JamiiSMS
  Show/Hide This

  Topic: CHADEMA wanaandamana upinga ushindi wa Makongoro

  Report Post
  Page 4 of 4 FirstFirst ... 234
  Results 61 to 64 of 64
  1. 3squere's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 2nd August 2011
   Location : arusha to tanga
   Posts : 916
   Rep Power : 705
   Likes Received
   167
   Likes Given
   233

   Default CHADEMA wanaandamana upinga ushindi wa Makongoro

   Nipo na makamanda wezangu tunaelekea makaomakuu yc cdm

  2. Mwanaume's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 11th October 2009
   Posts : 103
   Rep Power : 633
   Likes Received
   10
   Likes Given
   0

   Default Re: CHADEMA wanaandamana upinga ushindi wa Makongoro

   Nawashangaa sana watu wanaolazimisha wenzao kuheshimu mfumo wa sheria ambao haujiheshimu. Ukiwa na kesi mahakamani utaelewa maana ya maneno haya.

  3. Manyanza's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 4th November 2010
   Location : Look Behind You......
   Posts : 4,446
   Rep Power : 25599
   Likes Received
   1202
   Likes Given
   933

   Default

   Quote By Sir. Burn View Post
   Kaka ukistaajabu ya Arusha utayashangaa ya DSM.

   Kule arusha jaji kafanya kusikia tu kwa mdomo kwamba Lema alitukana, bila uthibitisho wowote, tena kusikia kwenyewe ni kutoka kwa watu sijui watatu wa kuokoteza akakubaliana nao.

   Huyu wa DSM kapelekewa mpaka na video bado haamini kama Mahanga ni mwizi.
   sir Burn=Rejao kumbe unaipenda CHADEMA

  4. Shark's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 25th January 2010
   Posts : 12,826
   Rep Power : 252220153
   Likes Received
   4080
   Likes Given
   1307

   Default

   Quote By Manyanza View Post
   sir Burn=Rejao kumbe unaipenda CHADEMA
   Aringe??
   Mkuu bora unifananishe na Jiwe kuliko hilo Gamba!!
   But watch out "name calling" hiyo mkuu

   M4C for life!!

  5. Shark's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 25th January 2010
   Posts : 12,826
   Rep Power : 252220153
   Likes Received
   4080
   Likes Given
   1307

   Default

   Quote By Angel Msoffe View Post
   Inakuwaje mtu akamatwe na kidhibiti live halafu ashinde kesi??
   Ungeanza kushagaa kwanza Arusha kidhibiti ni mdomo na Jaji akakubali,
   Halafu ndio uje ushangae hapa!!!


  Page 4 of 4 FirstFirst ... 234

  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...