JamiiSMS
  Show/Hide This

  Topic: Wahindi wahama Moshi

  Report Post
  Page 1 of 5 123 ... LastLast
  Results 1 to 20 of 89
  1. rosemarie's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 22nd March 2011
   Posts : 6,564
   Rep Power : 1978
   Likes Received
   1450
   Likes Given
   352

   Default Wahindi wahama Moshi

   Kumekucha Arumeru na sisi kama watanzania tunaotakia mema nchi hii tumeamua kujitoa kwenda kusaidia mapambano huko Arumeru, tumeingia Jiji la Moshi jana mchana na kwa mara ya kwanza nimepata nafasi ya kutembea mji wa moshi baada ya miaka mingi, huwa nakuja moshi kila mwaka lakini kila tukifika moshi tunakuwa hatuna muda wa kutembea na tunaendelea moja kwa moja hadi kijijini kwetu ambako huko hukaa hadi likizo ikiisha na huondoka kwenda stand ya mabasi na kuishia unakotakiwa kwenda.

   Lakini kwa sasa nimepata nafasi ya kutembea jiji hili na kushangaa jinsi maduka makubwa niliyozoea kuyaona wakati nikiwa mdogo hayapo tena, nimeshangaa kuona zile nyumba walizokuwa wanaishi wahindi zimegeuzwa kuwa za biashara mbalimbali ambazo zinaendeshwa na watanzania wenzetu.

   Tulipodadisi tumeambiwa wahindi wamekimbia baada ya kushindwa mashindano ya biashara, kwa kweli nimeshangaa sana kumwona mwafrica akimpiga bao muhindi, kazi inaendelea tutawaletea update za Arumeru kaeni mkao wa kula!
   I DEMOLISH MY BRIDGES BEHIND ME THEN THERE IS NO CHOICE BUT TO MOVE FORWARD
  2. Ballot's Avatar
   Member Array
   Join Date : 4th January 2012
   Posts : 39
   Rep Power : 511
   Likes Received
   12
   Likes Given
   0

   Default Re: Wahindi wahama Moshi

   ulikuwa hujui wachaga hawalali??au unafikiri ni kama wahehe wanavyoburuzwa na waarabu???

  3. Kibukuasili's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 15th May 2010
   Posts : 855
   Rep Power : 761
   Likes Received
   158
   Likes Given
   155

   Default Re: Wahindi wahama Moshi

   Hongera wachagga. Mji ni msafi pia

  4. trachomatis's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 7th June 2011
   Location : Dar es Salaam,Tanzania.
   Posts : 3,537
   Rep Power : 1241
   Likes Received
   508
   Likes Given
   339

   Default Re: Wahindi wahama Moshi

   Asante kwa taarifa...

  5. Haika's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 3rd March 2008
   Posts : 2,223
   Rep Power : 1153
   Likes Received
   452
   Likes Given
   496

   Default Re: Wahindi wahama Moshi

   wahi arumeru. una bahati hukukuta joto upepo na vumbi.


  6. rZiKY's Avatar
   Member Array
   Join Date : 9th February 2012
   Location : dar es salaam
   Posts : 11
   Rep Power : 501
   Likes Received
   4
   Likes Given
   0

