristu wanaouwezo wa kujenga nyumba za ibada si mziache kama hazikuhusu? Mnachoringia dini yenu imewafunza maadili, mna maadili gani ambayo mpaka leo Zanzibar kumejaa mateja na mashoga kibao. AchenI biashara ya kubishania dini haiwafikishi popote zaidi ya chuki na uhasama. Uzumbukuku dot ushamba

      hapo kwenye RED ulisikia report wanaongoza kuingiza madawa ya kulenya ni viongozi wenu wa dini wa haya makanisa uchwara.. si shangai unaposema znz kumeja mateja... yakiondoka haya makanisa uchwara zanzibar itabaki salama ..
      Pure Matrimony >> Purity starts here (Quran 24:26)
      My loyalty is to reason,and as a reasonable person I reserve the right to change my mind when presented with new information that alters my perspective" Njiwa"ᵀᴴᴱ'ᴼᴿᴵᴳᴵᴻᴬᴸ✯

    10. #47
      Arvin sloane's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 18th July 2011
      Posts : 885
      Rep Power : 574
      Likes Received
      130
      Likes Given
      40

      Default Re: Mfadhili wa UAMSHO Zanzibar mbaroni!

      Anyongwe kabisa ili uwe mfano kwa wengine.

    11. #48
      idawa's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 20th January 2012
      Posts : 4,638
      Rep Power : 3342
      Likes Received
      1236
      Likes Given
      466

      Default

      Quote By njiwa

      wakristo walipotoa taarifa yao rasmi kupitia skofu mokiwa alidai.. ati moja ya faida ya muungano ni kutangaza injili.. na kujenga makanisa ... hehe! mokiwa ni kiazi sijapata kuona.. utasambazaje injili kwenye kundi la waislam ambao hawataki hata kusikia ukristo nini..? na mnawajengea makanisa .. ni upumbavu...
      acha ujinga wako njoo huku bara ushuhudie misikiti ilivyo sambaa almaarufu kama misikiti ya ghadafi.hata sehemu yenye muisilam mmoja lakini pana msikiti tena mlivyo watu wa ajabu mnajenga kwenye hifadhi ya barabara na karibia yote imepigwa x kuonyesha mnavyokurupuka bila kufuata sheria.!

    12. #49
      njiwa's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 16th April 2009
      Location : ax^2+bx+c=0
      Posts : 4,968
      Rep Power : 2371
      Likes Received
      962
      Likes Given
      172

      Default Re: Mfadhili wa UAMSHO Zanzibar mbaroni!

      Quote By idawa

      nani kakwambia mimi mzenji!... sina damu ya kizenji kabisa....
      Pure Matrimony >> Purity starts here (Quran 24:26)
      My loyalty is to reason,and as a reasonable person I reserve the right to change my mind when presented with new information that alters my perspective" Njiwa"ᵀᴴᴱ'ᴼᴿᴵᴳᴵᴻᴬᴸ✯

    13. #50
      ndenga's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 20th December 2010
      Location : Kigamboni New City
      Posts : 1,049
      Rep Power : 636
      Likes Received
      269
      Likes Given
      84

      Default

      Quote By Bull

      Kumekuwa na mipango ya makusudi liliyoandaliwa na Makanisa wakishirikana na Viongozi mafisadi kujaza Makanisa Zanzibar na kuhodhi ardhi ya Wazanzibari,

      Ma
      kanisa hayo yamejazana kama uyoga yakfuatiwa na Migahawa ya nyama ya Kiti moto, baa na umalay uliokithiri mitaani

      Zaidi ya 98% ya WaZanzibari ni Waislam, ukuwaji wa makanisa hauwiani kabisa na idadi ya wakiristo wahamiaji waliopandikizwa kwa ajili ya kuaribu mila na dasturi za Wazanzibar

      Kama Wazanzibari hamtokuwa makini, basi mtakuwa kama Wapalestina walivyo porwa ardhi yao na Waizraili
      Siamini kama haya maneno yametoka kwa mtu aliyesoma..Kama ni hivi je wale ambao hawajasoma itakuwaje,, ni kujilipua kwenda mbele.. naona hapa kuna shida kubwa ya uelewa.

