JamiiSMS
  Show/Hide This

  Topic: Hela za matibabu ya sajuki zaibiwa

  Report Post
  Page 2 of 3 FirstFirst 123 LastLast
  Results 21 to 40 of 54
  1. CPA's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 1st March 2011
   Location : DAR ES SALAAM
   Posts : 633
   Rep Power : 667
   Likes Received
   146
   Likes Given
   47

   Default Hela za matibabu ya sajuki zaibiwa kwenye simu ya mke wake

   Zaidi ya laki nane zimehamishwa toka kwenye account ya pesa kwenye simu ya mke wake na mtu asiyefahamika, Mara ya kwanza ziliamishwa laki 4 kwenye simu yake na sasa tena wamehamisha zaidi ya laki 4. Hela hizo ni michango ya wasamalia wema wanayotuma kwa ajir ya kumpeleka mume wake (sajuki) kwenda india kwa ajiri ya matibabu. Hadi sasa haijafahamika nani anahamisha hela hizo. My take:
   hizi tigo pesa, m-pesa siyo za kuziamin sana!
   Source: twitter-millard hayo
   Last edited by CPA; 5th May 2012 at 19:27.

  2. Mzalendo Mkuu's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 2nd November 2010
   Posts : 725
   Rep Power : 708
   Likes Received
   169
   Likes Given
   474

   Default Re: Hela za matibabu ya sajuki zaibiwa

   Hii CHANGAMOTO mpya kwa watu wa Tume ya mawasiliano yaani TCRA. Wafanyie kazi mambo haya ambayo sanasana ni matokeo ya kukua kwa technology. Ukweli ni kuwa watu wengi sana wanatumia hizi huduma za MPESA, TIGO PESA na nyinginezo. Wananchi tunapaswa kuhakikishiwa usalama wa mali zetu maana kuna watu wengine wanatunza huko hela zao. Huko vijijini watu wanatunza hela nyingi sana. Tusaidieni jamani.
   Saint Ivuga and shikolo like this.

  3. Bujibuji's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 4th February 2009
   Location : NYUMBANI PANONO
   Posts : 23,210
   Rep Power : 51528004
   Likes Received
   12717
   Likes Given
   9955

   Default Re: Hela za matibabu ya sajuki zaibiwa kwenye simu ya mke wake

   Ndio mjifunze faida za kuwa account bank
   Quote By CPA View Post
   Zaidi ya laki nane zimehamishwa toka kwenye account ya pesa kwenye simu ya mke wake na mtu asiyefahamika, Mara ya kwanza ziliamishwa laki 4 kwenye simu yake na sasa tena wamehamisha zaidi ya laki 4. Hela hizo ni michango ya wasamalia wema wanayotuma kwa ajir ya kumpeleka mume wake (sajuki) kwenda india kwa ajiri ya matibabu. Hadi sasa haijafahamika nani anahamisha hela hizo. My take:
   hizi tigo pesa, m-pesa siyo za kuziamin sana!
   Source: twitter-millard hayo
   KAZI NDIO MSINGI WA MAENDELEO. NCHI MASIKINI HAIWEZI KUENDELEA KWA MSINGI WA FEDHA. NCHI MASIKINI HAIWEZI KUJITAWALA KAMA INATEGEMEA MSAADA KUTOKA NCHI ZA NJE- J. K. NYERERE

  4. tomoko's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 2nd May 2012
   Posts : 106
   Rep Power : 501
   Likes Received
   27
   Likes Given
   3

   Default

   Quote By King'asti View Post
   Maybe hakuna sababu ya kutumia m-pesa and the like. CRDB mobile banking inahusika na airtel money na mpesa, better wachangiaji waweke kwenye account. I never use hizo service za simu!
   Mpesa et al ni nzuri kwa kutumiana hela ndogo ndogo ambazo hazizidi laki maana bado suala la security ni dogo sana! Hela nyingi kama hzo better use bank

  5. Saint Ivuga's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 21st August 2008
   Posts : 24,961
   Rep Power : 88801365
   Likes Received
   7473
   Likes Given
   13005

   Default Re: Hela za matibabu ya sajuki zaibiwa

   kama wakishindwa kumpata mwizi basi hakuna haja ya kutumia hii mitandao sijui tu=igo pesa sijui nini tungoje hadi tuelimike kwani sioni ugumu wa kumkamata mwizi hapo
   JF the best place to be. and the POWER of God be with us all the time.

  6. Crashwise's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 23rd October 2007
   Location : Safarini
   Posts : 20,949
   Rep Power : 372840231
   Likes Received
   7543
   Likes Given
   4407

   Default Re: Hela za matibabu ya sajuki zaibiwa

   kwa hiyo hata vile vijisenti vya nilivyo vituma wamelwapua ama kweli binadamu hatuna huruma tena..
   Mamndenyi likes this.

