Kelele zimekuwa nyingi sana hapa mjini kuhusu ishu hii sasa hata ss twaweza kujua,kuona na kupambanua kama kiasi hicho cha pesa kinaendana na jengo lenyewe?pamoja na mazingira kwamba ni Italy lakini tutajua kwa kuona wenyewe maana kadri siku zinavyoenda hali ya hii kesi inazidi kukua
mara Mahalu mara JK sasa Mkapa wekeni picha ya hilo jengo tuamue wenyewe wametuibia vya kutosha.
Na huko mahakamani mnapoteza muda tu ili mwisho eti Mahalu ashinde tambueni utafika muda haya yatakwisha hakuna mwanzo usiokuwa na mwisho.

Lengo ni sisi Watanzania tunataka tuanze maandalizi ya kumfunga paka kengere mapemaaaaaaaaaa