JamiiSMS
  Show/Hide This

  Topic: "Mimi naitwa WILLIUM NGEREJA DUNIA YAKO 2012 CHAGUA......"

  Report Post
  Page 2 of 2 FirstFirst 12
  Results 21 to 38 of 38
  1. Eliphaz the Temanite's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 19th January 2010
   Posts : 1,911
   Rep Power : 957
   Likes Received
   399
   Likes Given
   44

   Default "Mimi naitwa WILLIUM NGEREJA DUNIA YAKO 2012 CHAGUA......"

   ........umeme wa uhakika! That is the sickest joke! Nimesikia sasa hivi kwenye gari wakati naenda kazini, it made me sick to my stomach! The last two weeks ni kama mgawo wa umeme umerudi. Kuna kitu TANESCO hawatuambii right haiwezekani kila siku wiki mbili sasa umeme unakatika kila siku kwa masaa 6-12.

   Jamaa bila hata chembe ya aibu anatuambia dinia yako 2012 chagua umeme wa uhakika! do we have that option anyway? How? & where?
   Wambandwa, TIMING, lukindo and 3 others like this.
   Be Proactive controlling a situation by causing something to happen rather than waiting to respond to it after it happens

  2. bampami's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 5th November 2011
   Posts : 3,011
   Rep Power : 1080
   Likes Received
   946
   Likes Given
   355

   Default Re: "Mimi naitwa WILLIUM NGEREJA DUNIA YAKO 2012 CHAGUA......"

   Mimi naitwa Askofu Z. Kakobe, mbinguni ni kwako, kuzimu si chaguo lako. Epuka kutenda dhambi kwa kumsupport ngeleja ambaye anashabikia umeme wa dunia hii hali amesahau kuwa Mungu ndiye pekee anayeweza kutoa umeme usio na mgawo Tanzania nzima.

  3. Kbd's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 9th October 2009
   Posts : 1,247
   Rep Power : 835
   Likes Received
   433
   Likes Given
   247

   Default Re: "Mimi naitwa WILLIUM NGEREJA DUNIA YAKO 2012 CHAGUA......"

   Quote By 1800 View Post
   Sipendi hiyo kauli yao,serikali nzima imehamia clouds kusema huo msemo!shame on them

   Shame on all of them..........
   Hakika wema na fadhili zitanifuata siku zote za maisha yangu.....Zab 23:6

  4. Beso's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 6th May 2011
   Posts : 191
   Rep Power : 542
   Likes Received
   43
   Likes Given
   2

   Default Re: "Mimi naitwa WILLIUM NGEREJA DUNIA YAKO 2012 CHAGUA......"

   Quote By goodrich View Post
   hamjawajua vizuri mawaziri wa jk. Karibu wote ni wale wale anaowasema masaburi kuhusu kufikiri
   bongo kwa masihara loh!!!! Angesema dunia yako chagua lako,chagua kukaa gizani kama mende"

  5. Shine's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 5th February 2011
   Posts : 11,539
   Rep Power : 2996
   Likes Received
   1310
   Likes Given
   504

   Default

   Quote By Eliphaz the Temanite View Post
   ........umeme wa uhakika! That is the sickest joke! Nimesikia sasa hivi kwenye gari wakati naenda kazini, it made me sick to my stomach! The last two weeks ni kama mgawo wa umeme umerudi. Kuna kitu TANESCO hawatuambii right haiwezekani kila siku wiki mbili sasa umeme unakatika kila siku kwa masaa 6-12.

   Jamaa bila hata chembe ya aibu anatuambia dinia yako 2012 chagua umeme wa uhakika! do we have that option anyway? How? & where?
   Bora nyie huko kwenu kuna muda maalum wa masaa wakukata huku kwetu unakuwepo na kukatika kila mara kitu ambacho kinasababisha uaribifu wa vyombo vyetu vya ndani kuungua na kusababisha hasara kubwa. Hivi hakuna sheria ambayo inaturuhusu kuwafungulia tanesco kutokana na huu uaribifu wanaotufanyia tulipwe fidia? Wanasheria nisaidieni kwa hili

  6. Shine's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 5th February 2011
   Posts : 11,539
   Rep Power : 2996
   Likes Received
   1310
   Likes Given
   504

   Default Re: "Mimi naitwa WILLIUM NGEREJA DUNIA YAKO 2012 CHAGUA......"

   Moja ya janga linalotukabili Tz

  7. Lukolo's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 2nd December 2009
   Location : Iringa
   Posts : 4,982
   Rep Power : 343265
   Likes Received
   2930
   Likes Given
   2019

   Default Re: "Mimi naitwa WILLIUM NGEREJA DUNIA YAKO 2012 CHAGUA......"

