Akilihutubia taifa katika maadhimisho ya Mei Mosi , JK alilaani tabia ya watumishi wa umma ambao kila wanapohamishiwa huwa wanajenga nyumba ya kuishi. Hivi namuuliza JK anajua adha ya nyumba za kupanga ?

Kwa nini asijue! Wakati na yeye amekulia kwenye maisha ya Dhiki.
[QUOTE=King2;3875098]Kwa nini asijue! Wakati na yeye amekulia kwenye maisha ya Dhiki.ndo mana hata wanae wanakua kidhikidhiki
....kwahyo ndo mjenge nyumba kila kituo kipya cha kazi....!?? UFISADI ni janga la kitaifa....
kwani mara ya mwisho yeye kuishi nyumba ya kupanga ni lini?
Follow Us Here