Kwanza wanasoma utetezi wake kwa DPP... Ambaye hajaisikiliza japo kwa ufupi hotuba hiyo.. Itawekwa hewani hivi punde!
Kwanza wanasoma utetezi wake kwa DPP... Ambaye hajaisikiliza japo kwa ufupi hotuba hiyo.. Itawekwa hewani hivi punde!
Duh.. Ingawa naikubali CDM kama chama makini,ila huyu jamaa hapa "aliteleza"... Mfano:-
-kujiita "Rais",na Lema kama PM wake wa nchi ya Kaskazini...
-kutishia kufunga mpaka wa nchi hiyo ya "Kaskazini"
-kufananisha nchi yake ya "Kaskazini" na "Sudan Kusini" kwa kujitenga
-kutangaza kwa hadhira yake kuwa nchi hiyo ya "Kaskazini",wananchi wake wataishi kama Ulaya kwani rasilimali nyingi,kama Ml. Kilimanjaro,Madini,Ziwa,n.k.
Wamekosa mwanasheria kwa leo,atakuwepo Alex Mgongolwa kesho kwa ufafanuzi..
Vipi matusi ya lusinde sio kosa kutukana eeeh
Kbonde pia anastaajabu ni kwa vipi Bwana Matusi hakushitakiwa kwa maana alivunja taratibu na sheria za nchi kwa kutukana hadharani
Media manipulation@ work!!
Wajinga ndio waliwao!
I am not a lawyer but I think CDM will get hard time to prove what Nassari said is not in party's plans. Pia akifikishwa mahakamani I think it will be hard for him to prove he did not mean what he said, that he actually uttered those words while he meant otherwise.
Everyone is gifted - but some people never open their package.
Hatariii hapo kweli dogo alitapika maneno.
Somo hilo kwa Nassary aache kuropoka ropoka. Amempa Nape singo ya kutoka nayo wiki hii na ukiona hadi WAGONJWA kama Kibonde wamepata kitu ya kuwapa FARAJA na UPENDO kama wagonjwa wengine ujue dogo kazi anayo. Nashauri CDM wawe wanam Mentor huyu dogo hadi akikomaa vya kutosha ndio asimame peke yake.
Nawaamini CDM, ila kwa kweli dogo alikosea, huenda alikuwa amechukizwa na hali ya mambo ila ni vema kutumia busara sana kwenye kutoa statements hasa kwa kuwa CDM wanataka kuongoza nchi. Imenisikitisha kidogo.Mkuu AMARIDONG, kwamba Lusinde pia alifanya makosa hakufuti ukweli kwamba Nassari naye amekosea, haihalalishi.
Everyone is gifted - but some people never open their package.
Yap.. Huo ni mtazamo wako.. Ingawa kila Mtanzania anakusudia kuiona Tanzania yake iliyojaa amani,iliyo mbali na rushwa,na ufisadi wa aina zote,na isiyo na tofuti kubwa ya kipato kati ya walionacho,na wasionacho...
Tanzania isiyo na vifo vinvyoweza kuzuilika,yenye elimu bora,uchumi bora,yenye udhibiti thabiti wa mfumuko wa bei,na mengineyo mengi..
Sawa kabisa!
Follow Us Here