JamiiSMS
  Show/Hide This

  Topic: Tunapenda sana udaku au magazeti ya Tanzania karibu yote ni ya kidaku?

  Report Post
  Results 1 to 5 of 5
  1. mpayukaji's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 31st October 2010
   Posts : 950
   Rep Power : 1052
   Likes Received
   339
   Likes Given
   1498

   Default Tunapenda sana udaku au magazeti ya Tanzania karibu yote ni ya kidaku?

   Hii maana yake nini kukuza mambo kiasi cha kufanya mambo ya hovyo kuwa ya maana na ya maana ya hovyo? Je taifa linapokuwa na taasisi za hovyo namna hii linaweza kusonga mbele?  2. NONGWA's Avatar
   Member Array
   Join Date : 10th March 2012
   Posts : 84
   Rep Power : 511
   Likes Received
   15
   Likes Given
   13

   Default Re: Tunapenda sana udaku au magazeti ya Tanzania karibu yote ni ya kidaku?

   Quote By mpayukaji View Post
   hii maana yake nini kukuza mambo kiasi cha kufanya mambo ya hovyo kuwa ya maana na ya maana ya hovyo? Je taifa linapokuwa na taasisi za hovyo namna hii linaweza kusonga mbele?

   heee NI BORA gazeti langu pendwa la mwananchi,,,weka na yale ya udaku orijino weweeeee heee maneno yaliyomo ni balaa

  3. Tejai's Avatar
   Member Array
   Join Date : 2nd April 2012
   Posts : 40
   Rep Power : 499
   Likes Received
   4
   Likes Given
   0

   Default Re: Tunapenda sana udaku au magazeti ya Tanzania karibu yote ni ya kidaku?

   wee acha tu kwani waandishi wote utafikiri mahakimu,watanzania tubadilike jamani tusihukumu mtoto wa watu tuache sheria ifuate mkondo wake tu

  4. jouneGwalu's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 11th April 2011
   Location : Studio
   Posts : 2,638
   Rep Power : 5669065
   Likes Received
   1606
   Likes Given
   2369

   Default Re: Tunapenda sana udaku au magazeti ya Tanzania karibu yote ni ya kidaku?

   Ukiuliza utaambiwa jibu jepesi tu...

   "Ndio habari zinazouza tu"
   Music affect the lives!!

  5. Msendekwa's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 11th March 2012
   Posts : 436
   Rep Power : 581
   Likes Received
   160
   Likes Given
   4

   Default Re: Tunapenda sana udaku au magazeti ya Tanzania karibu yote ni ya kidaku?

   Bora hata headings za Tanzania Daima na Mtanzania.  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...