Williama Malechela ulisema kuwa leo utahudhuria Mkutano wa chadema jangwani .. Mkome nyani kwa kutumegea yaliyojiri....
Pamoja sana!!
Williama Malechela ulisema kuwa leo utahudhuria Mkutano wa chadema jangwani .. Mkome nyani kwa kutumegea yaliyojiri....
Pamoja sana!!
Kibwa jinga
WAHEED SUDAY pamoja sana
For the Holy Quran says in Sura 42, verse 41: 'All those who fight when oppressed incur no guilt, but Allah shall punish the oppressor, Come the day.
"Ha! Ha! Ha! Heshima kwa mbele Leo nilichat na rafiki yangu Mbowe tumeongea mengi sana ni mtu mzuri sana Ngoja tukamkome nyani". Hayo sio Maneno yangu yatakuwa ya W.J Malecela akiingia kwenye thread hii
- Hapana mkuu nilishindwa kwenda kumeb nilikuwa nimeji-committ siku nyingi kuhudhuria sherehe za fundraising za vijana wa YUNA, kule Chuo cha Ustawi wa Jamii, Kijitonyama so nilikwenda huko kuongea na vijana kuhusu my life na wageni wengi waliokuwepo pia, tulikuwa na Mike Mushi pia kutoka hapa JF so tuliwakilisha powa sana, lakini Bro wa Mh. Mbowe alinipigia sana maana tulikwua twende wote ila sikuweza maana after that nilikuwa ninawahi harusi ya mtoto wa Mh. Sumaye, Karimjee so sikuweza kufika!
- Vipi yaliyojiri huko nasikia walijaa sana watoto wa shule? au?
William.
Willie pamoja sana umesomeka...
Unamaanisha watoto wa shule hawaruhusiwi kupiga kura? Kumbuka university students wengi hadi 2015 wote watakuwa na miaka zaidi ya 18 a huge potential.
Mchumia tumbo tu huyo!!!
NILIHAWAAMBIA HILI JAMAA HALINA TOFAUTI NA BABAKE HALINA MVUTO LIMENENEPEANA KWA KULA NA LIKIPATA UJUMBE WA NEC ITABIDI MTUMIE FOLKLIFT KULIBEBA HALINA JIPYA LIMECHACHA,MAMBO YA NILIKUWA HARUSINI KWA MTOTO WA SUMAYE ANAMTISHA NANI KABEBE BOX MJOMBA KWISHEY
naogopa sana ku comment post za huyu W.J.MALECELA ...maana ni mkubwa humu...ila kwa kifupi mawazo na akili zake ni tofauti na ukubwa wa mwili wake...
HUNA TOFAUTI NA NAPE UNAPOTEZA MUDA MWINGI KATIKA JAMII FORUM BADALA YA KWENDA BAHI UKAWAFARIJI VIJANA WA KIGOGO WAKUPENDEKEZE B4 2014.TANZANIA YA LEO HAWACHAGUI MTU ETI SABABU ALIKUWAMVUVI WA SAMAKI(BAHARIA)SIASA YA LEO HAITAKI KUJITAFUTIA UMAARUFU INATAKIWA UWE NA UCHUNGU NA WATU NA SIO SIFA BINAFSI
Jmani msiwe mna mu attack mtu personaly ...nitapitisha panga sasa hivi
JF the best place to be. and the POWER of God be with us all the time.
JF never boring quoting the Boss
Malechela namzimia kwa majibu yake hana hasira
huyu ni potential ya Chadema msiwe na wasiwasi atakuja muda sio mrefu
huyu ndie atakae mtoa Lusinde kule Mtera.
atakuwa kama Paulo alikuwa muuaji wa kanisa lakini akaja kuwa mwalimu wa kanisa.
hatuna haja ya kumtolea lugha chafu manake kila dalili inaonyesha rohoni ni chadema usoni CCM
You may know me but you have no Idea who I am !
Follow Us Here