  7. BPM's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 10th March 2011
   Location : shamba
   Posts : 2,764
   Rep Power : 1153
   Likes Received
   552
   Likes Given
   224

   Default Re: Hela za matibabu ya sajuki zaibiwa

   inahtajika kampuni husika ilipe hzo pesa kulinda heshma. kwan inaonyesha haina security. sajuk na mjewe wanatakiwa waishtaki kampun husika

  8. PENDING'ULA's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 3rd March 2008
   Posts : 269
   Rep Power : 750
   Likes Received
   46
   Likes Given
   58

   Default Re: Hela za matibabu ya sajuki zaibiwa

   Quote By thelonewolf View Post
   Jamani mbona hiki ni kichekesho! Ina maana hii mitandao hawana record za electronic money transfer? Mbona tukituma hela kwa M-Pesa tunapewa jina la mpokeaji na reference number. Kama hizi data hazipatikani, it means THIS IS AN INSIDE JOB! Namaanisha wafanyakazi wa mtandao husika.
   Nijuavyo mimi ili uhamishe fedha katika akaunti ya M-Pesa au yoyote ingine pamoja na mambo mengine,lazima mambo ya msingi mawili yawepo, na rekodi yake inapatikana mteja akiitaka.
   1. Laini ya simu iliyosajiliwa yenye fedha
   2. Password
   Mtu hawezi kutumia laini tofauti ya simu kuhamisha fedha kutoka kwenye laini nyingine. Vyoyote vile mwizi ama katumia simu yake huyu mama, au Watu wa mtandao "wamekwiba" wenyewe! au aliyezituma ameamua kubatilisha muamala na hivyo hizo fedha zimemrudia aliyezituma! Taarifa hizi zote zinapatikana makao makuu ya mitandao mteja akiamua kujua.

  9. Shine's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 5th February 2011
   Posts : 11,545
   Rep Power : 3025
   Likes Received
   1320
   Likes Given
   504

   Default

   Quote By CPA View Post
   Zaidi ya laki nane zimehamishwa toka kwenye account ya pesa kwenye simu ya mke wake na mtu asiyefahamika, Mara ya kwanza ziliamishwa laki 4 kwenye simu yake na sasa tena wamehamisha zaidi ya laki 4. Hela hizo ni michango ya wasamalia wema wanayotuma kwa ajir ya kumpeleka mume wake (sajuki) kwenda india kwa ajiri ya matibabu. Hadi sasa haijafahamika nani anahamisha hela hizo. My take:
   hizi tigo pesa, m-pesa siyo za kuziamin sana!
   Source: twitter-millard hayo
   Mwenyewe siziamini kwani naona usalama wa fedha ni rahisi sana kupotea

  10. Shine's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 5th February 2011
   Posts : 11,545
   Rep Power : 3025
   Likes Received
   1320
   Likes Given
   504

   Default

   Quote By mbumbumbu View Post
   Usikurupuke kupost.. Tulia bwana, weka habari sawa ieleweke.. We vipi, unajiita CPA halafu unaweka habari isiyokuwa na mwanzo wala mwisho, hata katikati haina.. No contents at all!

   Jipange dada/kaka.
   ila habari si umeipata na kuelewa? vingine mbwembwe tuuu!

  11. Shine's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 5th February 2011
   Posts : 11,545
   Rep Power : 3025
   Likes Received
   1320
   Likes Given
   504

   Default

   Quote By Angel Msoffe View Post
   Maumivu mengine kwa Mkewe
   Du huyu dada atajihisi kama asiyekuwa na bahati ktk dunia hii, pole sana na naamini Mungu atakuwa jibu kwake

  12. Jaguar's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 6th March 2011
   Location : IRINGA
   Posts : 3,384
   Rep Power : 1285
   Likes Received
   895
   Likes Given
   278

   Default

   Quote By Bujibuji View Post
   Ndio mjifunze faida za kuwa account bank
   Bank kwenyewe nako ukizubaa wanakwapua kama kawa.

  13. tomoko's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 2nd May 2012
   Posts : 106
   Rep Power : 501
   Likes Received
   27
   Likes Given
   3

   Default

   Quote By BPM View Post
   inahtajika kampuni husika ilipe hzo pesa kulinda heshma. kwan inaonyesha haina security. sajuk na mjewe wanatakiwa waishtaki kampun husika
   Kuishtaki itakuwa ngumu kwasbb hakuna mkataba wowote unahusu transaction za hela kati ya mtumiaji wa simu na kampuni kama ilivyo wakati wa kufungua bank account!

