Live kutoka Diamond Jubilee: Utoaji tuzo kwa waandishi bora 2011 - JK Mgeni rasmi
nitawapatia live update kutoka hapa Diamond Jubilee ambako muda mfupi ujao waandishi kadhaa nchini watatuzwa kwa kutambua mchango wao katika kuhabarisha jamii kwa mwaka 2011.
pia atakuwepo mwandishi bora wa jumla ,huyu atalamba takribani sh milioni 7
wageni wanaingia kwa wingi
nadokezwa kuwa TBC1 watakuwa live
Updates
Najulishwa hapa kuwa pia Rais atatumia muda huo kutoa hotuba.
Mwandishi bora wa jumla ni kati ya hawa-David Azaria (Habari Leo, Mwanza); Neville Meena (Mwananchi ,Dar ) Joseph Bura(TBC Taifa ,Dar) na Polycarp Machira(The Citizen ,Dar).
Mshindi wa jumla ni Nevile Meena wa Mwananchi
Mteule wa tuzo ya Maisha na mafanikio katika Uandishi wa habari ni Fil Karashan
1.mpiga picha bora
ni Khamis Said kutoka uhuru
2.mchoraji bora wa kibonzo
ni Nathan Mpangala
alichora katuni iliyoonesha wabunge wakijongeza posho huku wanananchi wakisota
3.Utawala bora gazeti
Nevile meena-Mwananchi
4.utawala bora tv
emmanuel buohera-itv
5.utawala bora radio
Noel Thomson
6.Habari za Malaria-Gazeti
Audax Mutiganzi-Rai
7.Habari Malaria-Radio
Gelvas Hubile-TBC
8.Mwandishi bora Michezo-gazeti
Iman man
9.Habari za michezo -radio
Abdala Majura
10.Habari za michezo Tv
Anuary Mkama mliman tv
11.Habari za Watu wenye ulemavu-gazeti
David Azaria
12.Watu wenye ulemavu -tv
Lekoko-Channel ten
13.Mwandishi wenye ulemavu-radio
Tuma Dandi
14.Jinsia -Gazeti
Nasra Abdalah-Tanzania daima
15.Habari za Ukimwi-Gazeti
Elias Msuya
16.Habari za UKIMWI-Radio
Beatrice Nangawe
17.Habari za Afya-gazeti
Sharifa Karokola
18.Habari za afya-radio
Secilia Ndabageze
19.Habari za mazingira-Gazeti
Lukas Liganga
20.Uchumi na biashara-Gazeti
Polycap machira-The Citizen
21.Uchumi na biashara-tv
Aneth Andrew-TBC
22.Habari za elimu-gazeti
Erick Kabendera
22.Habari za elimu-TV
Victoria Patrick-TBC Dodoma
23.Habari za elimu-radio
Grace kihondo
24.Habari za watoto-Gazeti
Nashon Kenedy
25.Habari za watoto TV
nanganile mwakanjala
26.Habari za watoto-radio
Mchome
27.Ifadhi za taifa-Gazeti
Paul Swaurts-raia mwema
28.Ifadhi za Taifa-radio
Alex Magwiza-TBC Taifa
29.Utalii wa ndani-Gazeti
Monica Luhondo
30.Utalii wa ndani-TV
Juma Lugazi
31.Maafa na migogoro-gazeti
Daniel Mbega
32.Maafa na migogoro- radio
Joseph bura
33.Habari za sayansi na technlojia
bernad lugongo
34.Habari za sayansi na technlojia-radio
Abel onesmo mwende
35.Tuzo za telecomunication -gazeti
Nevile Meena
36.Habari zenye mvuto mkubwa kwa watu
Polycap Machira
Hotuba ya Waziri Nchimbi
mswada wa sheria mpya ya habari nchini itashirkikisha wadau.
uhuru wa vyombo vya habari uko juu sana tz
vyombo vya habari vifanye kazi kwa weledi
anamuomba rais awe akikutana na jukwaa la wahariri mara moja kwa mwaka
anamkaribisha rais kutoa hotuba
Hotuba ya Rais Kikwete
Serikali itatazama namna ya kuunga mkono kuendeleza utoaji tuzo
Tumieni siku hii kupima sekta ya habari nchini
Tasnia ya habati tz imepata mafanikio makubwa-kwa uhuru wa habari
vyombo vya habari vimeiongezeka nchini
Serikali itaendelea kudumumisha uhuru wa habari nchini
wanahitajika waandishi wazalendo kwa nchi yao
je ni lazima kila picha mnazopiga zichapishwe?
pamoja na uhuru mlionao waandishi je ni lazima kuandika habari za uchochezi?
pawepo mfumo mzuri wa kusimamia ajira na maslahi ya waandishi nchini
kuna waandishi wengi nchini hawana ajira na walioajiriwa hawajui hatima yao
mtu yoyote atakayewalipa watamtumikia
sijui kama wamiliki wana taratibu za kuajiri watu wenye sifa
wanastahili kupata ujira mzuri,hawatakiwi kuajiri wasiosomea fani husika
kuwepo mfumo mzuri katika kuanzisha vyombo vya habari na mfumo mzuri wa ajira
waandishi watazame namna ya kutetea maslahi yao
waandishi zingatieni maadili kwa kuandika habari za kweli na uhakika
mpate machungu ya wale mnaowasingizia
serikali itajikita katika kukuza sekta hii hasa katika mafunzo
kupitia sheria mpya serikali itawekla utaratibu wa kusomesha waandishi nchini
serikali inataka kuwepo uandishi wa kubobea katika jambo fulani
kuna waandishi wanajitahidi kuonesha kuwa nchi ya tz ni ya hovyo,wakati wanaishi humo humo
wakati mwingine mambo ya kufadhiliwa tabu tu,wengine hawataki tupige hatua
nitaunda tume ya katiba siku chache zijazo,naomba waandishi mtusaidie kuelimisha jamii
Rais Kikwete amemaliza hotuba
Nawashukuru sana, ninakwenda kupumzika saa 11:47 usiku
Wenu
M.Byabato
Last edited by Mathias Byabato; 30th March 2012 at 23:46.
Reason: updates
Kama Wewe ni Mwandishi kweli,unaamini ,una uhakika na uliandikalo basi Onesha Jina,Sura yako- Jeneral Ulimwengu
Follow Us Here