   Default

   Quote By episodes View Post
   Kumekucha Arumeru na sisi kama watanzania tunaotakia mema nchi hii tumeamua kujitoa kwenda kusaidia mapambano huko Arumeru,tumeingia Jiji la Moshi jana mchana na kwa mara ya kwanza nimepata nafasi ya kutembea mji wa moshi baada ya miaka mingi,huwa nakuja moshi kila mwaka lakini kila tukifika moshi tunakuwa hatuna muda wa kutembea na tunaendelea moja kwa moja hadi kijijini kwetu ambako huko hukaa hadi likizo ikiisha na huondoka kwenda stand ya mabasi na kuishia unakotakiwa kwenda,lakini kwa sasa nimepata nafasi ya kutembea jiji hili na kushangaa jinsi maduka makubwa niliyozoea kuyaona wakati nikiwa mdogo hayapo tena,nimeshangaa kuona zile nyumba walizokuwa wanaishi wahindi zimegeuzwa kuwa za biashara mbalimbali ambazo zinaendeshwa na watanzania wenzetu,tulipodadisi tumeambiwa wahindi wamekimbia baada ya kushindwa mashindano ya biashara,kwa kweli nimeshangaa sana kumwona mwafrica akimpiga bao muhindi,kaiz inaendelea tutawaletea update za Arumeru kaeni mkao wa kula!
   M- Mungu
   O-Onyesha
   S-Sehemu
   H-Hela
   I-Ilipo

  7. Otorong'ong'o's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 17th August 2011
   Location : Uvunguni
   Posts : 20,092
   Rep Power : 241984753
   Likes Received
   4857
   Likes Given
   2380

   Default Re: Wahindi wahama Moshi

   hongera zetu wachagga.

  8. PakaJimmy's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 29th April 2009
   Posts : 16,256
   Rep Power : 16106769
   Likes Received
   8178
   Likes Given
   3665

   Default Re: Wahindi wahama Moshi

   Quote By rZiKY View Post
   M- Mungu
   O-Onyesha
   S-Sehemu
   H-Hela
   I-Ilipo
   Hata Ikipungua Mungu Ongeza= HIMO
   Mungu Weka Ishara Kwenye Akaunti=MWIKA
   "The only thing that walks back from the tomb with the mourners and refuses to be buried is the character of a man.
   What a man is, survives him... it can never be buried"
   (GENEKAI-Jamiiforums, 4th November 2010 07:32PM).
   [email protected]

  9. Malila's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 22nd December 2007
   Location : Makete mjini
   Posts : 3,994
   Rep Power : 35923096
   Likes Received
   2158
   Likes Given
   944

   Default Re: Wahindi wahama Moshi

   Quote By rZiKY View Post
   M- Mungu
   O-Onyesha
   S-Sehemu
   H-Hela
   I-Ilipo
   Hii imekaa vibaya, haijatulia.
   Mtu mwema huacha urithi kwa wana wa wanawe.

  10. MAGEUZI KWELI's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 16th July 2011
   Location : Nagagaa na Upwa
   Posts : 1,797
   Rep Power : 951
   Likes Received
   227
   Likes Given
   334

   Default Re: Wahindi wahama Moshi

   Wahindi Wahama Moshi na Mambo ya arumeru ya husiano gani?? Umeandika hii post ukiwa usingizini nini>>>?
   ----Mabadiliko ya Kisiasa ni milima na mabonde.Tukaze Mwendo mwisho umekaribia kivulini tutapumzika----


  11. lukindo's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 20th March 2010
   Posts : 3,747
   Rep Power : 1347
   Likes Received
   1531
   Likes Given
   2078

   Default Re: Wahindi wahama Moshi

   Quote By Kibukuasili View Post
   Hongera wachagga. Mji ni msafi pia
   haraka unaweza ukadhani kuwa mleta hoja anaanzisha ile dharau, majigambo na kujisifu lakini hii ni hali ya muhimu sana kwa Watz wa kweli na kuna mengi ya kujifunza hapa kwa maaneo na miji mingine ya nchi hii.

   Hongera wakazi wa Moshi

  12. democratic's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 21st November 2011
   Posts : 1,645
   Rep Power : 960
   Likes Received
   290
   Likes Given
   63

   Default Re: Wahindi wahama Moshi

   mambo ya halimashauri zikiwa chini ya cdm mji unakuwa swafiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii.... .........