   Quote By Eliphaz the Temanite View Post
   TANESCO shamba la bibi, dharula hizo ndio makusanyo ya wanasiasa! Sijawahi sikia mpango wa kununua Generator hata siku moja!
   Bado tunahitaji majenerator ya mafuta? Wakianza kutaja generator ujue ni wizi mwingine unapangwa. Na hii mijamaa inaliendeleza sana tatizo la umeme makusudi kwa kuwa lina maslahi kwao.
   Ndugu zangu, badala ya kuendelea kufikiria majenerator ya kawaida kwanini tusifikirie kuvuna upepo unaopotea bure pale Singida, Shinyanga, dodoma and makambako? Windmill generator yenye uwezo wa kuzalisha watt 400 inauzwa kwa bei isiyozidi dola 500. Hivi tukiamua kuwa na hizi generator kama 2000 hivi katika maeneo tofauti tofauti nchini hatutamaliza tatizo la kila siku la umeme? Hawa viongozi wetu wezi kama akina ngeleja wanashindwaje kufikiria mbinu hii ilihali mataifa mengi duniani yakiwemo yaliyoendelea yanajenga windmill farms kubwa na za gharama kubwa ili kuzalisha umeme? Soma zaidi kuhusu windimill hapa: All Power America 400W Horizontal Wind Turbine Generator
   mizambwa likes this.
   Mtaji mkubwa kabisa wa CCM katika chaguzi zake ni umaskini na ujinga wa watanzania. CCM haitafanya kosa la kuyamaliza matatizo hayo kwa kuwa kwa kufanya hivyo watakuwa wamehatarisha nafasi yao ya kuendelea kutawala

  8. chuwaalbert's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 17th September 2010
   Posts : 639
   Rep Power : 664
   Likes Received
   150
   Likes Given
   160

   Default Re: "Mimi naitwa WILLIUM NGEREJA DUNIA YAKO 2012 CHAGUA......"

   Quote By 1800 View Post
   Siipendi hiyo kauli yao,serikali nzima imehamia clouds kusema huo msemo!
   Mie pia sielewi. Serikali nzima...Kwanini siyo TBC?

  9. Bagenisb's Avatar
   Member Array
   Join Date : 4th February 2012
   Location : Shinyanga
   Posts : 45
   Rep Power : 474
   Likes Received
   10
   Likes Given
   2

   Default Re: "Mimi naitwa WILLIUM NGEREJA DUNIA YAKO 2012 CHAGUA......"

   Umeme? Hamjamsikia anaongelea gas

  10. BONGOLALA's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 14th September 2009
   Posts : 10,473
   Rep Power : 85903446
   Likes Received
   3162
   Likes Given
   440

   Default Re: "Mimi naitwa WILLIUM NGEREJA DUNIA YAKO 2012 CHAGUA......"

   simtambui ngeleja kama waziri,ameshafukuzwa uwaziri na tume mbalimbali jk sijui kwa nini anamkumbatia!

  11. hasan124's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 2nd January 2012
   Location : Dar es Salaam
   Posts : 716
   Rep Power : 612
   Likes Received
   126
   Likes Given
   111

   Default Re: "Mimi naitwa WILLIUM NGEREJA DUNIA YAKO 2012 CHAGUA......"

   Dunia yake chaguo lake, lakini mimi namchagulia kusaini mikatabo bomu ya madini na kujilimbikizia vijisenti kama mwenzake yule wa Rada......kabla rishafo haijapita.
   Hakuna jipya hapa, tangu amkumbatie Jairo Mmmh!!
   ADC - DIRA YA MABADILIKO : ADC - TUMAINI LA MTANZANIA.

  12. Emanuel Makofia's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 5th January 2010
   Location : B.O.T
   Posts : 3,796
   Rep Power : 1332
   Likes Received
   584
   Likes Given
   468

   Default Re: "Mimi naitwa WILLIUM NGEREJA DUNIA YAKO 2012 CHAGUA......"

   wanaudhi sana waendelee kuwatia wananchi hasira wasijue wanajikaanga wenyewe!!
   .....Chuma cha reli hakishiki kutu...

  13. Kaliua urambo's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 21st April 2009
   Posts : 537
   Rep Power : 717
   Likes Received
   106
   Likes Given
   28

   Default Re: "Mimi naitwa WILLIUM NGEREJA DUNIA YAKO 2012 CHAGUA......"

   Quote By Eliphaz the Temanite View Post
   ........umeme wa uhakika! That is the sickest joke! Nimesikia sasa hivi kwenye gari wakati naenda kazini, it made me sick to my stomach! The last two weeks ni kama mgawo wa umeme umerudi. Kuna kitu TANESCO hawatuambii right haiwezekani kila siku wiki mbili sasa umeme unakatika kila siku kwa masaa 6-12.

   Jamaa bila hata chembe ya aibu anatuambia dinia yako 2012 chagua umeme wa uhakika! do we have that option anyway? How? & where?
   mwenzio alijipanga kweli kweli
   Friend's of Zitto " Zitto ze presidential material" uwajibikaji na haki ZZK T2015

  14. mizambwa's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 8th October 2008
   Posts : 2,458
   Rep Power : 1275
   Likes Received
   939
   Likes Given
   3314

   Default Re: "Mimi naitwa WILLIUM NGEREJA DUNIA YAKO 2012 CHAGUA......"