  14. Nyamayao's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 22nd January 2009
   Location : Njoro
   Posts : 6,985
   Rep Power : 178015
   Likes Received
   2262
   Likes Given
   1913

   Default Re: Hela za matibabu ya sajuki zaibiwa

   Quote By King'asti View Post
   Maybe hakuna sababu ya kutumia m-pesa and the like. CRDB mobile banking inahusika na airtel money na mpesa, better wachangiaji waweke kwenye account. I never use hizo service za simu!
   yaani binadamu wengine wana roho ku2 sana jamani, huyo mdada wa wa2 anavyopitia majaribu makali bado wanamuongezea misukosuko.....
   Leo hii Yesu angekuwepo, si ajabu angeenda saluni kupunguza sharubu, angeenda kwa Maumba kushona Tuxedo na angekua na IPAD....TIMING

  15. Ndibalema's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 26th April 2008
   Location : Mbagala
   Posts : 10,767
   Rep Power : 291617782
   Likes Received
   4177
   Likes Given
   3883

   Default Re: Hela za matibabu ya sajuki zaibiwa

   Quote By mbumbumbu View Post
   Usikurupuke kupost.. Tulia bwana, weka habari sawa ieleweke.. We vipi, unajiita CPA halafu unaweka habari isiyokuwa na mwanzo wala mwisho, hata katikati haina.. No contents at all!

   Jipange dada/kaka.
   Ninaku'suspect.
   "Makalio ya sufuria hayaogopi moto"

  16. Janjaweed's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 20th January 2010
   Posts : 8,299
   Rep Power : 399135311
   Likes Received
   4407
   Likes Given
   5839

   Default Re: Hela za matibabu ya sajuki zaibiwa

   wanachezeana wenyewe hao
   Kama Vipi nipotezee tu; ntakuboa....

  17. Mboerap's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 8th April 2012
   Posts : 156
   Rep Power : 514
   Likes Received
   19
   Likes Given
   0

   Default

   Quote By Bujibuji View Post
   Ndio mjifunze faida za kuwa account bank
   usiseme acount za benk, nako tunaibiwa kupitia ATM. Juzi baada ya kupata sms ya kuingia mshahara wangu kwenye account. Nilienda kuchukua hela, lakini baada ya ku,komand ATM initolee kiasi nachotaka, ATM haikujoa na nilipo chek salio nikakuta hela pungufu. Niliueleza uongozi wa benk, tukatoa benk statement ndipo tukabaini kua hela sh laki 3 zilitoka jana yake. Benk hajazirejesha hadi leo. Japokua wamekiri kua huo ni wizi ulitokea.

  18. Visionmark's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 24th November 2011
   Posts : 158
   Rep Power : 534
   Likes Received
   27
   Likes Given
   0

   Default

   Quote By CPA View Post
   Zaidi ya laki nane zimehamishwa toka kwenye account ya pesa kwenye simu ya mke wake na mtu asiyefahamika, Mara ya kwanza ziliamishwa laki 4 kwenye simu yake na sasa tena wamehamisha zaidi ya laki 4. Hela hizo ni michango ya wasamalia wema wanayotuma kwa ajir ya kumpeleka mume wake (sajuki) kwenda india kwa ajiri ya matibabu.
   Siku zote "kikulacho kinguoni mwako". Wahusika ktk hilo zoezi la ukusanyaji michango hiyo wanahusika kwa takribani 99.99%!

  19. mwandiga's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 5th December 2011
   Posts : 986
   Rep Power : 4991845
   Likes Received
   220
   Likes Given
   974

   Default

   Quote By Bujibuji View Post
   Ndio mjifunze faida za kuwa account bank
   Hizi akaunti benki pia bank tellers wanakawaida ya kuchomoa buku au buku be.

  20. Yericko Nyerere's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 22nd December 2010
   Location : Kigamboni, DSM
   Posts : 14,198
   Rep Power : 182646941
   Likes Received
   11657
   Likes Given
   482

   Default Pesa za msaada kumtibu Sajuki zaibiwa kiteknolojia kwenye simu ya mkewe

   Wastara ambae ni Mke wa mwigizaji wa movie za kitanzania SAJUKI akiwa mgonjwa sasa hivi, amethibitisha kwamba pesa zisizopungua laki nane za kitanzania zimeibiwa kwenye account yake ya simu ya mkononi aliyokua anaitumia kupokelea pesa za msaada wa watanzania

   Hii ni changamoto kwa mitandao yetu ya Tigo, Voda, Airtel,Zantel na nk

  21. Frank Alfred's Avatar
   Member Array
   Join Date : 4th May 2012
   Location : DAR ES SALAAM
   Posts : 12
   Rep Power : 482
   Likes Received
   2
   Likes Given
   1

   Default

   Quote By MZALENDO MKUU 2 View Post
   Hii CHANGAMOTO mpya kwa watu wa Tume ya mawasiliano yaani TCRA. Wafanyie kazi mambo haya ambayo sanasana ni matokeo ya kukua kwa technology. Ukweli ni kuwa watu wengi sana wanatumia hizi huduma za MPESA, TIGO PESA na nyinginezo. Wananchi tunapaswa kuhakikishiwa usalama wa mali zetu maana kuna watu wengine wanatunza huko hela zao. Huko vijijini watu wanatunza hela nyingi sana. Tusaidieni jamani.
   hilo ndio swala la msingi! Lakini kuwazuhia watu kutumia huduma hizo sio rahisi!

  Page 2 of 3 FirstFirst 123 LastLast

  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...