You are not supposed to be so blind with patrotism that you cant face reality. Wrong is wrong no matter who says it. Malcom X
Huko nyuma (kwenye miaka ya 90) UDSM waliwahi kuunda biogas driven engine. Wakati huo research + development zilikuwa zinagharamiwa na wageni (wajerumani na waswiss). Kwa hiyo hapa tatizo hasa ni funding ..
'... Knowledge is good, but wisdom is even better ...'
Kila siku migomo tu unatemea watatengeneza nini?
Kitu ambacho mwanasiasa anasema ukweli ni jina lake tu
Elimu inayotolewa Tanzania kwa siku nyingi sana, imekosa kuwapa wanafunzi mbinu za ubunifu (creativity). Elimu imekuwa ikitolewa kwa lengo la kufaulu mitihani tu, na wala sio kuendeleza fani mbalimbali muhimu. Hii itatugharimu sana katika mendeleo yetu kwa vizazi vingi vijavyo. Kuna haja kubwa ya kukarabati, au kugeuza kabisa mfumo wetu wa elimu ili elimu itakayotolewa iwe ya manufaa kwetu, katika kutatua matatizo yetu na kuiendeleza jamii.
You are not supposed to be so blind with patrotism that you cant face reality. Wrong is wrong no matter who says it. Malcom X
What's so special with this "innovation"? Are they not re-inventing the wheel? Is this a step forward or hundreds of steps backward? I think they just copied technology [fuel efficiency] from TATA and use whatever scrap they could find to "build" their "concept car". This is not to say that I don't recognize my fellow Africans' effort, but I think the world passed this stage some centuries ago. This is not fun at all!
Good try anyway!
Not true funding is still not a problem for universities for their still funded by foreign countries. The thing is reluctant on research works and teaching. Simple example see current UDSM students skills on reaserch, is reall poor especially for undergraduates which is the very important base
I just read between lines towards this creativity. I can say is such a good creativity especially to students and I incourage them be more creative to come up with their own engine rather than exploring mult-use of different mashine engines as they did and thus marketing it as new innovation while technically is not. Nevertheless academically is good job.
However, I would argue them to be careful with the marketing strategy for instance, they reported that the car seats are made of wood, boad made from iron sheet, engine converted from grinding machine,etc, and that the car will be in the market at Tshs. 9 million. With these features, they blanded the car as poor mans car. Honestly, they is no value for money buying such car ''why should a rural poor spend such huge among of money for rabbish??''. This is gonna be more or less similar to Tata nano which is being advertised as the cheapest car ever in the world while is completely illusion. Tata nano for instance will be sold at 1,500pound. Among others the car, has no air bag, no air cond., evry thing manual including windors, no hydralic steering, etc..... can you really say this is a cheapest car ever in the world????? absolutely NO.
The point I'm making here is that, as scientist lets keep on researching for better and better technologies and be more creative rather than trying to fool very informed society for rabbish staffs. I appreciate it but not happy with the marketing strategy they still need more time and more better ideas to come-up with more sophisticated car to deserve their maketing strategy.
bm21, I agree with you that funding is still not a problem, BUT only for researchers who focus on povety alleviation related problems, environment related problems, and democracy and good governance. Donors (and the Govt as well) tend to fund only these sorts of research works. They hardly support the kind of research/technology development we are discussing in this thread. What I was trying to express in my previous post is that the Govt should finance these kinds of research/technology development as well.
'... Knowledge is good, but wisdom is even better ...'
Nafikiri fedha tunazo nyingi sasa hivi kuliko zamani.
Kilicho badirika ni idadi ya mikutano na majina ya mikutano hiyo.
Warsha.
Kongamano.
Semina.
Kitchen party.
Bachelors party.
Sendoff
MAjina yote hayo ni ya kujustify kula mbegu.
Zamani kulikuwa na Msalagambwe wa kujenga jamii, siku hizi Misalagambwe bado ipo isipokuwa imebadili madhumuni. madhumuni ya misalagambwe ya leo ni kula kula kula ng'oa shina tupa sambaratisha acha paote magugu.
MYPEOPLE PERISH FOR LACK OF KNOWLEDGE. HOSEA 4:6
Tatizo lingine ni kuwa elimu ya tanzania ni theory mno kuliko practical na tumeshawejengea wanafunzi kwamba kusoma ni kufaulu mitihani
Kitu ambacho mwanasiasa anasema ukweli ni jina lake tu
1. Mbona Nyumbu ilikuwa inaenda vizuri tu wakati wa awamu ya kwanza. Nini
kimewafanya wasuesue kuendelea na research sasa hivi au ndio strategy ya
kubinafsha kama shirika la Reli?
2. Upande wa engineering UD kuna matatizo yanayofanana na course nyingine zote.
Wanafunzi leo hawana muda wa kujisomea vitabu mbalimbali kujipatia maarifa zaidi,
isipokuwa wame concentrate zaidi katika kusolve madesa. Library catalogues zina
vitabu ambavyo havipo, na vilivyopo ni vya zamani sana.
3. Naona kuna umuhimu mkubwa wa kuangalia huu mtaala wetu wa elimu ili tuweze
kutengeneza watu wenye uwezo wa kuwa more practical. Ilivyo sasa engineers wengi ni
engineers wa madesa kama wasomi wengine wa chuo kikuu cha Dar. Tunategema
wataweza kutengeneza magari kweli? I doubt
Yoyo niombe radhi tafadhali!
UDSM ni kijiji kikubwa sana, na ujue ninaposem graduate na wanaoendeleza nchi sio wale walio chuo tu, hata walio maliza. tusiwape mzigo fulani watu fulani tu.
Anyway, napenda changamoto, sijafikia bado hadhi hiyo ya lecturer, kukamata watu na kuomba rushwa za ngono, na kama nikifikia ngazi hiyo nifanye hayo basi nadhani thamani yangu ni sawa na mnyama!
Sifikirii kama kukamata ni dunia ya sasa, ilishapitwa na wakati, mkakati wangu ni kuwa hata disco zisiwepo!
duh! utanifanya niache kufundisha sasa!
You are not supposed to be so blind with patrotism that you cant face reality. Wrong is wrong no matter who says it. Malcom X
nawasifu hawa wanafunzi wa makerere. hapa chuo kikuu dsm hamna ubunifu wowote toka kwa wanafunzi na maprofesa.
hamna utafiti wowote mkubwa umefanywa hapa chuo kikuu dsm kwa manufaa ya jamii.wamekalia migomo,majungu,kuiba mitihani,ngono,starehe nk.
tanzania haitafika mbali itaishia kusindikiza wengine wote.
watanzania wanasifa ya kuwa wavivu wasiokuwa serious ktk kufanya mambo yao.iwe kwenye elimu,mpira,miundombinu muhimu kama umeme,maji ,barabara,afya,biashara nk wanakoroga mambo.
Follow Us Here