   Quote By Emanuel Makofia View Post
   wanaudhi sana waendelee kuwatia wananchi hasira wasijue wanajikaanga wenyewe!!
   Mkuu hivi unafikiri kuna mtu anayetiwa hasira hapo.

   ukifika wakati wa uchaguzi tunaambiwa TIENI, TIE, TIENI, TIENI, TIENI, TIENI, NI KWA MOYO MMOJA NAMBARI WANI NI .......

   Wanarudi wale wale kina NGE LEE JA tena.

   Kama unataka kuamini subiri ARUMERU matokeo utaambiwa njano kijani wameshinda kwa 70%

   MIZAMBWA
   INANIUMA SANA!!!
   Lukolo likes this.
   TUJITOKEZE KWA WINGI SIKU YA TAREHE 30/04/2015 KUIPIGIA KURA YA HAPANA KATIBA MPYA ILIYOPENDEKEZWA, ISIPITE. MUHAMASISHE NA JIRANI YAKO......

  15. Mamndenyi's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 11th April 2011
   Location : Mafinga
   Posts : 24,737
   Rep Power : 429501883
   Likes Received
   13912
   Likes Given
   29732

   Default Re: "Mimi naitwa WILLIUM NGEREJA DUNIA YAKO 2012 CHAGUA......"

   nina hasira.
   SIYO WOTE WANAOTANGATANGA WAMEPOTEA

  16. Lukolo's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 2nd December 2009
   Location : Iringa
   Posts : 4,982
   Rep Power : 343265
   Likes Received
   2930
   Likes Given
   2019

   Default Re: "Mimi naitwa WILLIUM NGEREJA DUNIA YAKO 2012 CHAGUA......"

   Quote By mizambwa View Post
   Mkuu hivi unafikiri kuna mtu anayetiwa hasira hapo.

   ukifika wakati wa uchaguzi tunaambiwa TIENI, TIE, TIENI, TIENI, TIENI, TIENI, NI KWA MOYO MMOJA NAMBARI WANI NI .......

   Wanarudi wale wale kina NGE LEE JA tena.

   Kama unataka kuamini subiri ARUMERU matokeo utaambiwa njano kijani wameshinda kwa 70%

   MIZAMBWA
   INANIUMA SANA!!!
   Mapinduzi kama ya Libya na kwingineko Africa ndiyo yanayohitajika Tanzania hivi sasa. Maana kwenye uchaguzi hawa wehu wana hela na wanaiba kura kwa kutumia vyombo vyetu vya ulinzi na usalama. Wapinzani hawana hivyo vyombo wala hela ya kutosha kuhonga wapiga kura wote. So the best way hapa ni mapinduzi ya umma tu. Natamani niambiwe leo kuna maandamano ya kuiondoa serikali ya Kikwete madarakani. Hata ikinibidi kufa, nitafanya hivyo kwa manufaa ya vizazi vijavyo vya nchi hii.
   Mtaji mkubwa kabisa wa CCM katika chaguzi zake ni umaskini na ujinga wa watanzania. CCM haitafanya kosa la kuyamaliza matatizo hayo kwa kuwa kwa kufanya hivyo watakuwa wamehatarisha nafasi yao ya kuendelea kutawala

  17. Fekifeki's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 18th November 2011
   Posts : 828
   Rep Power : 641
   Likes Received
   134
   Likes Given
   1400

   Default Re: "Mimi naitwa WILLIUM NGEREJA DUNIA YAKO 2012 CHAGUA......"

   Huku kwetu songea tuna mgawo wa umeme! Kila baada ya siku 2, ndiyo taa zinawaka! Sina uhakika kama mr. Megawati analijua hili! Karibuni....!!!

  18. Eliphaz the Temanite's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 19th January 2010
   Posts : 1,911
   Rep Power : 957
   Likes Received
   399
   Likes Given
   44

   Default Re: "Mimi naitwa WILLIUM NGEREJA DUNIA YAKO 2012 CHAGUA......"

   Quote By Fekifeki View Post
   Huku kwetu songea tuna mgawo wa umeme! Kila baada ya siku 2, ndiyo taa zinawaka! Sina uhakika kama mr. Megawati analijua hili! Karibuni....!!!

   Kwa nini asijue!
   Be Proactive controlling a situation by causing something to happen rather than waiting to respond to it after it happens

  19. Paw's Avatar
   Moderator Array
   Join Date : 14th November 2010
   Posts : 1,869
   Rep Power : 332888
   Likes Received
   846
   Likes Given
   3179

   Default Re: "Mimi naitwa WILLIUM NGEREJA DUNIA YAKO 2012 CHAGUA......"

   Pamoja na rasilimali nyingi tulizonazo Tanzania; lakini hatutaweza kufikia lengo la umeme wa uhakika endapo tutaendelea kupanga mipango isiyotekelezwa.

   Ni budi tukawekeza kwenye vyanzo vingine vya umeme badala ya majenereta na umeme wa maji. Option ya umeme wa upepo, makaa ya mawe, gesi, jua, radi na kadhalika.

   Hali ya umeme nchini ni mbaya kila kukicha...
   (BADILIKA, bofya hapa ===> ####)

   Kwa ajili yako Bofya hapa PREMIUM bonus  Page 2 of 2 FirstFirst 12

  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...