    14. #51
      ndenga's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 20th December 2010
      Location : Kigamboni New City
      Posts : 1,049
      Rep Power : 636
      Likes Received
      269
      Likes Given
      84

      Default

      Quote By njiwa

      nani kakwambia mimi mzenji!... sina damu ya kizenji kabisa....
      Wewe siyo Mzenji ila unachuki mbaya sana ya udini kiasi kwamba nina wasiwasi kama kweli elimu uliyopata imekukomboa kimtizamo na mawazo..badilika mkuu.

    15. #52
      njiwa's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 16th April 2009
      Location : ax^2+bx+c=0
      Posts : 4,968
      Rep Power : 2371
      Likes Received
      962
      Likes Given
      172

      Default Re: Mfadhili wa UAMSHO Zanzibar mbaroni!

      Quote By ndenga
      Wewe siyo Mzenji ila unachuki mbaya sana ya udini kiasi kwamba nina wasiwasi kama kweli elimu uliyopata imekukomboa kimtizamo na mawazo..badilika mkuu.
      sina chuki na udini ..! sijapata kuona sehemu watu wenye chuki na usilam kama humu JF na pia
      naongea ukweli ambao hamtaki kuusikia ...
      kwamwewe likes this.
      Pure Matrimony >> Purity starts here (Quran 24:26)
      My loyalty is to reason,and as a reasonable person I reserve the right to change my mind when presented with new information that alters my perspective" Njiwa"ᵀᴴᴱ'ᴼᴿᴵᴳᴵᴻᴬᴸ✯

    16. #53
      carmel's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 24th August 2009
      Posts : 2,804
      Rep Power : 1071
      Likes Received
      202
      Likes Given
      128

      Default Re: Mfadhili wa UAMSHO Zanzibar mbaroni!

      comments az hii thread zimenichekesha
      A gossip betrays a confidence; so avoid a man who talks too much.
      Proverbs 20:19

    17. #54
      Mkuu wa chuo's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 3rd February 2011
      Location : Kibada
      Posts : 1,770
      Rep Power : 843
      Likes Received
      340
      Likes Given
      20

      Default

      Quote By njiwa

      sina chuki na udini ..! sijapata kuona sehemu watu wenye chuki na usilam kama humu JF na pia
      naongea ukweli ambao hamtaki kuusikia ...
      Sasa kama unaongea ukweli ambao hawataki kuusikia mbona unaendelea kuongea!?

    18. #55
      mzee wa njaa's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 16th June 2011
      Posts : 1,340
      Rep Power : 670
      Likes Received
      194
      Likes Given
      107

      Default Re: Mfadhili wa UAMSHO Zanzibar mbaroni!

      Serikali ya Magamba iliwalea sana hawa Wala Urojo ndio maana wanaibuka na kupiga makelele hadharani. Wakulaumiwa hapa ni CCM na washirika wake kwa Uozo huu. Mungu anawanyima maarifa wale wote wasiotenda haki. Na hii inajidhihirisha kwa CCM na serikali yake.

    19. #56
      idawa's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 20th January 2012
      Posts : 4,638
      Rep Power : 3342
      Likes Received
      1236
      Likes Given
      466

      Default

      Quote By njiwa

      sina chuki na udini ..! sijapata kuona sehemu watu wenye chuki na usilam kama humu JF na pia
      naongea ukweli ambao hamtaki kuusikia ...
      ukweli upi kwamba zanzibar hawataki makanisa.? Kwani huko zanzibar kuingia ukristo wanalazimishwa.?

    20. #57
      uamsho's Avatar
      Junior Member Array
      Join Date : 27th May 2012