Wakuu sujui niwasalimieje mida hii. Saa hii maana naona uvivu hata kuangalia saa. Ndo nimapaki homu mida hii kutoka "project's night site" na leo project team yetu tulitembelea Kisuma Night Club maeneneo ya chang'ombe. Pale utawakuta ma-CD wa sampuli zote: wa umri wa Lulu, dada zao, mama zao hadi bibi zao wote wapo kibaruani
Pamoja na mafanikio makubwa ya kupata "data inputs" tulizotaka on our reaearch interest area lakini tuligundua pia shughuli hizo ambazo ni za kawaida hapo kumbe pale ni kijiwe rasmi cha vibaka! Ukikaa muda wa dakika ishirini utaona wanavyokimbiza vibaka wa simu! Yaani pale ni kijiae

Reply With Quote

Follow Us Here