  13. Rejao's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 4th May 2010
   Location : Long Street
   Posts : 9,171
   Rep Power : 25866
   Likes Received
   3685
   Likes Given
   3122

   Default Re: Wahindi wahama Moshi

   Moshi miaka yote haina idadi kubwa ya wahindi kama ilivyo kwa mikoa mingine hapa nchini. Nafikiri mtoa mada hujui historia ya moshi vizuri.

  14. Mwanajamii's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 5th March 2008
   Posts : 7,085
   Rep Power : 1941
   Likes Received
   29
   Likes Given
   13

   Default Re: Wahindi wahama Moshi

   wachaga ni wabaguzi sana na pale moshi kama we sio mchaga ukaanzisha biashara yako nzuri lazima wakufitini ufilisike.wahindi wameshindwa ukabila unafanywa na wachaga mkuu.nina uzoefu na mji huo sana

  15. Kiumbe duni's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 3rd December 2011
   Posts : 100
   Rep Power : 529
   Likes Received
   8
   Likes Given
   0

   Default Re: Wahindi wahama Moshi

   Nakutakia mafanikio mema ktk harakati zako za ukombozi. Usisahau kutuletea mnyama mkali mwenye majina lukuki mdudu, kitimoto, n.k ukioenda unaweza kumwita Noah.

  16. Mwanajamii's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 5th March 2008
   Posts : 7,085
   Rep Power : 1941
   Likes Received
   29
   Likes Given
   13

   Default Re: Wahindi wahama Moshi

   nitajie mfanyabiashara mkubwa ambaye sio mchagga aliefanikiwa akiwa moshi.wachagga ni watu wabaya sana ndio maana hata nyerere aliwalaani

  17. kastarehe's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 20th January 2012
   Posts : 231
   Rep Power : 548
   Likes Received
   38
   Likes Given
   57

   Default Re: Wahindi wahama Moshi

   Quote By TAMUCHUNGU View Post
   wachaga ni wabaguzi sana na pale moshi kama we sio mchaga ukaanzisha biashara yako nzuri lazima wakufitini ufilisike.wahindi wameshindwa ukabila unafanywa na wachaga mkuu.nina uzoefu na mji huo sana
   GAMBA!! hali ya hewa ilichafuliwi hivyo!! umeshindwa!!

  18. kastarehe's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 20th January 2012
   Posts : 231
   Rep Power : 548
   Likes Received
   38
   Likes Given
   57

   Default Re: Wahindi wahama Moshi

   Quote By Rejao View Post
   Moshi miaka yote haina idadi kubwa ya wahindi kama ilivyo kwa mikoa mingine hapa nchini. Nafikiri mtoa mada hujui historia ya moshi vizuri.
   Wewe ndiye unayeijua wakati hujui tofauti ya mhindi na mwarabu!! Kwenu lalago!!

  19. Mwanajamii's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 5th March 2008
   Posts : 7,085
   Rep Power : 1941
   Likes Received
   29
   Likes Given
   13

   Default Re: Wahindi wahama Moshi

   Quote By kastarehe View Post
   GAMBA!! hali ya hewa ilichafuliwi hivyo!! umeshindwa!!
   jibu hoja acha kutoa kashfa.mchaga ni mbaguzi ndio mana moshi imedumaa maendeleo yanaenda arusha kwa watu wenye roho nzuri.mchaga si mtu

  20. rosemarie's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 22nd March 2011
   Posts : 6,564
   Rep Power : 1978
   Likes Received
   1450
   Likes Given
   352

   Default Re: Wahindi wahama Moshi

   Quote By TAMUCHUNGU View Post
   nitajie mfanyabiashara mkubwa ambaye sio mchagga aliefanikiwa akiwa moshi.wachagga ni watu wabaya sana ndio maana hata nyerere aliwalaani
   kuna wakenya kibao wenye makampuni na mambo yao naona yanakwenda fasta
   I DEMOLISH MY BRIDGES BEHIND ME THEN THERE IS NO CHOICE BUT TO MOVE FORWARD
  Page 1 of 5 123 ... LastLast

  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...